Kilimbatz
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 4,331
- 5,865
Aahaaaa nini mkuuDah we Jamaa 😂😀🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aahaaaa nini mkuuDah we Jamaa 😂😀🤣🤣
Hebu tizama mleta mada jinsi alivyowasilisha mada yake hivyo ndio hawa watu walivyo, sasa hapo waamini dini wakijibu mashambulizi ndio wao huonekana wanashambulia?Wafia dini ndo huwa wana tabia ya kushambulia the opposite side. Mahubiri yao huwa yamejaa huo upuuzi.
Wanasayansi upewa uwezo huo na Mungu.View attachment 2753101
Wakiwa wazima wanakiburi na kutukana uwezo science tena huwa wanadai science inalengo la kumpinga Mungu wao.
waache tu, Hospital watakuja tu
Google African religionLete jina la kitabu ulichosoma kuhus dini Yako ya Afrika
Mtoto wa miaka 9 anaingiliwaje sasa.Best religion hii ambayo kiongozi wao alikuwa anabandua mtoto wa miaka 9?
God created the World and man,but he also gave man freewill:to choose between God and Satan,but not without consequences.So if you have choosen Satan,which I believe you have,the consequence is eternal condemnation,unless you repent of your iniquity.Who created this world in which sinning is possible?"
Yesu ni dini,dini ni mkusanyiko wa watu wenye Nia moja kiimani.Huhitaji dini kumtafuta Mungu,Imani inatosha
Mbona Yesu aliishi Kwa Imani,
Yesu hakuwa na dini,wafuasi wake ndo walimfanya kuwa diniYesu ni dini,dini ni mkusanyiko wa watu wenye Nia moja kiimani.
Imani ni jambo binafsi.
Angalia nyuzi zote za watu wasioamini dini na Mungu, uone mashambulizi ya waamini Mungu na matusi wanayo yatoa.Jaribu kuchunguza vizuri, asilimia kubwa yenu huwa mnadharau huwa hamchukulii hili suala kama ni kutofautiana tu mitazamo bali moja kwa moja huchukulia wenye kuamini dini na Mungu ni ujinga tu ndio unaowafanya kuamini.
True yeye alikua njiaYesu hakuwa na dini,wafuasi wake ndo walimfanya kuwa dini
The opium of the mass/people. Dini ni utapeli mkubwa uliowahi kutokea Duniani na umehalalishwa kabisa.
Dini ndiyo itamfanya mtu aamini kuna Mungu au asiamini. Tatizo langu kubwa na dini ni kwanini zipo nyingi? Ikiwa wote tumeumbwa na Mungu mmoja iweje watu wagawanyike kimakundi wakijiaminisha Mungu wao ndiyo bora na dini yao ndiyo sahihi.
Mpaka sasa inakadiriwa kuna Miungu zaidi ya 3000 ambayo wanadamu wanaabudu. Dini kuu Duniani ni Ukristo na Uislamu: hiyo tayari ni Miungu miwili.
Jinsi dini zilivyoanzishwa na zilivyoingia Afrika ni jambo la kufikirisha na mtu mwenye akili timamu lazima ajiulize maswali. Je, watu walioishi Africa kabla ya dini, Mungu alifanya nini kuwaokoa watu wake kumjua na wasiangamie? Mungu yeye ni mkuu sana, kwanini ni watu wa jamii chache tu ndiyo walimjua kabla ya wengine? Siyo upendeleo huo?
Najua watapita wafia dini hapa (brainwashed) kuja kuandika kuwa nakufuru 😂 sijali, kwasababu siamini katika imani yoyote ile. Sifungamani na upande wowote.
Nimezaliwa na nimekulia kwenye Ukristo ila niliamua kwa hiari yangu mwenyewe kuachana na imani hiyo na kubaki kama nilivyozaliwa. Kwasasa naamini kwenye Deism (deist) mimi siyo Atheist wala Pagan.
Nakaribisha Atheists na open-minded Theists tujadili zaidi.
Angalia mleta mada jinsi alivyowasilisha mada yake ndio utajua tatizo linaanzia wapi.Angalia nyuzi zote za watu wasioamini dini na Mungu, uone mashambulizi ya waamini Mungu na matusi wanayo yatoa.
Kwa vile tu, dini yao na imani yao imetajwa.
Dini yenu wavaa rozari ndio Ina ma-Scam. Wengi mnajifanya kujificha nyuma ya uongo wenu Kwa kugeneralize dini zote.
Islam is the Best Religion for Mankind
Yameisha kaka maana umejipakulia minyama ya kutosha.Nisamehe mkuu,ahahaha
Nime kukumbuka best 😂🤣, halafu swaga ulizo andika zime nichekesha Sana 😂🤣.Aahaaaa nini mkuu
Mungu ni mmoja na Dini ni Moja tu UislamThe opium of the mass/people. Dini ni utapeli mkubwa uliowahi kutokea Duniani na umehalalishwa kabisa.
Dini ndiyo itamfanya mtu aamini kuna Mungu au asiamini. Tatizo langu kubwa na dini ni kwanini zipo nyingi? Ikiwa wote tumeumbwa na Mungu mmoja iweje watu wagawanyike kimakundi wakijiaminisha Mungu wao ndiyo bora na dini yao ndiyo sahihi.
Mpaka sasa inakadiriwa kuna Miungu zaidi ya 3000 ambayo wanadamu wanaabudu. Dini kuu Duniani ni Ukristo na Uislamu: hiyo tayari ni Miungu miwili.
Jinsi dini zilivyoanzishwa na zilivyoingia Afrika ni jambo la kufikirisha na mtu mwenye akili timamu lazima ajiulize maswali. Je, watu walioishi Africa kabla ya dini, Mungu alifanya nini kuwaokoa watu wake kumjua na wasiangamie? Mungu yeye ni mkuu sana, kwanini ni watu wa jamii chache tu ndiyo walimjua kabla ya wengine? Siyo upendeleo huo?
Najua watapita wafia dini hapa (brainwashed) kuja kuandika kuwa nakufuru [emoji23] sijali, kwasababu siamini katika imani yoyote ile. Sifungamani na upande wowote.
Nimezaliwa na nimekulia kwenye Ukristo ila niliamua kwa hiari yangu mwenyewe kuachana na imani hiyo na kubaki kama nilivyozaliwa. Kwasasa naamini kwenye Deism (deist) mimi siyo Atheist wala Pagan.
Nakaribisha Atheists na open-minded Theists tujadili zaidi.
Ndiyo, naamini ktk higher power. Naamini kuna chanzo cha ulimwengu (creator).Nina maswali ndugu.
Wewe kama deist una amini ktk higher power au tusema New Age spirituality.
Je, unaamini ulimwengu/universe/multiverse vimetoka wapi ?
Vimetokea TU by chance kama big bang?
Kuna source au creator?
Wewe unaongea emotion hapo mwisho.Ndiyo, naamini ktk higher power. Naamini kuna chanzo cha ulimwengu (creator).
Big bang ni nadharia ambayo haina mashiko. Ulimwengu na siri zake pamoja na uhai wa viumbe unadhihirisha uwepo wa nguvu kubwa nje ya upeo wa mwanadamu iliyoweza kuunganisha vitu vyote hivi.
Suala la dini lilikuja wanadamu walipojaribu kutaka kujua mtu aliye juu ya Ulimwengu. Hakuna na haitatokea akili ya mwanadamu kumjua mtu aliyetuumba akiwa bado hai labda kwenye dimension nyingine.
Creator wa Ulimwengu yupo kwenye dimension nyingine kabisa na mimi naamini ni Roho hapa naungana na vitabu vya dini. Sasa ili ukutane na Roho maana yake lazima uuache mwili na hicho ndiyo kifo. Watu waliowahi kupata Near Death Experience huwa wanatoa ushuhuda wa afterlife.
Mimi ninachopingana na dini na imani zote ni kutaka kujiweka karibu na kutaka kumjua Mungu, haiwezekani. Kama creator wa Ulimwengu angetaka tumjue basi angejidhihirisha machoni kwa kila mwanadamu ila hahitaji kufanya hilo. Hata dhana za peponi/mbinguni na kuzimu ni za uongo tu.
Hakuna maombi wala miujiza. Mimi naamini Dunia inajiendesha kwa misingi yake, hakuna mtu anayekusiliza unapoomba. Hizi nguvu zilizopo makanisani ni nguvu za hapahapa Duniani kama ilivyo uchawi, hata watumishi wa Mungu wengine wanatumia nguvu za kichawi kuwatapeli watu.