Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #121
Suala la kuwauzia wageni silaha za moto liangaliwe upya..!Kama haya yana ukweli basi kiobgozi embu saidia Jeshi la polisi kufichua huu uozo kwa manufaa ya mama Tanzania
Suala ya kuwapatia wageni vibali vya ukaazi na kazi lifanyiwe vetting ya kutosha
Misako ifanyike mara kwa mara kwenye maeneo wanayoishi wageni hasa ambao shughuli zao haziko wazi sana
Tulishatoa msaada huko nyuma na hatua stahiki zikachukukiwa[emoji2827][emoji1545]