Report maalum: Madanguro ya kichina chanzo cha mauaji ya wachina

Kama haya yana ukweli basi kiobgozi embu saidia Jeshi la polisi kufichua huu uozo kwa manufaa ya mama Tanzania
Suala la kuwauzia wageni silaha za moto liangaliwe upya..!
Suala ya kuwapatia wageni vibali vya ukaazi na kazi lifanyiwe vetting ya kutosha
Misako ifanyike mara kwa mara kwenye maeneo wanayoishi wageni hasa ambao shughuli zao haziko wazi sana

Tulishatoa msaada huko nyuma na hatua stahiki zikachukukiwa[emoji2827][emoji1545]
 
Lakini mshana hiz mishe kama niwao wenyewe kwa wenyewe wachina kuna shida gani !!
 
Hapa moroco, nyuma ya morocco square kuna sehemu kuna mgahawa wa kichina huwa wanajaaga sanaa

Je iv pale ni casino au ni reustaurant tu ?
Zipo kama nne hivi
Kuna supermarkets
Kuna migahawa
Kuna saluni
Kuna massage
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…