Yah nadhani Ile huwa inachangiwa na umri na character ndio maana alikuwa anaweza kuishi kishkaji na wachezaji Ile sio Kila mtu anakuwa nayoManywele alikuwa na vibe flani hiviiiiii, aliifanya nafasi yake ya kazi ndani ya klabu iangaliwe kwa jicho tofauti.
ni prof manywele aisee acha kabisaManywele alikuwa na vibe flani hiviiiiii, aliifanya nafasi yake ya kazi ndani ya klabu iangaliwe kwa jicho tofauti.
Kweli lile vibe na manywele yale akawa identical.Manywele alikuwa na vibe flani hiviiiiii, aliifanya nafasi yake ya kazi ndani ya klabu iangaliwe kwa jicho tofauti.
Yule Manywele alikuwa hatari sana. Timu ilikuwa ikifika Dak ya 70 wapinzani wamechoka Yanga ndiyo inachanganya. Pia kwa Manywele majeruhi hawakuwa kivile, inaonekana huyu jamaa kuna shida sehemu.Anaitwa Jawab raia wa Morroco huyu ni kocha wa viungo pale Yanga jamaa amefanikiwa sana kujenga stamina ya team kifupi ameendelea pale alipoishia prof manywele ambae kwa uhalisia alifanya kazi nzuri sna
Ukiondoa mpango kazi wa azam kuumiza wachezaji wetu lakini wachezaji wamekuwa na physic nzuri sana