TANZIA Rest In Peace Tanzania One (T.O), Elias Kihombo

Achana nao mkuu
Wanajiropokea tu ili kujifurahisha lakini ukweli ni kwamba jamaa alikuwa na akili za ajabu.
 
Tuishi maisha mazuri, tujiwekee malengo makubwa na tuyatimize. Ukiweza saidia wasio jiweza ili tukifa tuache alama, watakaobaki watukumbuke kwa mema tuliyoyafanya, let's not pass like a shadow.
R.I.P Elias.
 
Nimemkubali huyu kijana. Itoshe kusema alikuwa gifted. Nimeona alikuwa na passion ya kufundisha. Sijui kwa nini hakuenda chuo kusoma Education. Wakati mwingine zile sauti za kukuambia soma hiki upate kazi nzuri wakati hauna passion na hicho kitu. Kushindwa kumaliza degree mbili tofauti UDSM sio kwamba alikuwa kilaza but hakuwa na passion ya Engneering,sema zile sauti kasome uhandisi zilikuwa na nguvu kuliko yeye. Ndo maana hakuweka msisitizo sana kwenye masomo.
Nimeangalia Facebook yake nimeona alikuwa na passion ya kufundisha. Alitakiwa asome research,findings na kufundisha.
Too sad hapa Tanzania watu hawafanyi wananchokipenda. Unakuta mtu anakwenda kusoma Education sababu tu apate mkopo ila passion yake Law.
Too sad,it is difficult to follow your passion in Tanzania.
 
Baba Swalehe poleni kwa msiba. Lakini mbona huyo jamaa mlikuwa mnapaisha sana, wakati Tanzania One wanakuwapo kila mwaka? Huyo alifanya vizuri mwaka wake, lakini sio kwamba alikuwa bora zaidi ya wengine.
 
Najua zilikua quota system.....

Ila kwa bwana Chegere kama kweli angefika huko ashindane na best of the best halafu akawafunika then atleast tungempa hiyo title directly...

Pia of course kibongo bongo ame-set strong case
Chegere kasoma Gotherbeg University

Yuko BoT now nadhan
 
Alisoma kamaliza Telecom ndo hakumaliza
 
Najua zilikua quota system.....

Ila kwa bwana Chegere kama kweli angefika huko ashindane na best of the best halafu akawafunika then atleast tungempa hiyo title directly...

Pia of course kibongo bongo ame-set strong case
Chuoni mimi nilisoma uhasibu, Martin alisomea uchumi.sasa sababu mimi advance sikosoma uchumi nikamuomba awe ananifundisha uchumi maana kwenye kozi yetu ni lazima usome uchumi.
Jamaa alinifundisha uchumi nikapata A semester ya 1 na A semester ya 2.
Na alinifanya nisiwe na group discussion na wanafunzi wenzangu maana wenzangu waliokuwa wametoka ECA,EGM na HGE ndio walikuwa wanaongoza kufundisha kwenye ma-discussion group ya uchumi.Ila the way Chegere alivyonifundisha nilikuwa nawaona wanaongea pumba tu uchumi hawaujui.
Mimi nikawa ratiba yetu na Martin chegere ni kila jumapili jioni tunasolve maswali yote ya seminar ya uchumi na past papers.
Martin ameniachia alama ya A mbili za uchumi. Mungu ambariki the best TO of Tanzania in all time.
Nyongeza:
Nilichompendea Martin nilikuwa nikimfuata tusome na kusolve maswali alikuwa haniulizi in advance IFRS weekend ijayo tunasoma topic gani? Yeye anakuja na peni tu halafu anasolve maswali yote.
 
Semester ya kwanza wanacalculate GPA hapo UDSM?.

Waliosoma Coet UDSM watusaidie kuhakiki taarifa hizi. Ila GPA huwa zinakuwa calculated Na kwenye vyeti vinawekwa mwishoni. Labda jamaa aliona kwenye Cheti cha mshikaji.
Ila GPA ya 4.9 daaah [emoji3064][emoji3064][emoji3064]
 

Umeelezea vyema mkuu !
 

Eti kama umenitukana nawewe hivyo hivyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Waliosoma Coet UDSM watusaidie kuhakiki taarifa hizi. Ila GPA huwa zinakuwa calculated Na kwenye vyeti vinawekwa mwishoni. Labda jamaa aliona kwenye Cheti cha mshikaji.
Ila GPA ya 4.9 daaah [emoji3064][emoji3064][emoji3064]
Sio Coet tu Udsm nzima, kuanzia matokeo ya mwaka wa kwanza kwa chini kabisa katika statement of results GPA inawekwa.
Nimesoma hapo UDBS 2008/9 - 2011. Na tupo wengi tu humu
 

Una busara sana sana mkuu, umeelezea vyema. Hakuna haja ya kuanza kumrushia lawama mtu ambaye tayari ameshatangulia
 
Dah huyu mwamba story zake nimesikia sana, Minaki sijui kama alifika ila walipitaga kina Walter tu...

Moody physics alifariki mkuu.. nimesoma sana kwake, notes zake zilikua zinakupa hints ukachimbe zaidi..
Pond boy mwenzangu
 

Can you tell me a bit more about Rweyemamu Anatory.! Nikitoka ibadani nitaingia YouTube kumcheck huyu Martin Chegere.
 
Waliosoma Coet UDSM watusaidie kuhakiki taarifa hizi. Ila GPA huwa zinakuwa calculated Na kwenye vyeti vinawekwa mwishoni. Labda jamaa aliona kwenye Cheti cha mshikaji.
Ila GPA ya 4.9 daaah [emoji3064][emoji3064][emoji3064]
Wana calculate hata first semister na mwaka ukiisha gpa inawekwa kabisa then kwenye cheti ndio wanaweka overall GPA, Mimi sijapata cheti Ila nikiingia kwenye ARIS yangu nakuta matokeo na GPA yake ingawa sijapata cheti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…