Adverse Effect
JF-Expert Member
- Oct 8, 2017
- 2,049
- 5,449
Umesema kweli na ukweli kuhusu dini, kwa mtazamo wangu dini haina tofauti na mradi au zikiwa dini nyingi ni miradi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The opium of the mass/people. Dini ni utapeli mkubwa uliowahi kutokea Duniani na umehalalishwa kabisa.
Dini ndiyo itamfanya mtu aamini kuna Mungu au asiamini. Tatizo langu kubwa na dini ni kwanini zipo nyingi? Ikiwa wote tumeumbwa na Mungu mmoja iweje watu wagawanyike kimakundi wakijiaminisha Mungu wao ndiyo bora na dini yao ndiyo sahihi.
Mpaka sasa inakadiriwa kuna Miungu zaidi ya 3000 ambayo wanadamu wanaabudu. Dini kuu Duniani ni Ukristo na Uislamu: hiyo tayari ni Miungu miwili.
Jinsi dini zilivyoanzishwa na zilivyoingia Afrika ni jambo la kufikirisha na mtu mwenye akili timamu lazima ajiulize maswali. Je, watu walioishi Africa kabla ya dini, Mungu alifanya nini kuwaokoa watu wake kumjua na wasiangamie? Mungu yeye ni mkuu sana, kwanini ni watu wa jamii chache tu ndiyo walimjua kabla ya wengine? Siyo upendeleo huo?
Najua watapita wafia dini hapa (brainwashed) kuja kuandika kuwa nakufuru 😂 sijali, kwasababu siamini katika imani yoyote ile. Sifungamani na upande wowote.
Nimezaliwa na nimekulia kwenye Ukristo ila niliamua kwa hiari yangu mwenyewe kuachana na imani hiyo na kubaki kama nilivyozaliwa. Kwasasa naamini kwenye Deism (deist) mimi siyo Atheist wala Pagan.
Nakaribisha Atheists na open-minded Theists tujadili zaidi.
Faida za kua muislamu zina patikana hapa hapa duniani hata kabla ya kufa:
1. Utu nakusaidiana.
2.usafi wa mwili na roho.
3. Jinsi ya kufanya biashara
4.kusaidiana katika shida.
5. Kutueleza vyakula vizuri kwa aafya zetu.
6. Kulea watoto wetu na wazazi wetu.
7. Kutatua matatizo ya kila suku kama uzinifu wizi. nk.
Uislamu ni mfumo wa maisha wabinaadamu its alive religion here and after here, islam is not theoretical.
Ni kweli kwamba madhehebu au dini ni nadharia ya uongo, lakini Yesu Kristo ni halisi na ndiye Mungu wetu. Kwa kweli hata Biblia inahoji kama Yesu Kristo amegawanyika, kwa sababu ya uwepo wa dini nyingi sana.
Katika 1 Wakorintho 1:12-13 tunasoma
"12 Basi nasema neno hili, ya kwamba kila mmoja wenu husema, mimi ni wa Paulo, na, mimi ni wa Apolo, na mimi ni wa Kefa, na mimi ni wa Kristo.
13 Je, Kristo amegawanyika? Paulo alisulubishwa kwa ajili yenu? au mlibatizwa kwa jina la Paulo?
Watu wanapaswa kuelewa, kwamba Yesu Kristo hakuleta dini au madhehebu bali "Wokovu." Dini zimetengenezwa na wanadamu wakishirikiana na Shetani, kwa hiyo hazina uhusiano wowote na Mungu.
Kwa kweli, kuwepo kwa dini au madhehebu mengi kunathibitisha jambo moja tu, nalo ni kwamba, haziamini katika
Mungu mmoja, Bwana mmoja, imani moja na roho mmoja. Hiyo ni mbali na ukweli hata hivyo:kuna Mungu mmoja tu wa kweli, imani moja, Bwana mmoja na Roho mmoja, yaani Roho Mtakatifu.
Ikumbukwe kwamba Mungu wetu si Mungu wa machafuko, bali ni Mungu wa utaratibu na anatamani umoja wa Kanisa Lake.
Tafadhali soma Yohana 17:11,21-23 ili kuona hili.
“11 Wala mimi simo tena ulimwenguni, lakini hawa wamo ulimwenguni, nami naja kwako.
21 Ili wote wawe kitu kimoja; kama wewe, Baba, ulivyo ndani yangu, nami ndani yako, hao nao wawe ndani yetu; ili ulimwengu upate kusadiki ya kwamba ndiwe uliyenituma.
22 Nami utukufu ule ulionipa nimewapa wao; ili wawe na umoja kama sisi tulivyo umoja.
22 Nami utukufu ule ulionipa nimewapa wao; ili wawe na umoja kama sisi tulivyo umoja.
23 Mimi ndani yao, nawe ndani yangu, ili wawe wamekamilika katika umoja; ili ulimwengu ujue ya kuwa wewe ndiwe uliyenituma, na kuwapenda wao kama ulivyonipenda mimi.
Je, haya yote yanamaanisha nini, dini ni mfumo ghushi wa gawanya utawale(devide and rule), uliobuniwa na Shetani mwenyewe, hivyo mwamini na mwanafunzi wa kweli wa Yesu na ambaye ana Roho Mtakatifu ndani yake,hawezi kujihusisha na dini.
KIKAO CHA MWISHO TULIKUBALIANA WANAUME HATUTAJIITA MAHANDSOME ISIPOKUA TUTAITWA HIVYO,,,NA UHANDSOME NI KUWA NA MICHUZI MINGI TUSiamini uwepo wa miungu ya Wakristo Wala Waislamu
Naamini kwenye mizimu ya kinyiramba na Kiha
Ukiniona Kanisani ujue mama watoto ameniomba nikamsaidie kumuuzia sura kwa mashoga zake kuwa ana mume handsome,mpiga pamba Kali na mcha Mungu
Jina langu ni Yohana,hata sijui Hilo jina linamanisha nini kimzimu,hata sijui mizimu yake ilikuwaje
Huwa najisikia amani na furaha nikiitwa Kilimba,at least I know what the hell it means
Nisamehe mkuu,ahahahaKIKAO CHA MWISHO TULIKUBALIANA WANAUME HATUTAJIITA MAHANDSOME ISIPOKUA TUTAITWA HIVYO,,,NA UHANDSOME NI KUWA NA MICHUZI MINGI TU
God did not create man with the original sin,man was perfect when he was created by God.See Genesis 1:31
Dakika za mwisho maana yake kifo. Hivi siyo vitu vya kijinga ninavyohoji na kifo kipo palepale hakikwepeki hata kwa maombi.
Ninamjua mtu aliyefariki kwa kuondoka hospitali alipokuwa akipatiwa matibabu na kwenda kanisani kufanyiwa maombi. Hali ilipokuwa mbaya wakarudi tena hospitali na ndiyo ikawa mwisho wa safari yake Duniani.
Hakipo kitu kitaweza kunitisha katika hii Dunia.
Dah we Jamaa 😂😀🤣🤣Siamini uwepo wa miungu ya Wakristo Wala Waislamu
Naamini kwenye mizimu ya kinyiramba na Kiha
Ukiniona Kanisani ujue mama watoto ameniomba nikamsaidie kumuuzia sura kwa mashoga zake kuwa ana mume handsome,mpiga pamba Kali na mcha Mungu
Jina langu ni Yohana,hata sijui Hilo jina linamanisha nini kimzimu,hata sijui mizimu yake ilikuwaje
Huwa najisikia amani na furaha nikiitwa Kilimba,at least I know what the hell it means
MANENO YA MTUME KUHUSU KIFO NA KITAKACHO ENDELEA BAADA YA KIFOCha kukusaidia tu ili upate ukweli wa mambo anza kusoma vitabu vya hzo din zote kisha mwsho utakuja jua ukweli umekaaje vinginevyo tutajaadili mengi lakin yote yatabaki kuwa ni dhana tu na huwez pata jibu sahihi
Jaribu kuchunguza vizuri, asilimia kubwa yenu huwa mnadharau huwa hamchukulii hili suala kama ni kutofautiana tu mitazamo bali moja kwa moja huchukulia wenye kuamini dini na Mungu ni ujinga tu ndio unaowafanya kuamini.Ninyi waamini dini ndio huwa mnapovu pale ambapo mtu akiwasilisha maoni yake ya kwamba haamini dini na Mungu.
Mna anza kumshambulia kwa vile haamini mnacho kiamini nyie.
Communism na dini ni pande mbili za shilingi,ni kitu kile kileNdharia ya opium mwasisi wa falsafa hii alishindwa kuithibitisha.
Alitazama negative side ya dini ili isilete madhara kwenye mfumo wa ukomunist.
Ukomunist mtawala ndie mmiliki wa nchi kama alivyo Panki.
Wacomunist wanapinga dini kwa sababu dini inawaweka watu huru, inapinga watawaliwa kutendewa mabaya na watawala.
Hofu kuu ya kina Karl Marx ni kuogopa mawazo kinzani.
Who created this world in which sinning is possible?"God did not create man with the original sin,man was perfect when he was created by God.That God created man with the original sin is Satan's lie,it is Satan who deceived Eve into committing the original sin.
Huhitaji dini kumtafuta Mungu,Imani inatoshaDini ni mfumo wa maisha ,dini ni mpango wa mwanadamu kumtafuta Mungu
Dini Ina pande mbili uwe kwa Mungu au shetani.Siamini uwepo wa miungu ya Wakristo Wala Waislamu
Naamini kwenye mizimu ya kinyiramba na Kiha
Ukiniona Kanisani ujue mama watoto ameniomba nikamsaidie kumuuzia sura kwa mashoga zake kuwa ana mume handsome,mpiga pamba Kali na mcha Mungu
Jina langu ni Yohana,hata sijui Hilo jina linamanisha nini kimzimu,hata sijui mizimu yake ilikuwaje
Huwa najisikia amani na furaha nikiitwa Kilimba,at least I know what the hell it means