The ice breaker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2023
- 880
- 1,985
Research ndogo niliyo Fanya, wanaume wengi karibia 99.9% walio ingia kwenye ndoa, wanatamani kutoka , ila kwasababu ya kuwa na watoto inakua kipengele sana kuchomoka kwenye huo mtego.
Kinacho wafanya wasitamani tena ndoa ni Majukumu ya kulea watoto ,mke na familia ya mwanamke, kipato Cha wengi hakidhi matumizi ya kila siku, finally wanaishia kwenye stress na kuongea wenyewe Barabarani
Kiukweli wanaume ndoa zinawatesa kisaikolojia, ni vile walifwata mkumbo wa kuoa au pressure ya wazazi na ndugu.
Summary
Majukumu ni mengi kuliko kipato .