Report maalum: Madanguro ya kichina chanzo cha mauaji ya wachina

itapendeza kama siku moja ukaanzisha thread ya umafia unaoendelea kariakoo na serikali iliyopo pale(mkono wa chuma)
 
itapendeza kama siku moja ukaanzisha thread ya umafia unaoendelea kariakoo na serikali iliyopo pale(mkono wa chuma)
Hii hapa mkuu

 
Wachina wanapenda ngono si mchezo, huku kwezo wapo kwenye mishe za kutengeneza barabara aisee wanawatafuna sana mabinti wa kiha sio powa, mpaka wengine wamewazalisha watoto kabisa, mpaka mradi uishe basi tutakuwa na watoto wa kichini +waha wengi sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mhhhhhh!!! Kumbe dunia Ina dunia nyingi aisee😧😧😧😧
 
Kama haya yana ukweli basi kiobgozi embu saidia Jeshi la polisi kufichua huu uozo kwa manufaa ya mama Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…