uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 9,616
- 22,521
Anaitwa Jawab raia wa Morroco huyu ni kocha wa viungo pale Yanga jamaa amefanikiwa sana kujenga stamina ya team kifupi ameendelea pale alipoishia prof manywele ambae kwa uhalisia alifanya kazi nzuri sna
Ukiondoa mpango kazi wa azam kuumiza wachezaji wetu lakini wachezaji wamekuwa na physic nzuri sana
Ukiondoa mpango kazi wa azam kuumiza wachezaji wetu lakini wachezaji wamekuwa na physic nzuri sana