Report ya Mapigano ya mpaka wa India na China ya 2020

Report ya Mapigano ya mpaka wa India na China ya 2020

...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] duuuh nilikuwa nadanganywa ..kuwa Tz ni waa nne [emoji23][emoji23]
hahah amka man. TZ wanne kwa uwekezaji upi tulionao kwneye defence industry?
lazima tuwekeze sana.
 
by then hawakuwa advanced kama unavyodai.
and statistics zinaonyesha otherwise.
maana vietnam walipoteza askari wengi kuliko US.
official report iliyokuwa released by vietnam goverment 1995. ili state kuwa walipoteza watu 2.0 million kwenye vita hiyo.. wakati kati ya hao. askari wakiwa ni 1.1 milllion.
Wakati america wakipoteza askari 58,220.

+ america hakushindwa vita, alimua kuondoka baada ya presha kutoka nyumbani. presha ilitoka kwenye maandamano ,wananchi wakidai kuwa vita ya vietnam haikuwa na umuhimu wowote.
haikuwa na manufaa yoyote kwa US.
Pia cha kuongezeka, lengo la Marekani lilikuwa limetimia yaani kuivuruga Vietnam kiuchumi na ki technology.
Ukisoma history vizuri utagundua kuwa nchi ambayo ilitakiwa kuwa ya kwanza kupeleka mtu mwezini ni Vietnam.
Ni sawa na kusema Marekani ameshindwa vita iraq au Afghanistan, yeye anaenda kwa malengo maalum akitimiza malengo anasepa ila sisi wengine tutamuona ameshindwa
 
by then hawakuwa advanced kama unavyodai.
and statistics zinaonyesha otherwise.
maana vietnam walipoteza askari wengi kuliko US.
official report iliyokuwa released by vietnam goverment 1995. ili state kuwa walipoteza watu 2.0 million kwenye vita hiyo.. wakati kati ya hao. askari wakiwa ni 1.1 milllion.
Wakati america wakipoteza askari 58,220.

+ america hakushindwa vita, alimua kuondoka baada ya presha kutoka nyumbani. presha ilitoka kwenye maandamano ,wananchi wakidai kuwa vita ya vietnam haikuwa na umuhimu wowote.
haikuwa na manufaa yoyote kwa US.
Ahaaa kumbe .....Nlijua alishndwa
 
hahaha sorry brother. hakuna kitu kinaitwa world land military. hiyo ni hoax
and for the record tu kwa hapa africa hata top five ya majeshi yenye nguvu hatupo.

wakwanza ni egypt mpaka nafasi ya sita ikishikiliwa na ethiopia.

hata top 10 ya majeshi yenye nguvu africa hatupo

duniani. rate za mpaka mwaka huu wa 2021. hata top 30 hatupo.
wakwanza for now USA, ikifuatiwa na URUSI,CHINA,na hao unao wapondea INDIA Wanashika nafasi ya nne.
nafasi ya tano ikishikiwa na JPN.

check your facts bro. mataifa yamewekaza sana kwenye majeshi yao kuliko unavyodhani

Kwenda zako wewe ni kitu gani? Data zako umetoa wapi
 
Inafurahisha sana vile China inavyojinadi kua na Jeshi kubwa na madhubuti huku ikiangaishana na India...
😅
 
Back
Top Bottom