Report ya Mapigano ya mpaka wa India na China ya 2020

Report ya Mapigano ya mpaka wa India na China ya 2020

Wahind ni mdebwedo tu wale .....hawana kitu .....ATA TZ ....TUNAWACHAPA
kwa silaha zipi tulizonazo labda? maana wanatumia USD65.86 billion kwa mwaka juu ya jeshi lao.
hiyo pesa ni sawa sawa na Trillion 152,729,340,000,000.00 za kitanzania.

wana modern airforce.. mpaka wametengeneza ndege zao za kivita pamoja na helicopters.

halaf unajilanganisha nao? how
 
Haya mapigano wahindi waliingia cha kike.....mchina anakucharaza na rungu lenye misumali hata muda wa kuimba masongi yao walikosa
Kuna uwezakano wachina walichapika kwanini wachelewe kitoa lipoti?
 
Kuna uwezakano wachina walichapika kwanini wachelewe kitoa lipoti?
Waliolia sana ni wahindi wachina walikausha tu.......sema haieleweki maana wachina sio watu wa kutoa data zao na hata wakitoa mara nyingi hawasemi ukweli.......ila kwa namna wahindi walivyolalamika inaonyesha wahindi ndo walichapika sana hata kama wachina walipigwa pia ila kwa wahindi hali ndo ilikua mbaya zaidi
 
kwa silaha zipi tulizonazo labda? maana wanatumia USD65.86 billion kwa mwaka juu ya jeshi lao.
hiyo pesa ni sawa sawa na Trillion 152,729,340,000,000.00 za kitanzania.

wana modern airforce.. mpaka wametengeneza ndege zao za kivita pamoja na helicopters.

halaf unajilanganisha nao? how
. Mkuu. Unaweza ukawa na morden weapons ....na ukakarishwa fresh .tuuu ......sometime. Vita ni akili .............Tz tuna akili😂😂😂
 
. Mkuu. Unaweza ukawa na morden weapons ....na ukakarishwa fresh .tuuu ......sometime. Vita ni akili .............Tz tuna akili[emoji23][emoji23][emoji23]
kwamba majeshi mengine haya hakili. hahahah
you guys are so funny
no disrepect kwa jeshi langu,but we have not been tested outside afrika.
 
. SURE MZEE......KWA WORLD LAND MILLITALY WAR TZ TUPO NAFASI YA 4
hahaha sorry brother. hakuna kitu kinaitwa world land military. hiyo ni hoax
and for the record tu kwa hapa africa hata top five ya majeshi yenye nguvu hatupo.

wakwanza ni egypt mpaka nafasi ya sita ikishikiliwa na ethiopia.

hata top 10 ya majeshi yenye nguvu africa hatupo

duniani. rate za mpaka mwaka huu wa 2021. hata top 30 hatupo.
wakwanza for now USA, ikifuatiwa na URUSI,CHINA,na hao unao wapondea INDIA Wanashika nafasi ya nne.
nafasi ya tano ikishikiwa na JPN.

check your facts bro. mataifa yamewekaza sana kwenye majeshi yao kuliko unavyodhani
 
. Wahind ... Wana Editting nying [emoji23][emoji23]
ww unajudge jeshi la india kwa kuangalia movie zao.
ni sawa sawa na mtu apime nguvu za jeshi la wananchi kwa kuangalia bongo movie..
huyu mtu atakuwa kichaa hhahaa
 
Vita hivyo navijua India ilipigwa ila kwa saivi wote ni supper power, kama wanaogopana
Hata Kama India haiwezi kumtishia nyau Mchina anajua kupambana milimani huyo Mhindi haiwezi kuvumilia lazima atapigwa na kulialia
 
ww unajudge jeshi la india kwa kuangalia movie zao.
ni sawa sawa na mtu apime nguvu za jeshi la wananchi kwa kuangalia bongo movie..
huyu mtu atakuwa kichaa hhahaa
.........pia ata movies zina sadifu uwezo ..........eg .....USA sometimes hudhamini movies za operation za kijesh in order to declare her military superior ........like wise China nao wameanza hii tabia ya kutumia technology kubwa kweny military movies ......hii inatokana na mambo ya propaganda .....kwamba ukichek movies hii unajua kuwa ......USA ni noma
 
hahaha sorry brother. hakuna kitu kinaitwa world land military. hiyo ni hoax
and for the record tu kwa hapa africa hata top five ya majeshi yenye nguvu hatupo.

wakwanza ni egypt mpaka nafasi ya sita ikishikiliwa na ethiopia.

hata top 10 ya majeshi yenye nguvu africa hatupo

duniani. rate za mpaka mwaka huu wa 2021. hata top 30 hatupo.
wakwanza for now USA, ikifuatiwa na URUSI,CHINA,na hao unao wapondea INDIA Wanashika nafasi ya nne.
nafasi ya tano ikishikiwa na JPN.

check your facts bro. mataifa yamewekaza sana kwenye majeshi yao kuliko unavyodhani
...😂😂😂😂😂😂 duuuh nilikuwa nadanganywa ..kuwa Tz ni waa nne 😂😂
 
kwamba majeshi mengine haya hakili. hahahah
you guys are so funny
no disrepect kwa jeshi langu,but we have not been tested outside afrika.
. USA ana advanced weapons ......lakin ......Vietnam war ......alikimbia kama hana akil😂😂😂
 
. USA ana advanced weapons ......lakin ......Vietnam war ......alikimbia kama hana akil[emoji23][emoji23][emoji23]
by then hawakuwa advanced kama unavyodai.
and statistics zinaonyesha otherwise.
maana vietnam walipoteza askari wengi kuliko US.
official report iliyokuwa released by vietnam goverment 1995. ili state kuwa walipoteza watu 2.0 million kwenye vita hiyo.. wakati kati ya hao. askari wakiwa ni 1.1 milllion.
Wakati america wakipoteza askari 58,220.

+ america hakushindwa vita, alimua kuondoka baada ya presha kutoka nyumbani. presha ilitoka kwenye maandamano ,wananchi wakidai kuwa vita ya vietnam haikuwa na umuhimu wowote.
haikuwa na manufaa yoyote kwa US.
 
Back
Top Bottom