Rest in peace Juve'nal Habriymana 1937-1994 (kumbukumbu zangu)

Katika huu uzi mwanzo kabisa nilisema kua my uncle alikua na rafiki wa kweli mmoja tu"""""Mzee Mobutu"""alimchukulia kama kijana wake
 
Habyarimana hakumuua Gregoire,,,ila kuna watu jeshini walikiuka order ya kumuweka raisi in house arrest na wakampiga risasi wakihofia ushawishi wake jeshini......
Habyarimana alitumia sana Ufaransa na ukaribu wake na kanisa katoliki kutawala kwa mrengo wake wa sijui kushoto au kulia. Unfortunately muda haukumpa nafasi ya kufa kabla ya kuona yale aliyoyalinda na kuyajenga yanasambaratika
 
Huu ni ukweli. Kufa ni process ya lazima. Hakuna anayeishi milele
 
You may be surprised ukakuta anasifia mwanzo mwisho...au akatoa bomu la nuclear. Nilichopenda, ni kuwa ameacha maandishi. Hayo maandishi yatakuwa lulu kubwa mbele ya safari kuhusu uongozi wa nchi yetu
 
Juvenail Alikua mrengo wa kati ila alikua na washauri wabaguzi sana kikabila na ndio waliompoteza @ Tangawizi
 
Kwanini aliruhusu Franche special forces to train Intarahamwe? Intarahamwe iliundwa kufanya kazi gani?
Unajua kuna vitu watu hawakujua,,,,vikosi vya ufaransa vilikua vinatrain wanajeshi wa kawaida,,na wao wanajeshi hasa wale wanaojiita wahutu wenye msimamo mkali wakawa wanatrain wanamgambo walioitwa intarehamwe kama vijana wa mgambo wa chama tawala..Kumbuka Juve hakua na kauli kwa wanajeshi waliomuweka madarakani.Na alikua amezungukwa na washauri wanafiki,wabovu kimaadili,wabaguzi na wenye uchu wa madaraka...Rafiki pekee aliyekua nae wa kumwamini kisiasa ni Mzee Mobutu.......
 
Kwanini aliruhusu Franche special forces to train Intarahamwe? Intarahamwe iliundwa kufanya kazi gani?
Intarehamwe iliundwa ili kuua jamii za watusi na wahutu wenye mrengo tofauti na watawala...Rais Juve alipoukataa huo mpango,ikabidi yeye aondoshwe kwanza ili mpango huo uendelee.....Lakini kuna mambo mengi sana kuhusu intarehamwe na ukweli unafichwa sijui kwanini..
 
Tanzania tulifanya kosa kubwa saana kuacha kuzichukua Rwanda na Burundi after independence ili kuirudhisha mipaka yetu ya awali (Germany east Africa) ilyokuwa no tanganyika rwanda na burundi ambapo baada ya vita vya kwanza vya dunia Tanganyika alipewa Muingereza na Rwanda na burundi akapewa mbelgiji naiman hizo nchi mbili zisingepitia mambo zilizoyapitia na hii leo zingekuwa ni sehemu ya Tanzania.
 
Katika huu uzi mwanzo kabisa nilisema kua my uncle alikua na rafiki wa kweli mmoja tu"""""Mzee Mobutu"""alimchukulia kama kijana wake
Eti unasema Mobutu Kuku Ngbengo wa Zabanga alikuwa rafiki
Huyu Mobutu aliyeuwa kijana wetu Lumumba?
Kwa hiyo unahitimisha wote walikuwa washenzi, na hakuna hasara wote wakifyekelewa mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…