Nurain
JF-Expert Member
- Apr 28, 2022
- 2,403
- 5,315
Lete jina la kitabu ulichosoma kuhus dini Yako ya AfrikaMbona hata dini za Kiafrika zilikataza dhambi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lete jina la kitabu ulichosoma kuhus dini Yako ya AfrikaMbona hata dini za Kiafrika zilikataza dhambi
Kuwa mfuasi wa Imani bila kuwa na mwongozo unaohusu Imani Yako ni uzushiImani ni bora kuliko dini inashangaza sana nimekuwa bora kuliko mimi naamini meno ya lindi hulipa ulimi kama kazi yako dhambi unadhani malipo nini.
Faida za kua muislamu zina patikana hapa hapa duniani hata kabla ya kufa:The opium of the mass/people. Dini ni utapeli mkubwa uliowahi kutokea Duniani na umehalalishwa kabisa.
Dini ndiyo itamfanya mtu aamini kuna Mungu au asiamini. Tatizo langu kubwa na dini ni kwanini zipo nyingi? Ikiwa wote tumeumbwa na Mungu mmoja iweje watu wagawanyike kimakundi wakijiaminisha Mungu wao ndiyo bora na dini yao ndiyo sahihi.
Mpaka sasa inakadiriwa kuna Miungu zaidi ya 3000 ambayo wanadamu wanaabudu. Dini kuu Duniani ni Ukristo na Uislamu: hiyo tayari ni Miungu miwili.
Jinsi dini zilivyoanzishwa na zilivyoingia Africa ni jambo la kufikirisha na mtu mwenye akili timamu lazima ajiulize maswali. Je, watu walioishi Africa kabla ya dini, Mungu alifanya nini kuwaokoa watu wake kumjua na wasiangamie? Mungu yeye ni mkuu sana, kwanini ni watu wa jamii chache tu ndiyo walimjua kabla ya wengine? Siyo upendeleo huo?
Najua watapita wafia dini hapa (brainwashed) kuja kuandika kuwa nakufuru [emoji23] sijali, kwasababu siamini katika imani yoyote ile. Sifungamani na upande wowote.
Nimezaliwa na nimekulia kwenye Ukristo ila niliamua kwa hiari yangu mwenyewe kuachana na imani hiyo na kubaki kama nilivyozaliwa. Kwasasa naamini kwenye Deism (deist) mimi siyo Atheist wala Pagan.
Nakaribisha Atheists na open-minded Theists tujadili zaidi.
Dakika za mwisho maana yake kifo. Hivi siyo vitu vya kijinga ninavyohoji na kifo kipo palepale hakikwepeki hata kwa maombi.Hata Kingunge Ngombale Mwilu alikuwa anahoji vitu vya kijinga kama hivi, lakini dakika za mwisho alililia huduma ya Kanisa kwa kutoa machoni na kukiri Yesu ndiye Bwana!
Religions are indeed a scum,but Jesus Christ is not a scum.Infact even the Bible is questioning whether Jesus Christ is devided,because the presence of so many religionsThe opium of the mass/people. Dini ni utapeli mkubwa uliowahi kutokea Duniani na umehalalishwa kabisa.
Dini ndiyo itamfanya mtu aamini kuna Mungu au asiamini. Tatizo langu kubwa na dini ni kwanini zipo nyingi? Ikiwa wote tumeumbwa na Mungu mmoja iweje watu wagawanyike kimakundi wakijiaminisha Mungu wao ndiyo bora na dini yao ndiyo sahihi.
Mpaka sasa inakadiriwa kuna Miungu zaidi ya 3000 ambayo wanadamu wanaabudu. Dini kuu Duniani ni Ukristo na Uislamu: hiyo tayari ni Miungu miwili.
Jinsi dini zilivyoanzishwa na zilivyoingia Africa ni jambo la kufikirisha na mtu mwenye akili timamu lazima ajiulize maswali. Je, watu walioishi Africa kabla ya dini, Mungu alifanya nini kuwaokoa watu wake kumjua na wasiangamie? Mungu yeye ni mkuu sana, kwanini ni watu wa jamii chache tu ndiyo walimjua kabla ya wengine? Siyo upendeleo huo?
Najua watapita wafia dini hapa (brainwashed) kuja kuandika kuwa nakufuru 😂 sijali, kwasababu siamini katika imani yoyote ile. Sifungamani na upande wowote.
Nimezaliwa na nimekulia kwenye Ukristo ila niliamua kwa hiari yangu mwenyewe kuachana na imani hiyo na kubaki kama nilivyozaliwa. Kwasasa naamini kwenye Deism (deist) mimi siyo Atheist wala Pagan.
Nakaribisha Atheists na open-minded Theists tujadili zaidi.
Sijasema hivyo! Mimi siyo Atheist. Naamini kuna chanzo cha ulimwengu ambaye wengi wanamuita Mungu. Ila mimi najua hakuna akili ya mwanadamu inaweza kujua chanzo cha ulimwengu.
Ukiacha imani ya uwepo wa Mungu bado kuna imani nyingine baada ya kifo. Wapo wanaoamini kuna maisha baada ya kifo (mbingu au kuzimu) na wapo wanaoamini kifo ndiyo mwisho wa kila kitu.
Mimi naamini hakuna mbingu wala kuzimu kama vitabu vya dini vinavyoeleza. Imani yangu haimaanishi mimi nipo sahihi ndiyo maana nikasema ikitokea mbingu au kuzimu ipo basi nitakapoenda nitakutana na aidha Waislamu au Wakristo na ikitokea wote wapo sahihi kwenye imani zao basi na mimi nitakuwa watakapoenda.
Propaganda.Hata Kingunge Ngombale Mwilu alikuwa anahoji vitu vya kijinga kama hivi, lakini dakika za mwisho alililia huduma ya Kanisa kwa kutoa machoni na kukiri Yesu ndiye Bwana!
Imani yangu haitegemei dini kung'amua mema na mabaya.Kuwa mfuasi wa Imani bila kuwa na mwongozo unaohusu Imani Yako ni uzushi
Cha kukusaidia tu ili upate ukweli wa mambo anza kusoma vitabu vya hzo din zote kisha mwsho utakuja jua ukweli umekaaje vinginevyo tutajaadili mengi lakin yote yatabaki kuwa ni dhana tu na huwez pata jibu sahihiSijawahi kuvaa rozari. Na hoja yako imethibitisha nilichokiandika. Unahisi dini yako ndiyo ya kweli na sahihi, kwanini?
Kwanini unadhan Islam ni best kuliko zingine?Dini yenu wavaa rozari ndio Ina ma-Scam. Wengi mnajifanya kujificha nyuma ya uongo wenu Kwa kugeneralize dini zote.
Islam is the Best Religion for Mankind
Sihitaji kitabu kujua dhambi ambazo mizimu yangu(dini yangu ya mizimu) ya kinyiramba inakatazaLete jina la kitabu ulichosoma kuhus dini Yako ya Afrika
Hivi hii imani ya kuamini mizimu pia inaamini na Mungu au ni mizimu tu?Sihitaji kitabu kujua dhambi ambazo mizimu yangu(dini yangu ya mizimu) ya kinyiramba inakataza
Best religion hii ambayo kiongozi wao alikuwa anabandua mtoto wa miaka 9?Dini yenu wavaa rozari ndio Ina ma-Scam. Wengi mnajifanya kujificha nyuma ya uongo wenu Kwa kugeneralize dini zote.
Islam is the Best Religion for Mankind
Ninyi waamini dini ndio huwa mnapovu pale ambapo mtu akiwasilisha maoni yake ya kwamba haamini dini na Mungu.Tatizo la hawa watu waliyoacha kuamini dini ni kwamba wanakuwa kama hawajiamini na wanachosimamia au wanachoamini baada ya kuacha kuacha kuamini katika dini, na wengine utaona kama wana hasira kabisa na hizi dini pamoja na waumini wake.
Ngumu kujifunza kutoka kwao sehemu kubwa katika majadiliano yao hutumia kuonyesha dharau na kushambulia waumini wa dini kuwaona ni wajinga hawana elimu, wanaamini kushambulia dini kama hivyo ndio kuna wafanya wao kuwa sahihi katika hiyo mitazamo waliyonayo au wanayoyaamini sasa.
Wafia dini ndo huwa wana tabia ya kushambulia the opposite side. Mahubiri yao huwa yamejaa huo upuuzi.Tatizo la hawa watu waliyoacha kuamini dini ni kwamba wanakuwa kama hawajiamini na wanachosimamia au wanachoamini baada ya kuacha kuacha kuamini katika dini, na wengine utaona kama wana hasira kabisa na hizi dini pamoja na waumini wake.