Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
hahah amka man. TZ wanne kwa uwekezaji upi tulionao kwneye defence industry?...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] duuuh nilikuwa nadanganywa ..kuwa Tz ni waa nne [emoji23][emoji23]
Pia cha kuongezeka, lengo la Marekani lilikuwa limetimia yaani kuivuruga Vietnam kiuchumi na ki technology.by then hawakuwa advanced kama unavyodai.
and statistics zinaonyesha otherwise.
maana vietnam walipoteza askari wengi kuliko US.
official report iliyokuwa released by vietnam goverment 1995. ili state kuwa walipoteza watu 2.0 million kwenye vita hiyo.. wakati kati ya hao. askari wakiwa ni 1.1 milllion.
Wakati america wakipoteza askari 58,220.
+ america hakushindwa vita, alimua kuondoka baada ya presha kutoka nyumbani. presha ilitoka kwenye maandamano ,wananchi wakidai kuwa vita ya vietnam haikuwa na umuhimu wowote.
haikuwa na manufaa yoyote kwa US.
Ahaaa kumbe .....Nlijua alishndwaby then hawakuwa advanced kama unavyodai.
and statistics zinaonyesha otherwise.
maana vietnam walipoteza askari wengi kuliko US.
official report iliyokuwa released by vietnam goverment 1995. ili state kuwa walipoteza watu 2.0 million kwenye vita hiyo.. wakati kati ya hao. askari wakiwa ni 1.1 milllion.
Wakati america wakipoteza askari 58,220.
+ america hakushindwa vita, alimua kuondoka baada ya presha kutoka nyumbani. presha ilitoka kwenye maandamano ,wananchi wakidai kuwa vita ya vietnam haikuwa na umuhimu wowote.
haikuwa na manufaa yoyote kwa US.
Mkuu kati ya USA ....NA RUSSIA .yupi ni zaidi kivitahahah amka man. TZ wanne kwa uwekezaji upi tulionao kwneye defence industry?
lazima tuwekeze sana.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hundreds of Chinese troops reportedly hunted down dozens of Indian soldiers and beat them with batons wrapped in barbed wire
The deadly fight on Monday evening reportedly took place on a narrow ridge, in the dark, roughly 14,000 feet above sea level.www.businessinsider.com
Kumbe bado duniani kuna maajabu ya kalne ya 3
Vita ya marunguKumbe bado duniani kuna maajabu ya kalne ya 3
hahaha sorry brother. hakuna kitu kinaitwa world land military. hiyo ni hoax
and for the record tu kwa hapa africa hata top five ya majeshi yenye nguvu hatupo.
wakwanza ni egypt mpaka nafasi ya sita ikishikiliwa na ethiopia.
hata top 10 ya majeshi yenye nguvu africa hatupo
duniani. rate za mpaka mwaka huu wa 2021. hata top 30 hatupo.
wakwanza for now USA, ikifuatiwa na URUSI,CHINA,na hao unao wapondea INDIA Wanashika nafasi ya nne.
nafasi ya tano ikishikiwa na JPN.
check your facts bro. mataifa yamewekaza sana kwenye majeshi yao kuliko unavyodhani
sorry brother. huwa siandiki random stories.Kwenda zako wewe ni kitu gani? Data zako umetoa wapi
Katika eneo hili lenye mzozo hakuna anayeruhusiwa kuwa na silaha za motoHahaaa ila jua zote nchi zipo vizuri kijeshi na vifaa pia, wote wana nuclear weapons