Religious people are less intelligent than atheists, according to scientific studies

Mkuu, CYBERTEQ respect.

Unajua mambo na una logic katika arguments zako. Unathibitisha heading ya huu uzi.

Religious
people are less intelligent than
atheists, according to scientific
studies


By CYBERTEQ

Lakini unaweza kumfundisha kuwa kuna Mungu ambaye ni baba wa wote, mungu aliyeumba kila kitu kwa udongo wa mfinyanzi, Mungu huyo huyo anaishi Juu mbinguni?
Kwa ufahamu wako wewe Mungu ni nani/nini?

Kuwa baba maana yake nini?

Kuumba maana yake nini?

Mbinguni ni wapi/nini?
By CYBERTEQ

Kwamba Mungu ana mwanaye anaitwa Yesu



Kuwa mwana wa Mungu maana yake nini?

By CYBERTEQ

, Yesu ambaye pia ni mungu ambaye alijituma duniani akajiingiza tumboni kwa mwanadamu baadaye akazaliwa na kuwa mkorofi kwa kwenda kinyume na sheria zilizowekwa



Kwanza leta ushahidi wa madai ya Yesu wenda kinyume cha sheria zilizowekwa,halafu niambie ni nani aliziweka hizo sheria

Pili kuwa mkorofi maana yake nini?
By CYBERTEQ

, baadaye akajitoa muhanga na kuruhusu wanadamu aliowaumba wampige mawe na kumuuwa



Mosi:Si kweli kuwa Yesu aliuwawa kwa mawe,huu ni uongo mkubwa
Pili:Niambie ni nini maana ya kujitoa muhanga


By CYBERTEQ

ili awasamehe dhambi ambazo walizaliwa nazo (dhambi za asili)!!!



Naomba ushahidi wa madai yako haya kuwa Yesu aliuwawa ili watu wasamehewe dhambi ya asili
Kisha uniambie dhambi ya asili maana yake nini
By CYBERTEQ

Hivi unafikiri kati ya EVOLUTION na hizo HADITHI ni kipi atakachoamini kirahisi?



Evolution maana yake nini?
Hadithi ni nini?Maana yake nini?

Kama ataamini chochote kirahisi huyo atakuwa na matatizo ya akili
Yoyote anaeamini au kutafuta kuamini kirahisi au anatafuta mabo ya kumwaminisha mtu/mwanae mambo kirahisi,mada hii itakuwa inamuhusu bila kujali ni mwenye dini ama laa

Halafu unajua nini maana ya kuamini wewe?
By CYBERTEQ

Tusiwalishe watoto sumu tulizolishwa sisi



Sumu ni ipi wewe?

Kwanza hujasema sumu ni ipi na kama kuna sumu iweje useme kuwa utampa mwanao kama ulivyosema hapa chini:

By CYBERTEQ

, watoto wangu mimi nawafundisha vyote, nawaonesha kitabu cha hadithi za "Mungu" na kuwafundisha stori zake, nawafunulia vitabu vya sayansi na kuwafundisha evolution, wao wakikua watafikia muafaka wa nini wanachoona ni ukweli na kipi ni uwongo.



Yaani wewe ndo kilaza hasa

Unampa mwanao "sumu" halafu unasema akikua atakuja kujua ukweli ni upi na uongo ni upi,si atakua ameshakufa kifikra kama wewe ambae umelishwa sumu na hata baada ya kujua ni sumu bado umempa mwanao?

Halafu unajikinza
Kwanza umesema sumu halafu unakuja tena kusema nitampa vyote ili ajue ukweli ni upi inamaana pamoja na kuja hapa kuandika haya hujui ukweli ni upi kiasi kwamba mwanao ndio aje akuambie

Una maana gani kusema sumu?

Au hujui ulichokisema???




:smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big:
 

Toa hoja! Acha kupenda kashfa siku zote!
We mwenzako amekupa hoja na wewe toa hoja!
Kilaza sijui kilazo" hayo maneno wacha kilabuni!
 

Halafu kuna kitu huwa kinanikanganya mkuu, shetani aliumbwa na nani?
 

Mkuu, hawezi kukujibu!
 
Duh! yaani ndugu yangu nakuonea huruma hijui chochote, na huna kitu ndani ya kichwa yako!! yaani unapambanisha shetani na Mungu! kwa taarifa yako hata mimi nina nguvu ya kumshinda shetani achilia mbali Bwana Muumba wetu alieumba kila kitu including shetani majini na shetani watu...like those who reject Him !!
 

Oh, kumbe mungu huyohuyo ndiyo aliumba shetani?...sasa iweje sasa hivi kama anamshinda nguvu vile, au ndiyo mungu kazeeka? :Cry:
 

Una nguvu ya kumshinda shetan wewe? Come on!

Mungu mwenyewe na ukuu wake kashindwa kumcontrol uje kuwa wewe
 
Oh, kumbe mungu huyohuyo ndiyo aliumba shetani?...sasa iweje sasa hivi kama anamshinda nguvu vile, au ndiyo mungu kazeeka? :Cry:
Hata siku moja Mungu hawezi kushindwa nguvu na shetani, bali anajaribu kuwavuruga binadamu, aliahidi kufanya hivyo na Mungu akamruhusu kama kweli ataweza, kwahiyo tupo kwenye vita ya vita ya kupambana na shetani kama vile tunavyohangaikia chakula, elimu, makaazi n.k. duniani ni kama darasani au boarding school! tupo hapa mda mfupi tu ili kuandaa maisha ya milele yasiyoisha!!
 
Una nguvu ya kumshinda shetan wewe? Come on!

Mungu mwenyewe na ukuu wake kashindwa kumcontrol uje kuwa wewe
Kashindwa vipi kum-control?? anauwezo wa kumuondosha hata leo hii, lakini hawezi kuvunja ahadi yake aliyompa shetani kwamba atamwachia aishi muda mrefu mpaka hapo atakapo amua kumuua!!
 
 
Kashindwa vipi kum-control?? anauwezo wa kumuondosha hata leo hii, lakini hawezi kuvunja ahadi yake aliyompa shetani kwamba atamwachia aishi muda mrefu mpaka hapo atakapo amua kumuua!!

Sasa mkuu, kwa nin huyo mungu amuache shetani kuja kuwajaribu wanadam, wakat yeye mwenyewe amewaumba wanaadamu na udhaifu?

Hii inaonesha huyo mungu hana uhakika na uumbaj wake ndo mana akamuweka shetan kuwajaribu cyo?
 
Sasa mkuu, kwa nin huyo mungu amuache shetani kuja kuwajaribu wanadam, wakat yeye mwenyewe amewaumba wanaadamu na udhaifu?

Hii inaonesha huyo mungu hana uhakika na uumbaj wake ndo mana akamuweka shetan kuwajaribu cyo?

wakati anaumbwa binadamu, shetani alichukia sana na kumwambia Mungu kwa nini ameumba kiumbe chengine na kusema kwamba ni chema, ilihali yeye shetani ndo alijiona kuwa mwema zaidi! baada ya kuumbwa Adam viumbe vyote vilitakiwa kumsujudia, lakini shetani alikataa, na hapo ndipo alipoanza kumuasi Mungu, aliahidi kuwapoteza wanadamu wote ila aliomba apewe muda mrefu wa kuishi kutimiza ahadi yake!

Mwenyezi Mungu alimkubalia ombi lake la kuishi mda mrefu, lakini Mungu alimuhakikishia shetani kwamba hatawapoteza wote ila wale tu ambao hawatamuogopa na kumuabudu YEYE kama alivyoagiza. Kupambanisha ni njia moja ya kujua ukomavu wa timu moja dhidi ya nyingine, sisi wanadamu tunapambanishwa na shetani na vibaraka wake, atakae shinda vita ndio anapata maisha mema baada ya haya!!
 
Angalia hizo zilizokolezwa wino mwenkundu.

With your second last paragraph it occured to me that i might be talking to a computer program and not a reasonable being. Plus your insults and failure to carry a mature and descent convo, this is my last reply to you, unless u decide to go on with a descent convo.

Throughout you have been playing semantics.

You pretend to not know what I meant by mtu mwenye nguvu za ajabu. (although, kweli, it would have made more sense in English)

Swali lako number tisa halikuwa clear, nikauliza if what u meant is advance in technology ndo evolution au vipi. Ukashikwa na ushabiki na kuasaume nimesema advance ya technology ni evolution. Ona ulivyonijibu na swali lako no. 9 uone unavyojicontradict.
Either way your interpretation on advance in technology and evolution is beyond ridiculous.....

DNA is a good topic for debate between educated and matured atheists and theists. I read lots and I could dare challenge one. In this case neither of us qualify for this debate, I having a limited knowledge of it, and you being immature or both.

Sijui ni wapi nimesema science ni ya atheist, hata baada ya kurudia rudia kusoma my text. So I'll assume nguvu zako za ushabiki zimepita za kudebate. SIJASEMA SCIENCE NI MALI YA ATHEISTS. THAT DOESN'T EVEN MAKE SENSE.

About macro evolution, as I said I know very little about it. I would have taken your word for it if u had been giving scholarly inputs in your previous posts. But I'll have to ignore you due to your previous hogwash.

I answered all your questions as I saw fit, kama hukuridhika that's no my problem. Although, I would be happy to elaborate if you changed your attitude. But again, I lost interest in this silly convo.

Atheism can be used just like theism. Eg. Killing inthe name of god. In this case, killing because there is no god!

Nimependa mfano wako wa akili. Umeonyesha kuwa mungu ni wa kufikirika kama 'akili' ilivyo
 

Nimeshakupa mifano hapo juu, kama hizo hali si za kitaani ni za wapi?

And I said 'to some degree', considering atheists got less to worry about, like praying for forgiveness of sins.

Again convo with you no more.
 
PUMBA.VUUU KABISA, is evolution a scientific fact ? huwezi kuwa mzima wewe...

Pia una matatizo na kutoelewa context. Sijui secondary ulisomaje!!!

Or maybe I was open to many interpretations.

When you quote a source, you quote it as facts from the source.

Wewe ulimisinterprete man's evolution. I corrected you from the evolution's point of view, that is the evolution fact from the evolution source.

Now whether the info is subjectively fact or not is another case.

Hope I'm clear
 
Soma tena hili bandiko lako utagundua kwamba, hutaki kuamini uwepo wa Mungu kwa kuwa hafanyi vile unavyotaka wewe. Sasa jiulize unadhani wewe nani hadi umuelekeze huyo Muumba jinsi ya kufanya mambo yake?

Umemaanisha sifanyi vile anavyotaka Mungu?

If so, me nitajuaje anachotaka?
 
Who's that?

I dont remember so I dont know.

It happens to be the only macro evolution fact I read a while ago.

Simple to remember as eeeveryone (including me) tumekremishwa na dini that evolution says man came from Apes.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…