TANZIA Rest In Peace Tanzania One (T.O), Elias Kihombo

We jamaa nelkon na roger muncaster ni vitabu vinavyokimbiwa?. At least hiyo UP imenyooka sio hivyo.
 
Prof. Temu, hiki chuma kweli kweli
 
Semester ya kwanza wanacalculate GPA hapo UDSM?.
 
Mkuu,

Umekosea sana kumtukuza mja wa Mungu kama 'The Best Of The Best', hii sio sawa

Ukitaka kujua wanafunzi waliokuwa na akili zisizo za kawaida darasani katika masomo ya sayansi kuanzia sekondari hadi chuo jikite miaka kati ya 1966-1989, baada ya hapo hakuna kitu kwa sababu silabasi tayari zilikuwa zimebadilika na masomo kurahisishwa sana lakini kulikuwa na wigo mpana wa kupata maarifa nje ya mfumo wa darasani hasa mitandao nk.

Msingi mzuri wa mwanafunzi kukuza kipaji kwa matumizi sahihi ya akili ni kufundishwa na mwalimu aliyefaulu daraja la kwanza na masomo anayofundishwa ndio kafauli vizuri hapo ufundishaji ni wa moyo wote kuliko wa leo ambao lengo lao ni kipato tu.

Combination zifuatazo ndizo zilikuwa zinatoa wanafunzi wenye akili sana

1. CBA (Chemistry, Biology & Agriculture) mpaka mwaka 1987 shule ilikuwa ni moja tu chi nzima yenye wanafunzi 24 tu na sharti awe daraja la kwanza kutoka kidato cha nne);
2. PCM (Physics, Chemistry & Advanced Mathematics) wanafunzi wenye akili sana walikuwa wakipatikana kwenye shule maalumu za serikali au seminari; (Kibaha, Ilboru, Old Moshi, Pugu, Tambaza, Minaki, Moshi Tech, Tanga Tech, Galanos, Mkwawa, Mazengo, Weruweru, Ashira nk)
3. PGM (Physics, Geography & Advanced Mathematics) maelezo kama hapo namba 2
4. PCB (Physics, Chemistry & Biology) maelezo kama namba 2
5. CBG (Chemistry, Biology & Geography) maelezo kama namba 2
6. EGM (Economics, Geograph & Advanced Mathematics) maelezo kama namba 2

Kuna watu walipata A za masomo yote kuanzia kidato cha nee, kidato cha sita na chuo daraja la kwanza lakini utashangaa aliokuwa nao na walipata daraja la pili au tatu kwa sasa ni Maprofesa au PhD holders na utafiti kibao for nothing productive for personal or community advancement.

Kuna wengine anaweza asiingie darasani kwa siku kadhaa, haendi prep, hashiriki discussion session na wenzie lakini kwenye mtihani masomo yote anachukua A zote

Fomula ya kujenga ubongo vizuri ili uwe naakili isiyo ya kawaida ni kumsikiliza mwalimu darasani ABC principles anazofundisha kisha changamoto zote na njia sahihi za kukabiliana nazo utaziweza siku zote. Kusoma notisi, kutafuta rejea kwenyye vitabu mbalimbali na kushiriki majadiliano na wenzako ni nyongeza tu.
 
Upo sahihi kabisa mkuu
 
Kumsifu mtu mbele ya watu ni sawa na kumuua isipokuwa kwa yule anaejitambua tu...

Binadamu anaposifiwa vitu viwili vinaweza vikamuota kama asipojitambua.
1-: dharau
2:- kiburi

Na hv vtu viwili ni adui wa mafanikio duniani adi mbinguni.

Kupitia statement yake " Mungu na mzungu"....tumpe pole mwamba kwa kupitiwa na hvyo vtu viwili.

The more you know abt the unknown,the more you actually understand how little you know....
It make you humble and bring you back to the world of wonders, miracles and magic...

DHARAU NA KIBURI NI ADUI WA MAFANIKIO YAKO...TUSISAHAULISHWE NA VITU VIDOGO DUNIA TUNAPITA.
 
Umeelewa kauli yangu au unakurupuka tu kunijibu na kuni judge? Unajua nilikuwa nalenga nini?

Jadeed habithi Al amal
 
RIP
 
Umeelewa kauli yangu au unakurupuka tu kunijibu na kuni judge? Unajua nilikuwa nalenga nini?

Jadeed habithi Al amal
................Nilikusoma katikati ya mistari ile kauli obviously ulidhamiria kusema ameondoka kwa ngoma ila ukaachia jamii ijiongeze,nawajua sana wabongo hata hao wanaouliza uliza vijikauli kama “alikuwa anaumwa/ajali au nini” ni kutafuta umbea ila kama kafa kafa tu kama ni kwa kuugua kafa kama ni kwa ajali kafa sasa kwamba kafaje ni yeye na Mungu wake sisi haituhusu wala haimuhusu mtu yeyote.

Ulikuwa huna sababu ya kusema unatafakari,unatafakari kama nani.....baba yake au ndugu yake?hiyo kauli para ya chini kama umenitukana na wewe iwe hivyo hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Ulikuwa huna sababu ya kusema unatafakari,unatafakari kama nani....."

kwani nakatazwa kutafakari? Na kichwa ni changu mwenyewe Kwani kutafakari kwangu kuna kipi cha maana naongeza au napunguza?
 
Rest in peace, kipindi hicho ukisikia T.O unatetemeka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…