Mkuu huyo jamaa alikimbia maswali!
Tafakari yako imejaa kibangi bangi,...ndio maana unatukana wenzako eti nio ma_zu_zu kisa hadithi za mabwana zako wayahudi na waarabu walizokukaririsha toka utotoni,....yaani wewe ni zaidi ya magungo na zu-zu la karne....pambafuuuuuuuuuuuu kabisa
Yawezekana ni uzuz.u ulionao umekufanya uone kuna hoja ya msingi,au sio mkuu. makambo tu
Soma maandiko ya Mungu ndio utapata muongozo wote! kwa sababu hayo wanayofundisha kwenye sayansi yamepatikana kwenye maandiko hakuna jipya ambalo mwanadamu amevumbua, kila kitu kinakwenda kwa remote control! Hao wanaosema hakuna Mungu walishajua kwamba yupo ila wanamkataa tu kuendesha mambo yao na kujifanya wao ndio muingu watu, wajuaji, wagunduzi n.k. nyinyi vijana wa leo mnalishwa tu sumu ili mpoteze muelekeo!!
Kama huyo Mungu wako alishindwa kuwatengenezea hata nguo adam na eva bado unamwamini kuwa ni mwanasayansi? Mwanasayansi huwa anafanya kazi kwa evidential proof, Mungu anafanya kazi Mythical! Kama Mungu alishindwa hat kutambua kama dunia aliyoiumba ni duara hauoni kuwa ni mburula wa kutupwa?
Kama huyo Mungu wako alishindwa kuwatengenezea hata nguo adam na eva bado unamwamini kuwa ni mwanasayansi? Mwanasayansi huwa anafanya kazi kwa evidential proof, Mungu anafanya kazi Mythical! Kama Mungu alishindwa hat kutambua kama dunia aliyoiumba ni duara hauoni kuwa ni mburula wa kutupwa?
Unamshangaa huyo jamaa!?
Wewe mbona ukiulizwa maswali pia unakimbia?
Nilikuonyesha ushahidi kwenye ule uzi uliofungwa! Mbona ukakimbia jumla!?
Tatizo lenu nyie ni kufuata kama mkia bila ufahamu hata wa hio imani yenu!
Na hilo ni janga kuu!
Halafu eti ukiwa na sauti nzuri tu ya kuimba kwaya! Wanakupa na unabii!
Mhhhh hizi imani zingine balaaaaa!
Quraan imeeleza umbo la ulimwengu 1400 yrs ago!
Quraan imeeleza embryology process 1400 yrs ago!
Quraan imeeleza rotation and revolution of the earth 1400 yrs ago!.
Na mengine mengi saana!
Hebu soma kidogo quraan upate faida!
Wewe huna adabu? Au hujafundishwa nidhamu ya kujadili!?
Nani alikupa ruhsa ya kutukana hapa!
Hebu mods tupeni huyu nje kwanza akajifunze kuongea na watu!
Ala! Mnfsssssssss!!
Quraan imeeleza umbo la ulimwengu 1400 yrs ago!
Quraan imeeleza embryology process 1400 yrs ago!
Quraan imeeleza rotation and revolution of the earth 1400 yrs ago!.
Na mengine mengi saana!
Hebu soma kidogo quraan upate faida!
mimi ndio nikakwambia umwlishwa masumu lakini yanakuua kidogo kidogo! Mungu huo huo unaemkana bado anaendelea kukupa uhai, ndie huyo huyo anaekuua (unapolala) na huyo huyo anayekurudishia uhai wako unapoamka, sifa za Mungu ni nyingi sana siwezi nikakuandikia hapa zote! lakini hebu nyinyi wajanja tufanyieni jua lichomozee magharibi na kutua mashariki walau siku moja hivi!!Kama huyo Mungu wako alishindwa kuwatengenezea hata nguo adam na eva bado unamwamini kuwa ni mwanasayansi? Mwanasayansi huwa anafanya kazi kwa evidential proof, Mungu anafanya kazi Mythical! Kama Mungu alishindwa hat kutambua kama dunia aliyoiumba ni duara hauoni kuwa ni mburula wa kutupwa?
mfuasi wa BEST DECEIVER, na kweli you are a victims of deceiptions, ona unavyoaandika uji,nga mambo ambayo yanajulikana maelfu ya miaka kabla ya Bwana Wetu Yesu Kristo hajaibadilisha dunia kwenye uelekeo sahihi huu unaotuwezesha binadamu sisi kuwasiliana na watu ninyi pasipo shida...!
Huwezi zungumzia phenomenon lizizokuwa zinazungumziwa maelfu ya miaka maeneo ya Ugiriki kana kwamba ni mapya, kwa kunukuu sayansi ya Makuraish wa miaka 1400 iliyopita. Makureish walipoona damu nzito nzito zikiwatoka wanawake waia abort wakahitimisha kwamba mimba huwa ni funda la damu. ndiyo ilikuwa current knowledge i,e sayansi ya wakati huo kwa maquraish. nawe kwa kukaririshwa unayaleta kwa watu wanaofikiri ukidhani ni waislam wa kukaririshwa. U.K.M.O.M.E ujinga...
Quran wanasoma ? au wanakariri ?
mimi ndio nikakwambia umwlishwa masumu lakini yanakuua kidogo kidogo! Mungu huo huo unaemkana bado anaendelea kukupa uhai, ndie huyo huyo anaekuua (unapolala) na huyo huyo anayekurudishia uhai wako unapoamka, sifa za Mungu ni nyingi sana siwezi nikakuandikia hapa zote! lakini hebu nyinyi wajanja tufanyieni jua lichomozee magharibi na kutua mashariki walau siku moja hivi!!
Mkuu huyo jamaa alikimbia maswali!
Hakukuwa na swali lolote la msingi pale, maswali yenye ushabiki kama ya wasabato huwa sijibu, HUWA NA-IGNORE!
Umetumia kipimo gani kupimia na ukapata haya majibu?
Ushabiki maana yake nini?
Nini maana ya utatu matakatifu??
Maana yake ni hii:
Unga wa udaga unachanganya na wa mahindi pamoja na mboga
Hapa unapata utatu mtakatifu!!!!!!!!!!!!
Udaga+mahindi+mboga=utatu
Sijui akili mmepeleka wapi!!!!
Mithali 26:05
Umjibu mp.umbavu sawasawa na upumbavu wake; Asije akawa mwenye hekima machoni pake.
Haujui hata ni kwa nini jua linachomozea mashariki?..kweli kabisa unaamini Mungu ndiye anafanya mambo hayo au unatania kutetea imani yako?!! Huyo Mungu hana ubavu wa kunipa uhai mimi, wala hana ubavu wa kuniuwa mimi! Ameshindwa kumuuwa shetani anayedanganya KONDOO wake mimi ataniwezea wapi? Halafu hebu nikumbushe mwana imani, shetani na Mungu nani mwenye nguvu?....:love:
JUST WHAT I THOUGH AND SAY!!
Silaha ya mlevi hio!! matusi na kashfa!
Hlafu leo WATANZANIA WANADHANI KUTAKUWA NA USALAMA WATU WENYE IMANI KAMA HUYU KUTUONGOZEA NCHI!!
Sio ndio nyinyi mnaotujazia waliberali duniani! halafu mkiulizwa mnatupeleka kwenye andiko! ya kuwa imeruhusiwa!!
EEH MUNGU TUSAIDIE!!