Ushawahi kuthibitishiwa au kuthibitisha ya kuwa ni kweli mtu wa kwanza aliishi Tanzania ? Huu mfano tu rahisi.Si kweli bwana eti uongo wake, sasa science ndio rahisi mno Mimi naona basi tu walimu wengi ni wabovu wa hayo masomo.
Sasa hii kanuni ya kuwa mwalimu mzuri ni kwa kila somo, ila historia nayo haina blah blah zaidi ule uongo wake na kutokuwa na misingi madhubuti ya kulifanya somo hilo lisimame kama fani pweke iliyo madhubuti.Ndio kwangu ni rahisi haihitaji blah blah za jambo hili limepanga na kushuka zunguka huku na kule ukifundishwa na ukielewa hyo imetoka na una enjoy somo Sana mfano chemistry hivi no blah blah unafanya practical yako unapata jambo lako kiurahisi. Kikubwa tu kuwa na mwalimu mzuri mchezo umeisha hapo
Mwalimu anaweza asijue technique nzuri za kufundisha ili aeleweke ingawa ana uelewa mpana shida ni how anavo deliver material yake aeleweke. Na physics swali laja direct if you know you know tu, tofauti na maswali ya history swali moja linaweza kuulizwa kwa namna mia moja tofauti tofauti Ila likimaanisha kitu kile kile, tofauti na science au hesabu aiseeSasa hii kanuni ya kuwa mwalimu mzuri ni kwa kila somo, ila historia nayo haina blah blah zaidi ule uongo wake na kutokuwa na misingi madhubuti ya kulifanya somo hilo lisimame kama fani pweke iliyo madhubuti.
Mimi nidhibitisheje kitu ambacho existence yake nilikuwa sijafikiriwa hata kuzaliwa, pia science na archaeologist mbona Wana trace Hadi umri ya vitu kwa kutumia carbon 14 na hata DNA inatumika kutambua baadhi ya mambo.Ushawahi kuthibitishiwa au kuthibitisha ya kuwa ni kweli mtu wa kwanza aliishi Tanzania ? Huu mfano tu rahisi.
Kubwa na ndilo la sawa ni kuwa wengi wanakimbilia masomo hayo sababu ni marahisi na yana majibu ya njia moja tu. Yaani hayana changamoto.
Sayansi kadhalika swali moja linaweza kulizwa kwa namna kadha wa kadha, inaonekana hujasoma Sayansi bibie.Mwalimu anaweza asijue technique nzuri za kufundisha ili aeleweke ingawa ana uelewa mpana shida ni how anavo deliver material yake aeleweke. Na physics swali laja direct if you know you know tu, tofauti na maswali ya history swali moja linaweza kuulizwa kwa namna mia moja tofauti tofauti Ila likimaanisha kitu kile kile, tofauti na science au hesabu aisee
ππI know Imhotep
Using'gan'ganie jamaa alkua ana kariri and you don't know him
Hili sasa ndiyo tatizo ninalo likusudia mimi, na linaanzia katika misingi.Mimi nidhibitisheje kitu ambacho existence yake nilikuwa sijafikiriwa hata kuzaliwa, pia science na archaeologist mbona Wana trace Hadi umri ya vitu kwa kutumia carbon 14 na hata DNA inatumika kutambua baadhi ya mambo.
Hahaaa eti sijasoma science, eeh nimesoma na niliacha mwenyewe nilipofika advanceSayansi kadhalika swali moja linaweza kulizwa kwa namna kadha wa kadha, inaonekana hujasoma Sayansi bibie.
π€£ila ukiambiwa kuwa trump na ndugu zake wako gifted unakubali? kuna miTanzania ni funza kabisa, kama ww
Hivi hata hayo mambo ya physics mnajuaje ni ukweli hilo jambo?Hili sasa ndiyo tatizo ninalo likusudia mimi, na linaanzia katika misingi.
Ukipata muda fuatikia suala la DNA na hiyo Carbon 14 ujue hakika yake.
Tuendelee na jambo la msiba bibie, hivi huyu mdau anazikwa lini ? Embu niulizie kwa wahusika wa karibu.
Itakuwa ilikushinda na uliisoma ukiwa shule ya Upili. Maana unachokidai kwenye Sayansi ni maarufu sana.Hahaaa eti sijasoma science, eeh nimesoma na niliacha mwenyewe nilipofika advance
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi sikusoma Historia na masomo mengine mfano wa hayo sababu Uongo wake ulikuwa wa wazi sana, tofauti na masomo ya Sayansi ambayo uongo wake umejificha, yaani masomo ya Arts hayana changamoto za kutumia akili ile ya darasani. Kadhalika misingi yake ni mibovu mno.
Haijanishinda niliacha mwenyewe na my favorite some was chemistry mpaka keshokutwaItakuwa ilikushinda na uliisoma ukiwa shule ya Upili. Maana unachokidai kwenye Sayansi ni maarufu sana.
Mimi naijua sayansi ipi ya kweli na sayansi ipi ya Uongo, yaani nina njia zangu huwa nazitumia. Ukipata muda wa faragha tu ukawa unahoji na ukalinganisha na uhalisia unajua tu ya kuwa hiki chai na hiki ni kweli.Hivi hata hayo mambo ya physics mnajuaje ni ukweli hilo jambo?
Huyo mdau sijui hata anazikwa lini but I can guess this week atazikwa
Naam, au kuna sehemu nimekosea nini bibie ?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Zurri Bwana
π²π²Yeah wanaishiaga kufundisha tu wengine kukariri..
BWT R.I.P TO
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Maana yake uliamua kuwa mshabiki wa Kemia.Haijanishinda niliacha mwenyewe na my favorite some was chemistry mpaka keshokutwa
π’π’Mwalimu wake wa Physics (Muddy Physics) naye amefariki wiki iliyopita, RIP.
πHivi kuna mtu anaeweza kusoma bila kukariri?
π²π²Anaonekana karudia sana shule.