Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #81
[emoji1545][emoji1545][emoji1545]Mzee huu uzi unastahili pongezi kufichua hizi mambo. Hao Zin ghu wa usipowa handle kwa umakini ni hatari mno kwa magenge ya uharifu tena ule very sophisticated! Idara zetu za usalama pamoja na siasa zetu zilizochafuka natumaini watali handle bravely.