Religion is the perfect scam. They sell an invisible product that you can only test and verify after you die

Wafia dini ndo huwa wana tabia ya kushambulia the opposite side. Mahubiri yao huwa yamejaa huo upuuzi.
Hebu tizama mleta mada jinsi alivyowasilisha mada yake hivyo ndio hawa watu walivyo, sasa hapo waamini dini wakijibu mashambulizi ndio wao huonekana wanashambulia?
 
Best religion hii ambayo kiongozi wao alikuwa anabandua mtoto wa miaka 9?
Mtoto wa miaka 9 anaingiliwaje sasa.
Kuoa na kuingilia ni vitu tofaut.
Kabla ya sheria watu walio hata mtoto wa miaka 2 akiwa chini ya uangalizi wa wazazi wake hadi umri wa kuingiliwa ukifika,kumbuka zamani wanawake walitunza bikira zao kwa ajili ya ndoa,huna unakatwa kichwa.
 
Who created this world in which sinning is possible?"
God created the World and man,but he also gave man freewill:to choose between God and Satan,but not without consequences.So if you have choosen Satan,which I believe you have,the consequence is eternal condemnation,unless you repent of your iniquity.
 
Jaribu kuchunguza vizuri, asilimia kubwa yenu huwa mnadharau huwa hamchukulii hili suala kama ni kutofautiana tu mitazamo bali moja kwa moja huchukulia wenye kuamini dini na Mungu ni ujinga tu ndio unaowafanya kuamini.
Angalia nyuzi zote za watu wasioamini dini na Mungu, uone mashambulizi ya waamini Mungu na matusi wanayo yatoa.

Kwa vile tu, dini yao na imani yao imetajwa.
 
Nina maswali ndugu.
Wewe kama deist una amini ktk higher power au tusema New Age spirituality.
Je, unaamini ulimwengu/universe/multiverse vimetoka wapi ?
Vimetokea TU by chance kama big bang?
Kuna source au creator?
 
kwa sasa hauwez kuijua dini ya kweli mpaka utakapokufa.uzuri malaika wa kaburi moja ya maswali yao ni ipi dini yako.sasa wewe utawajibu unavyojua
 
The opium of the mass/people. Dini ni utapeli mkubwa uliowahi kutokea Duniani na umehalalishwa kabisa.

Dini ndiyo itamfanya mtu aamini kuna Mungu au asiamini. Tatizo langu kubwa na dini ni kwanini zipo nyingi? Ikiwa wote tumeumbwa na Mungu mmoja iweje watu wagawanyike kimakundi wakijiaminisha Mungu wao ndiyo bora na dini yao ndiyo sahihi.

Mpaka sasa inakadiriwa kuna Miungu zaidi ya 3000 ambayo wanadamu wanaabudu. Dini kuu Duniani ni Ukristo na Uislamu: hiyo tayari ni Miungu miwili.

Jinsi dini zilivyoanzishwa na zilivyoingia Afrika ni jambo la kufikirisha na mtu mwenye akili timamu lazima ajiulize maswali. Je, watu walioishi Africa kabla ya dini, Mungu alifanya nini kuwaokoa watu wake kumjua na wasiangamie? Mungu yeye ni mkuu sana, kwanini ni watu wa jamii chache tu ndiyo walimjua kabla ya wengine? Siyo upendeleo huo?

Najua watapita wafia dini hapa (brainwashed) kuja kuandika kuwa nakufuru 😂 sijali, kwasababu siamini katika imani yoyote ile. Sifungamani na upande wowote.

Nimezaliwa na nimekulia kwenye Ukristo ila niliamua kwa hiari yangu mwenyewe kuachana na imani hiyo na kubaki kama nilivyozaliwa. Kwasasa naamini kwenye Deism (deist) mimi siyo Atheist wala Pagan.

Nakaribisha Atheists na open-minded Theists tujadili zaidi.

"you can only test and verify after you die"! If you will die.​

Angalia nyuzi zote za watu wasioamini dini na Mungu, uone mashambulizi ya waamini Mungu na matusi wanayo yatoa.

Kwa vile tu, dini yao na imani yao imetajwa.
Angalia mleta mada jinsi alivyowasilisha mada yake ndio utajua tatizo linaanzia wapi.
 
The opium of the mass/people. Dini ni utapeli mkubwa uliowahi kutokea Duniani na umehalalishwa kabisa.

Dini ndiyo itamfanya mtu aamini kuna Mungu au asiamini. Tatizo langu kubwa na dini ni kwanini zipo nyingi? Ikiwa wote tumeumbwa na Mungu mmoja iweje watu wagawanyike kimakundi wakijiaminisha Mungu wao ndiyo bora na dini yao ndiyo sahihi.

Mpaka sasa inakadiriwa kuna Miungu zaidi ya 3000 ambayo wanadamu wanaabudu. Dini kuu Duniani ni Ukristo na Uislamu: hiyo tayari ni Miungu miwili.

Jinsi dini zilivyoanzishwa na zilivyoingia Afrika ni jambo la kufikirisha na mtu mwenye akili timamu lazima ajiulize maswali. Je, watu walioishi Africa kabla ya dini, Mungu alifanya nini kuwaokoa watu wake kumjua na wasiangamie? Mungu yeye ni mkuu sana, kwanini ni watu wa jamii chache tu ndiyo walimjua kabla ya wengine? Siyo upendeleo huo?

Najua watapita wafia dini hapa (brainwashed) kuja kuandika kuwa nakufuru [emoji23] sijali, kwasababu siamini katika imani yoyote ile. Sifungamani na upande wowote.

Nimezaliwa na nimekulia kwenye Ukristo ila niliamua kwa hiari yangu mwenyewe kuachana na imani hiyo na kubaki kama nilivyozaliwa. Kwasasa naamini kwenye Deism (deist) mimi siyo Atheist wala Pagan.

Nakaribisha Atheists na open-minded Theists tujadili zaidi.
Mungu ni mmoja na Dini ni Moja tu Uislam

Qurani 3:19 -
Bila ya shaka Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu. Na walio pewa Kitabu hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa sababu ya uhasidi ulio kuwa baina yao. Na anaye zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwepesi wa kuhisabu.

Na binadamu wote wanazaliwa wakiwa waislam

Eidha wewe mwenyewe au wazazi wako ndio walikutoa katika dini uliyozaliwa nayo wakakuingiza katika dini za uongo

Qurani 30:30 -
Basi uelekeze uso wako sawasawa kwenye Dini - ndilo umbile la Mwenyezi Mungu alilo waumbia watu. Hapana mabadiliko katika uumbaji wa Mwenyezi Mungu. Hiyo ndiyo Dini iliyo nyooka sawa. Lakini watu wengi hawajui.
 
Nina maswali ndugu.
Wewe kama deist una amini ktk higher power au tusema New Age spirituality.
Je, unaamini ulimwengu/universe/multiverse vimetoka wapi ?
Vimetokea TU by chance kama big bang?
Kuna source au creator?
Ndiyo, naamini ktk higher power. Naamini kuna chanzo cha ulimwengu (creator).

Big bang ni nadharia ambayo haina mashiko. Ulimwengu na siri zake pamoja na uhai wa viumbe unadhihirisha uwepo wa nguvu kubwa nje ya upeo wa mwanadamu iliyoweza kuunganisha vitu vyote hivi.

Suala la dini lilikuja wanadamu walipojaribu kutaka kujua mtu aliye juu ya Ulimwengu. Hakuna na haitatokea akili ya mwanadamu kumjua mtu aliyetuumba akiwa bado hai labda kwenye dimension nyingine.

Creator wa Ulimwengu yupo kwenye dimension nyingine kabisa na mimi naamini ni Roho hapa naungana na vitabu vya dini. Sasa ili ukutane na Roho maana yake lazima uuache mwili na hicho ndiyo kifo. Watu waliowahi kupata Near Death Experience huwa wanatoa ushuhuda wa afterlife.

Mimi ninachopingana na dini na imani zote ni kutaka kujiweka karibu na kutaka kumjua Mungu, haiwezekani. Kama creator wa Ulimwengu angetaka tumjue basi angejidhihirisha machoni kwa kila mwanadamu ila hahitaji kufanya hilo. Hata dhana za peponi/mbinguni na kuzimu ni za uongo tu.

Hakuna maombi wala miujiza. Mimi naamini Dunia inajiendesha kwa misingi yake, hakuna mtu anayekusiliza unapoomba. Hizi nguvu zilizopo makanisani ni nguvu za hapahapa Duniani kama ilivyo uchawi, hata watumishi wa Mungu wengine wanatumia nguvu za kichawi kuwatapeli watu.
 
Wewe unaongea emotion hapo mwisho.
Swali unasema hakuna muujiza ,wewe ni muujiza ni intelligent zaidi ya wanyama na vitu vingine perfect kama usiku na mchana, mke na mume, mbingu na ardhi
Unataka kusema The High Being anaweza akatuacha hivi bila mwongozo ukizingatia binadamu na mapungufu yake.
Sasa unatoa wapi moral standards maana ya jema na baya au hakuna baya .
Hivyo mwongo ni mawasiliano na viumbe kupitia wao Kwa wao wameapatikana mitume na vitabu wakapewa.
Ugumu uko wapi,
Binadamu matapeli hiyo human bloody nature usihusishe na mfumo wa mawasiliano ya kiumbe Kwa aliye Muumba
 
Back
Top Bottom