Religion is the perfect scam. They sell an invisible product that you can only test and verify after you die

The opium of the mass/people. Dini ni utapeli mkubwa uliowahi kutokea Duniani na umehalalishwa kabisa.

Dini ndiyo itamfanya mtu aamini kuna Mungu au asiamini. Tatizo langu kubwa na dini ni kwanini zipo nyingi? Ikiwa wote tumeumbwa na Mungu mmoja iweje watu wagawanyike kimakundi wakijiaminisha Mungu wao ndiyo bora na dini yao ndiyo sahihi.

Mpaka sasa inakadiriwa kuna Miungu zaidi ya 3000 ambayo wanadamu wanaabudu. Dini kuu Duniani ni Ukristo na Uislamu: hiyo tayari ni Miungu miwili.

Jinsi dini zilivyoanzishwa na zilivyoingia Afrika ni jambo la kufikirisha na mtu mwenye akili timamu lazima ajiulize maswali. Je, watu walioishi Africa kabla ya dini, Mungu alifanya nini kuwaokoa watu wake kumjua na wasiangamie? Mungu yeye ni mkuu sana, kwanini ni watu wa jamii chache tu ndiyo walimjua kabla ya wengine? Siyo upendeleo huo?

Najua watapita wafia dini hapa (brainwashed) kuja kuandika kuwa nakufuru 😂 sijali, kwasababu siamini katika imani yoyote ile. Sifungamani na upande wowote.

Nimezaliwa na nimekulia kwenye Ukristo ila niliamua kwa hiari yangu mwenyewe kuachana na imani hiyo na kubaki kama nilivyozaliwa. Kwasasa naamini kwenye Deism (deist) mimi siyo Atheist wala Pagan.

Nakaribisha Atheists na open-minded Theists tujadili zaidi.
Kiasili dini ni Moja na Mungu ni mmoja, uwepo wa dini nyingi ni watu kuacha dini ya sawa na haki, na kufata matamanio yao nafsi.

Naomba nikuulize swali, kwani dini Afrika zilingiaje ? Watu walio ishi Afrika kabla ya dini, unamaanisha lini ?

Hivi kwa akili ya kawaida unafikiri Mola hajaweka wazi juu ya waja wake ambao hawakufikiwa na ujumbe wake ? Ujumbe kuhusu yeye ? Jibu, ni ngumu, je ushawahi kuuliza au kutaka kujua hilo ?
 
Siamini uwepo wa miungu ya Wakristo Wala Waislamu

Naamini kwenye mizimu ya kinyiramba na Kiha

Ukiniona Kanisani ujue mama watoto ameniomba nikamsaidie kumuuzia sura kwa mashoga zake kuwa ana mume handsome,mpiga pamba Kali na mcha Mungu

Jina langu ni Yohana,hata sijui Hilo jina linamanisha nini kimzimu,hata sijui mizimu yake ilikuwaje

Huwa najisikia amani na furaha nikiitwa Kilimba,at least I know what the hell it means
$hekulu Akuligwe!!
 
Dini yenu wavaa rozari ndio Ina ma-Scam. Wengi mnajifanya kujificha nyuma ya uongo wenu Kwa kugeneralize dini zote.

Islam is the Best Religion for Mankind
Ukristo ni zaidi ya dini, ni zawadi, ni ufunuo, kwa asiyepewa hiyo zawadi na kufunnuliwa hawezi kamwe kuamini ukristo. Utaishia kukashifu na kutukana kutokana na malezi mabovu ya primitive mythology ulizofundishwa katika the so called dini yako
 
Kiasili dini ni Moja na Mungu ni mmoja, uwepo wa dini nyingi ni watu kuacha dini ya sawa na haki, na kufata matamanio yao nafsi.

Naomba nikuulize swali, kwani dini Afrika zilingiaje ? Watu walio ishi Afrika kabla ya dini, unamaanisha lini ?

Hivi kwa akili ya kawaida unafikiri Mola hajaweka wazi juu ya waja wake ambao hawakufikiwa na ujumbe wake ? Ujumbe kuhusu yeye ? Jibu, ni ngumu, je ushawahi kuuliza au kutaka kujua hilo ?
Kila kundi la watu lilipewa muonyaji hajalisha kabila au tamaduni.
Wewe unaangalia hiki kizazi.
Mitume wametumwa Kwa maelfu Kwa kazi Moja Kwa watu wao.
Kuna aborigins,adzabe,beduins wote watakuwa na muonyaji.
 
Wewe unaongea emotion hapo mwisho.
Swali unasema hakuna muujiza ,wewe ni muujiza ni intelligent zaidi ya wanyama na vitu vingine perfect kama usiku na mchana, mke na mume, mbingu na ardhi
Unataka kusema The High Being anaweza akatuacha hivi bila mwongozo ukizingatia binadamu na mapungufu yake.
Sasa unatoa wapi moral standards maana ya jema na baya au hakuna baya .
Hivyo mwongo ni mawasiliano na viumbe kupitia wao Kwa wao wameapatikana mitume na vitabu wakapewa.
Ugumu uko wapi,
Binadamu matapeli hiyo human bloody nature usihusishe na mfumo wa mawasiliano ya kiumbe Kwa aliye Muumba
Tukibaki kwenye dhana ya uwepo wa Mungu basi mwanadamu siyo muujiza mbele zake ila kwetu sisi wanadamu kila kitu kwenye Ulimwengu ni muujiza kwasababu hatujui vyote hivi vimetokea wapi.

Mungu kutokana na uwezo alionao bado akaumba viumbe wenye mapungufu? Pamoja na uwezo wake alamtoa mwanaye wa pekee aje kuukomboa ulimwengu, kwa nguvu zake si angeweza kuukomboa mwenyewe. Pia kwa nguvu zake alishajua free will lazima itaufanga Ulimwengu uende ndivyo sivyo.

Ndiyo maana mimi nabaki kuamini hakuna muunganiko wa Mungu anayeelezewa kwenye vitabu vya dini na huu Ulimwengu. Kila kitu ni mambo yaliyotokea vizazi vingi vilivyopita. Bado pia dini zote zinakinzana kumuelezea huyo Mungu.

Hapo mwanzo miujiza niliyoelezea ni ile ya kwenda nyumba za ibada kuomba upate kazi, gari nyumba wakati hakuna effort yoyote unayoweka physically kuvipata. Haiwezekani, hakuna miujiza.

Creator wa Ulimwengu ni mmoja tu na hakuna kiumbe ataweza kumjua siyo kwa dini wala chochote kile.
 
The opium of the mass/people. Dini ni utapeli mkubwa uliowahi kutokea Duniani na umehalalishwa kabisa.

Dini ndiyo itamfanya mtu aamini kuna Mungu au asiamini. Tatizo langu kubwa na dini ni kwanini zipo nyingi? Ikiwa wote tumeumbwa na Mungu mmoja iweje watu wagawanyike kimakundi wakijiaminisha Mungu wao ndiyo bora na dini yao ndiyo sahihi.

Mpaka sasa inakadiriwa kuna Miungu zaidi ya 3000 ambayo wanadamu wanaabudu. Dini kuu Duniani ni Ukristo na Uislamu: hiyo tayari ni Miungu miwili.

Jinsi dini zilivyoanzishwa na zilivyoingia Afrika ni jambo la kufikirisha na mtu mwenye akili timamu lazima ajiulize maswali. Je, watu walioishi Africa kabla ya dini, Mungu alifanya nini kuwaokoa watu wake kumjua na wasiangamie? Mungu yeye ni mkuu sana, kwanini ni watu wa jamii chache tu ndiyo walimjua kabla ya wengine? Siyo upendeleo huo?

Najua watapita wafia dini hapa (brainwashed) kuja kuandika kuwa nakufuru 😂 sijali, kwasababu siamini katika imani yoyote ile. Sifungamani na upande wowote.

Nimezaliwa na nimekulia kwenye Ukristo ila niliamua kwa hiari yangu mwenyewe kuachana na imani hiyo na kubaki kama nilivyozaliwa. Kwasasa naamini kwenye Deism (deist) mimi siyo Atheist wala Pagan.

Nakaribisha Atheists na open-minded Theists tujadili zaidi.
MUNGU huyu hapa bro 👇💥 ukimpata unaishi Hedeni yako saafi
IMG_20230918_115807.jpg
 
Ukristo ni zaidi ya dini, ni zawadi, ni ufunuo, kwa asiyepewa hiyo zawadi na kufunnuliwa hawezi kamwe kuamini ukristo. Utaishia kukashifu na kutukana kutokana na malezi mabovu ya primitive mythology ulizofundishwa katika the so called dini yako
Sasa hapo inakuwaje watu mnaoamini Mungu (upendo) mnapigana vikumbo kwa kila mmoja wenu kukashifu dini ya mwenzake. Hahahahah!

😂😂😂
 
Tukibaki kwenye dhana ya uwepo wa Mungu basi mwanadamu siyo muujiza mbele zake ila kwetu sisi wanadamu kila kitu kwenye Ulimwengu ni muujiza kwasababu hatujui vyote hivi vimetokea wapi.

Mungu kutokana na uwezo alionao bado akaumba viumbe wenye mapungufu? Pamoja na uwezo wake alamtoa mwanaye wa pekee aje kuukomboa ulimwengu, kwa nguvu zake si angeweza kuukomboa mwenyewe. Pia kwa nguvu zake alishajua free will lazima itaufanga Ulimwengu uende ndivyo sivyo.

Ndiyo maana mimi nabaki kuamini hakuna muunganiko wa Mungu anayeelezewa kwenye vitabu vya dini na huu Ulimwengu. Kila kitu ni mambo yaliyotokea vizazi vingi vilivyopita. Bado pia dini zote zinakinzana kumuelezea huyo Mungu.

Hapo mwanzo miujiza niliyoelezea ni ile ya kwenda nyumba za ibada kuomba upate kazi, gari nyumba wakati hakuna effort yoyote unayoweka physically kuvipata. Haiwezekani, hakuna miujiza.

Creator wa Ulimwengu ni mmoja tu na hakuna kiumbe ataweza kumjua siyo kwa dini wala chochote kile.
Free-will wewe ndio unaita mapungufu na ni uwezo wa kuchagua jambo Kwa hiyari.
Ndio ujue hapa uko ktk test ya hiyo free-will ukiweza kuitumia vizuri malipo ni hapa na baadae
 
MUNGU huyu hapa bro 👇💥 ukimpata unaishi Hedeni yako saafiView attachment 2753250
Hili ndiyo jambo la msingi Duniani. Bila pesa watu wanakufa njaa, magonjwa n.k.

Sasa kuna watu wanatafuta wanawapelekea watu wengine kula kirahisi tu. Eti wao wanakula "madhabahuni pa bwana" halafu wengine ni sawa kuteseka. 😁
 
Na yeyote anayetaka dini isiyokuwa ya Kiislamu basi haitokubaliwa kwake; naye katika Aakhirah atakuwa miongoni mwa waliokhasirika [Aal-‘Imraan: 85]
Jitu jeusi tii kama tako la Iddi Amini linashadadia mila za kiarabu. Ndo maana mnaswali Zaid ya mara tano kwa siku na kijisugua paji za nyuso zenu na steel wire na msasa muwe na sijdah eti mmeahidiwa mkifa kwenye uislamu mtabadiika na kuwa wa waarabu.

Mxiuuuu
 
Free-will wewe ndio unaita mapungufu na ni uwezo wa kuchagua jambo Kwa hiyari.
Ndio ujue hapa uko ktk test ya hiyo free-will ukiweza kuitumia vizuri malipo ni hapa na baadae
Sasa kama aliweka free will. Kwanini awape adhabu ya moto wasiomuamini? Mungu angejidhihirisha kwa kila mwanadamu leo kusingekuwa na huu mjadala.

Ila ni kwanini? Ni kwasababu Creator wa Ulimwengu (wenye dini wanamuita Mungu) hahitaji kufanya hivyo. Wanadamu wenyewe ndiyo wamekuja na nadharia zao. Hata ujio wa Yesu ni story kama story nyingine, vitabu tu havitoshi kuthibitisha uwepo wa Mungu.

Mimi naamini Creator wa Ulimwengu hahitaji binadamu wala mtume kusambaza taarifa za uwepo wake. Hata dhana ya peponi na kuzimu haina mantiki kama Mungu aliumba Ulimwengu ili viumbe wake baadhi waishie peponi na wengine waishie motoni. Hakuna maana ya free will mpaka hapo.
 
Sasa wewe karatasi kaprint mtu Kisha wewe uvuje jasho au kuwa mtumwa sehemu kuipata hiyo karatasi na kuitunza benki.
In Gold Oil Diamond we trust.?
Emu soma vizuri Kuna neno 'In GOD We Trust' so who is GOD? Ushaonyeshwa
 
Wewe mmatumbi una ambiwa abudu mungu wa Ibrahim , isaka na yakobo marehemu wa kizungu na kiarabu , huku marehemu babu zako umewapa jina baya la mizimu na ushetan shtuka.
1694948908275.jpg
 
Unakuta mtu ni mmatumbi anajiita et mroma[emoji16][emoji16]
20230915_121515.jpg
 
Sasa kama aliweka free will. Kwanini awape adhabu ya moto wasiomuamini? Mungu angejidhihirisha kwa kila mwanadamu leo kusingekuwa na huu mjadala.

Ila ni kwanini? Ni kwasababu Creator wa Ulimwengu (wenye dini wanamuita Mungu) hahitaji kufanya hivyo. Wanadamu wenyewe ndiyo wamekuja na nadharia zao. Hata ujio wa Yesu ni story kama story nyingine, vitabu tu havitoshi kuthibitisha uwepo wa Mungu.

Mimi naamini Creator wa Ulimwengu hahitaji binadamu wala mtume kusambaza taarifa za uwepo wake. Hata dhana ya peponi na kuzimu haina mantiki kama Mungu aliumba Ulimwengu ili viumbe wake baadhi waishie peponi na wengine waishie motoni. Hakuna maana ya free will mpaka hapo.
Wewe unataka binadamu awe sawa na mnyama ambae Hana free-will.
Good luck try that road.
 
Sasa kama aliweka free will. Kwanini awape adhabu ya moto wasiomuamini? Mungu angejidhihirisha kwa kila mwanadamu leo kusingekuwa na huu mjadala.

Ila ni kwanini? Ni kwasababu Creator wa Ulimwengu (wenye dini wanamuita Mungu) hahitaji kufanya hivyo. Wanadamu wenyewe ndiyo wamekuja na nadharia zao. Hata ujio wa Yesu ni story kama story nyingine, vitabu tu havitoshi kuthibitisha uwepo wa Mungu.

Mimi naamini Creator wa Ulimwengu hahitaji binadamu wala mtume kusambaza taarifa za uwepo wake. Hata dhana ya peponi na kuzimu haina mantiki kama Mungu aliumba Ulimwengu ili viumbe wake baadhi waishie peponi na wengine waishie motoni. Hakuna maana ya free will mpaka hapo.
Wewe unamuamini Mungu wa Spinoza, Mungu ambaye hajihusishi na vitu alivoumba.
 
Back
Top Bottom