Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
"Can you give someone free will and then punish them for what they choose?God created the World and man,but he also gave man freewill:to choose between God and Satan,but not without consequences.So if you have choosen Satan,which I believe you have,the consequence is eternal condemnation,unless you repent of your iniquity.
You cannot dictate terms for God,He is the porter,you are the vessel,take it or live it."Can you give someone free will and then punish them for what they choose?
Do you know that the free will you grant to someone you love should not lead to harm in order for you to remain all-loving!?
View attachment 2754964
God, the Almighty, the All-Knowing, and the All-Loving, giving us free will that results in harm to us is a contradiction.
Do you understand that!?"
Jamani mtuache na Mungu wetu tunaemuamini...The opium of the mass/people. Dini ni utapeli mkubwa uliowahi kutokea Duniani na umehalalishwa kabisa.
Dini ndiyo itamfanya mtu aamini kuna Mungu au asiamini. Tatizo langu kubwa na dini ni kwanini zipo nyingi? Ikiwa wote tumeumbwa na Mungu mmoja iweje watu wagawanyike kimakundi wakijiaminisha Mungu wao ndiyo bora na dini yao ndiyo sahihi.
Mpaka sasa inakadiriwa kuna Miungu zaidi ya 3000 ambayo wanadamu wanaabudu. Dini kuu Duniani ni Ukristo na Uislamu: hiyo tayari ni Miungu miwili.
Jinsi dini zilivyoanzishwa na zilivyoingia Afrika ni jambo la kufikirisha na mtu mwenye akili timamu lazima ajiulize maswali. Je, watu walioishi Africa kabla ya dini, Mungu alifanya nini kuwaokoa watu wake kumjua na wasiangamie? Mungu yeye ni mkuu sana, kwanini ni watu wa jamii chache tu ndiyo walimjua kabla ya wengine? Siyo upendeleo huo?
Najua watapita wafia dini hapa (brainwashed) kuja kuandika kuwa nakufuru π sijali, kwasababu siamini katika imani yoyote ile. Sifungamani na upande wowote.
Nimezaliwa na nimekulia kwenye Ukristo ila niliamua kwa hiari yangu mwenyewe kuachana na imani hiyo na kubaki kama nilivyozaliwa. Kwasasa naamini kwenye Deism (deist) mimi siyo Atheist wala Pagan.
Nakaribisha Atheists na open-minded Theists tujadili zaidi.
You don't need to die to know if Christianity is true or not. Once you are truly a Christian you will experience GOD and you will be sure.The opium of the mass/people. Dini ni utapeli mkubwa uliowahi kutokea Duniani na umehalalishwa kabisa.
Dini ndiyo itamfanya mtu aamini kuna Mungu au asiamini. Tatizo langu kubwa na dini ni kwanini zipo nyingi? Ikiwa wote tumeumbwa na Mungu mmoja iweje watu wagawanyike kimakundi wakijiaminisha Mungu wao ndiyo bora na dini yao ndiyo sahihi.
Mpaka sasa inakadiriwa kuna Miungu zaidi ya 3000 ambayo wanadamu wanaabudu. Dini kuu Duniani ni Ukristo na Uislamu: hiyo tayari ni Miungu miwili.
Jinsi dini zilivyoanzishwa na zilivyoingia Afrika ni jambo la kufikirisha na mtu mwenye akili timamu lazima ajiulize maswali. Je, watu walioishi Africa kabla ya dini, Mungu alifanya nini kuwaokoa watu wake kumjua na wasiangamie? Mungu yeye ni mkuu sana, kwanini ni watu wa jamii chache tu ndiyo walimjua kabla ya wengine? Siyo upendeleo huo?
Najua watapita wafia dini hapa (brainwashed) kuja kuandika kuwa nakufuru [emoji23] sijali, kwasababu siamini katika imani yoyote ile. Sifungamani na upande wowote.
Nimezaliwa na nimekulia kwenye Ukristo ila niliamua kwa hiari yangu mwenyewe kuachana na imani hiyo na kubaki kama nilivyozaliwa. Kwasasa naamini kwenye Deism (deist) mimi siyo Atheist wala Pagan.
Nakaribisha Atheists na open-minded Theists tujadili zaidi.
Ndio vile vile unataka tuone kwamba wasioamini Mungu ndio wanajua sana sayansi na kuizingatia na ndio maana hawaamimi Mungu, ukiangalia suala la watu kukana uwepo wa Mungu lipo kabla hata ya zama hizi za sayansi na teknolojia.Hawakuaminishi, bali ni kwamba waamini Mungu akili zao zimefungwa hadi zinapuuza Science
Ni ajabu sana na ndio maana hata atheists wapo wenye kubadili msimamo na kukubali uwepo wa Mungu na kuwa waamini Mungu pamoja na hoja zote walizokuwa wakitumia kudai hakuna Mungu.Kila dini ni ya kweli kulingana na waamini wake.
Unaelewa hilo!?
Kwenye dini zote zilizopo duniani, unadhan mtaelewana na waamini wengine kuhusu dini ipi ni ya kweli kama mtakutana kwenye mjadala!?
Ungezaliwa kwenye familia ya Kikristo unadhani ungekuwa unasema haya uyasemayo sasa!?
Which of the many gods are you even talking about? Why is yours any better than the others?You don't need to die to know if Christianity is true or not. Once you are truly a Christian you will experience GOD and you will be sure.
You can argue all you want but thats the truth.
Kukubali uwepo wa Muumbaji wa Ulimwengu na Mungu ni vitu viwili tofauti.Ni ajabu sana na ndio maana hata atheists wapo wenye kubadili msimamo na kukubali uwepo wa Mungu na kuwa waamini Mungu pamoja na hoja zote walizokuwa wakitumia kudai hakuna Mungu.
Ni kutofautiana mitazamo tu.
ππππ―π―π―People should understand, that Jesus Christ did not bring religion but "Salvation." Religion is man's creation,it has nothing to do with God whatsoever.
ππππΌββοΈπβββββWhat does all this imply,religion is a fake system of devide and rule designed by Satan himself,so a true believer in God with the Holy Spirit cannot associate himself with religion.
Misingi hiyo imewekwa na Nani!?Mimi naamini Dunia inajiendesha kwa misingi yake,
Hizo nguvu zinatoka wapi!?Hizi nguvu zilizopo makanisani ni nguvu za hapahapa Duniani kama
Nimeshasema mimi siyo Atheist. Naamini kuna Creator of the Universe, the first cause, an unmoved mover. Aliyeumba Ulimwengu ndiyo kaumba na misingi yake ili Dunia kujiendesha.Misingi hiyo imewekwa na Nani!?
Swali lako ni kama kuuliza uchawi unatoka wapi.Hizo nguvu zinatoka wapi!?
Anzisha dini yako Basi..Swali lako ni kama kuuliza uchawi unatoka wapi.
Ilipoumbwa nuru ndiyo na giza likaumbwa. Aliyeumba Ulimwengu ndiyo aliyeumba nguvu na roho zote safi na chafu.
Yalipoumbwa magonjwa ya mwili ndiyo zikaumbwa dawa: mimea n.k. Vivyo hivyo magonjwa ya rohoni yana tiba yake pia.
Dunia iliumbwa ikiwa imekamilika.
Na wanadamu mkuu.Misingi hiyo imewekwa na Nani!?
So nani kaanzisha religion mkuu,toa mawazo na wewe tukusikie.ππππΌββοΈπβββββ
Wakati mwingine unaonekana kama unaelewa hivii, lakini wakati mwingine ni kama huelewi vilee....!ππππ―π―π―