Religion and Science hazishindani

Religion and Science hazishindani

Wewe jamaa ni mtupu dini haijibu maswali ya ya why?

Kwahiyo hakuna majibu ya kwanini ndege inaruka kwenye science?
Hii sub thread ni ya Intelligent. Huwezi ukaniita mtupu pasipo Ku prove utupu wangu. La sivyo wewe ndiye mtupu.

Kama mada inakuzidi uwezo uliza nikueleweshe. Usi comment kwa mihemko.
 
Yani ulivyojibu na kuandika methods na reasons nikajua wewe bado mwanafunzi unajibu kinotes notes na vitini vya nyambari nyangwine
Duh!! Nyambari Nyagwine ni mwanasayansi au ni mwanadini!?
Leta evidences. Hapa hatupeani mipasho. Yapo majukwaa ya mipasho unaweza kuchangia mipasho.
Hii imekuzidi uwezo iache wenye akili kubwa wanafuatilia.
 
Hii sub thread ni ya Intelligent. Huwezi ukaniita mtupu pasipo Ku prove utupu wangu. La sivyo wewe ndiye mtupu.

Kama mada inakuzidi uwezo uliza nikueleweshe. Usi comment kwa mihemko.
Yani ujinga unaoandika humu ndio unajiita intelligent [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Science:
the intellectual and practical activity encompassing the systematic study of the structure and behaviour of the physical and natural world through observation and experiment.

Mkuu Venus, Wanachosema wenzako wapo sahihi na hapo juu katika hilo andiko lako unawaunga mkono, angalia ulichoandika; "intellectual and practical activity----

Hapo Intellectual inahusisha "Why" na practical activity inahusisha "How".

Kifupi ni kwamba wanasayansi hujiuliza kwanza Why na baadaye ndipo hujitahidi kujua How.

Hao wenzako wapo sahihi mkuu.
 
Yani ujinga unaoandika humu ndio unajiita intelligent [emoji3][emoji3][emoji3]
Sasa usipo toa maelezo ya maana na kuanza kutoa mipasho, Tutakuonaje!? angalau Mimi ni mjinga wewe hapo ulipo ni mpumbavu.
 
Mkuu Venus, Wanachosema wenzako wapo sahihi na hapo juu katika hilo andiko lako unawaunga mkono, angalia ulichoandika; "intellectual and practical activity----

Hapo Intellectual inahusisha "Why" na practical activity inahusisha "How".

Kifupi ni kwamba wanasayansi hujiuliza kwanza Why na baadaye ndipo hujitahidi kujua How.

Hao wenzako wapo sahihi mkuu.
Kwanza:
Tusiongelee wenzangu.
Hapa tupo kwene mjadala. Kila mtu yupo na right ya kuweka mawazo yake.
Siyo kwamba mmoja anakuja Ku validate mawazo ya wengine na kutoa marks.

Nadhani umenielewa hapo.
Turudi kwenye topic.

Hapa topic inahusu relationship kati ya dini na sayansi. Je, kuna tatizo lolote baina yao mpaka upande mmoja una laumu upande mwingine!?
Hiyo ndio context ya hii thread.

Sasa katika context hiyo nimejaribu kueleza kuwa Science yenyewe inajikita kuelezea HOW nature operates wakati upande wa dini unajikita kueleza WHY nature exists.

Hata hii kirahisi tu mnashindwa kuelewa!?
 
Hahahaha!!!
Tumeanza kutumiana music sasa.
Nadhani ingekuwa vyema kama tungejadili mada. Au uweke references ya vitu vinavyohusiana na mada.
Asante.
Mada ukiiona utaijua?

Nimekuuliza where do you get you phoney baloney, hujajibu.

Let me find out you are some Jesus freak who gets his shit from the Bible or some washed out Kabala nonsense.

Right up there with the flat earth society.

Let me shit on you like I got two tails
Big fail, like in jail without bail
Your theories are flatfooted,
Reason muted, punctured parachuted
You have no science booted
Your weak shit is diluted
Brain cells polluted
You floundered, you squandered
An opportunity to seriously engage the squadron
You are a wannabee spitter
Aspiring top hitter
But bear in mind, you can't shake the jitters
Don't get bitter
Grab some books, and don't be a quitter

You are less than average garbage
Get some Babbage in your cabbage
You got baggage and luggage
From your thoughts to your language
You can't manage the carnage
Neither engage the rage
Alright wait, you ligthweight
You are not allowed to debate so late
Your style is juvenile, while I'm versatile like the Nile
With consistency and panache
A jazzy verve, best behave
I'm with finesse and menace
From here to Venice
And savoir faire to spare, without a care
 
Mada ukiiona utaijua?

Nimekuuliza where do you get you phoney baloney, hujajibu.

Let me find out you are some Jesus freak who gets his shit from the Bible or washed out some Kabala nosense.

Right up there with the flat earth society.

Let me shit on you like I got two tails
Big fail, like in jail without bail
Your theories are flatfooted,
Reason muted, punctured parachuted
You have no science booted
Your weak shit is diluted
Brain cells polluted
You floundered, you squandered
An opportunity to seriously engage the squadron
You are a wannabee spitter
Aspiring top hitter
But bear in mind, you can't shake the jitters
Don't get bitter
Grab some books, and don't be a quitter

You are less than average garbage
Get some Babbage in your cabbage
You got baggage and luggage
From your thoughts to your language
You can't manage the carnage
Neither engage the rage
Alright wait, you ligthweight
You are not allowed to debate so late
Your style is juvenile, while I'm versatile like the Nile
With consistency and panache
A jazzy verve, best behave
I'm with finesse and menace
From here to Venice
And savoir faire to spare, without a care
Asante kwa matangazo.
Rejea kwenye mada sasa.
Ninaongelea WHY for Religion and HOW for Science hapo vipi!?.
 
Asante kwa matangazo.
Rejea kwenye mada sasa.
Ninaongelea WHY for Religion and HOW for Science hapo vipi!?.
Umepata wapi huu utumbo? Nimekuuliza hili swali.

Hujalijibu.

Kuanzia hapo nakudharau na kukuona kiguluguja tu.
 
Umepata wapi huu utumbo? Nimekuuliza hili swali.

Hujalijibu.

Kuanzia hapo nakudharau na kukuona kiguluguja tu.
Utumbo!?? Hebu acha upumbavu wako bhana. Hapa tunaongelea utumbo!? Ebo!!!
Wewe kama umeshindwa usilazimishe.
Rejea kwenye mada.
I am very strong kijana. Tujadili kistaarabu tu.
 
Utumbo!?? Hebu acha upumbavu kwako bhana. Hapa tunaongelea utumbo!? Ebo!!!
Wewe kama umeshindwa usilazimishe.
Rejea kwenye mada.
I am very strong kijana. Tujadili kistaarabu tu.
Una kichaa wewe
 
Utumbo!?? Hebu acha upumbavu kwako bhana. Hapa tunaongelea utumbo!? Ebo!!!
Wewe kama umeshindwa usilazimishe.
Rejea kwenye mada.
I am very strong kijana. Tujadili kistaarabu tu.

Thibitisha mimi kijana kwako.

Define what is science.

Define what is religion.
 
Sasa katika context hiyo nimejaribu kueleza kuwa Science yenyewe inajikita kuelezea HOW nature operates wakati upate wa dini unajikita kueleza WHY nature exists.

Nakubaliana na wewe kwamba Dini sahihi na elimu sahihi ya sayansi vyote vinaenda pamoja na havipingani kwasababu vyote, naamini, vimetoka kwa Mungu huyo huyo mmoja.

Dini sahihi ni ile inayobeba maneno ya huyo Mungu na ndani ya hayo maneno wanadini wanaweza kuhoji Why na How, halikadhalika Sayansi sahihi ni ile inayo deal na uumbaji wa huyo Mungu ambapo katika huo uumbaji wanasayansi wanaanza kujiuliza Why na hatimaye How.

Sasa utaona Maswali ya Why na How ni universal sio katika dini na sayansi tu hata katika sociology pia nk.

Ndio maana nikasema hao wajumbe wanaosema kwamba sayansi (wanasayansi) nayo inaanza na Why hawajakosea na isitoshe wamekupatia facts halisi.
 
Define what is science.

Define what is religion.
Kiranga unaweza kuwa unawazo zuri la kuweka hapa. But unashidwa.
Wewe weka definitions hizo kisha toa maelezo unayodhani yanatofautiana na mawazo yangu.

Mbona simple tu.
 
Kiranga unaweza kuwa unawazo zuri la kuweka hapa. But unashidwa.
Wewe weka definitions hizo kisha toa maelezo unayodhani yanatofautiana na mawazo yangu.

Mbona simple tu.
Hujajibu maswali yangu.

Thibitisha mimi ni kijana kwako.

Define what is science.

Define what is religion.
 
Nakubaliana na wewe kwamba Dini sahihi na elimu sahihi ya sayansi vyote vinaenda pamoja na havipingani kwasababu vyote, naamini, vimetoka kwa Mungu huyo huyo mmoja.

Dini sahihi ni ile inayobeba maneno ya huyo Mungu na ndani ya hayo maneno wanadini wanaweza kuhoji Why na How, halikadhalika Sayansi sahihi ni ile inayo deal na uumbaji wa huyo Mungu ambapo katika huo uumbaji wanasayansi wanaanza kujiuliza Why na hatimaye How.

Sasa utaona Maswali ya Why na How ni universal sio katika dini na sayansi tu hata katika sociology pia nk.

Ndio maana nikasema hao wajumbe wanaosema kwamba sayansi (wanasayansi) nayo inaanza na Why hawajakosea na isitoshe wamekupatia facts halisi.
Nimekukataza kutafuta validation.
Ni vyema ukatoa mawazo yako freely siyo kuegemea kwa mtu mwingine. Hapa hatutafuti marks.

Back to topic.
Nimefurahi sana kwa maelezo yako umejitahidi kutoa maelezo.

Kwa context ya thread hii ni Dini na Sayansi. Concept yake ni simple mno. Wala sijaongelea Sociology au Siasa na kadhalika.

Swali la WHY linakutaka utoe reasons swala hilo linakuwa juu sana. Sayansi yenyewe imejikita kuishia kwenye HOW.
kama nilivyoeleza sayansi yenyewe inaongelea HOW nature operates.

Nature ipo inaendelea na ipo na mifumo yake. Hatuwezi tukapata jibu kisayansi la WHY nature operates in this way or WHY nature exists.
Sana sana tutaishia Ku study nature jinsi ilivyo na kujua jinsi inavyofanya kazi.

Kuna theories nyingi zimetolewa kuona namna ya nature inavyo operate. Zimetolewa kutokana na experiments. Experiment inafanyika ili kujibu HOW.

Nikikuuliza kwa context ya kisayansi Why so and so utanijibu because so and so. But nilazima uneleze HOW!?
Hebu ngoja niishie hapo kwanza.
 
Hujajibu maswali yangu.

Thibitisha mimi ni kijana kwako.

Define what is science.

Define what is religion.
Rejea kwenye mada. Hapa tunaongelea HOW for science and WHY for religion.
Wewe unamaelezo gani Mzee!?

"Thibitisha mimi ni kijana kwako."
Upo sawa kweli kuanza kuniuliza issue zako personal!?
 
Nimekukataza kutafuta validation.
Ni vyema ukatoa mawazo yako freely siyo kuegemea kwa mtu mwingine. Hapa hatutafuti marks.

Unikataze wewe umekuwa mzazi wangu??!!🤣

Wenzako wameongea ukweli na ndio maana nasisitiza zingatia kwa makini wanachosema wenzako. Sio aibu kukubali wanachoma wenzake as we are created to learn from many sources one of which is from your fellow humans.

"Why" and "How" are not merely Questions for religion and science respectively rather they are universal qns, found in many aspects of life, the speciality you want us adopt is your own and not universally acceptable, that's a figment of your imagination.🤣
 
Mimi siyo mzazi wako.
Na wala sijasema haya maswali siyo universal bali nilikuwa naongelea Religion vs Science.

Na kutokuelewa mwenzako anaongelea nini hakuwezi kukupa credit ya kusema upo correct.

Vilevile ingekuwa vizuri kama ungeleta maelezo mbadala against na maelezo yangu. Ungeweza kusema hiki ulichokisema sivyo.
Nimekupa mifano mingi tu.

Na siwezi kukulazimisha uelewe. Huenda ninaongea katika frequency ya juu sana kiasi kwamba huwezi kuelewa.

Kama umeelewa ungeweka mifano ya hicho unachokiongea. Nadiliki kusema kwamba either hujaelewa or umeelewa lakini dogma yako kichwani inakataa.

Asante.
 
Back
Top Bottom