TANZIA Rest In Peace Tanzania One (T.O), Elias Kihombo

Si kweli bwana eti uongo wake, sasa science ndio rahisi mno Mimi naona basi tu walimu wengi ni wabovu wa hayo masomo.
Ushawahi kuthibitishiwa au kuthibitisha ya kuwa ni kweli mtu wa kwanza aliishi Tanzania ? Huu mfano tu rahisi.

Kubwa na ndilo la sawa ni kuwa wengi wanakimbilia masomo hayo sababu ni marahisi na yana majibu ya njia moja tu. Yaani hayana changamoto.
 
Ndio kwangu ni rahisi haihitaji blah blah za jambo hili limepanga na kushuka zunguka huku na kule ukifundishwa na ukielewa hyo imetoka na una enjoy somo Sana mfano chemistry hivi no blah blah unafanya practical yako unapata jambo lako kiurahisi. Kikubwa tu kuwa na mwalimu mzuri mchezo umeisha hapo
Sasa hii kanuni ya kuwa mwalimu mzuri ni kwa kila somo, ila historia nayo haina blah blah zaidi ule uongo wake na kutokuwa na misingi madhubuti ya kulifanya somo hilo lisimame kama fani pweke iliyo madhubuti.
 
Mwalimu anaweza asijue technique nzuri za kufundisha ili aeleweke ingawa ana uelewa mpana shida ni how anavo deliver material yake aeleweke. Na physics swali laja direct if you know you know tu, tofauti na maswali ya history swali moja linaweza kuulizwa kwa namna mia moja tofauti tofauti Ila likimaanisha kitu kile kile, tofauti na science au hesabu aisee
 
Ushawahi kuthibitishiwa au kuthibitisha ya kuwa ni kweli mtu wa kwanza aliishi Tanzania ? Huu mfano tu rahisi.

Kubwa na ndilo la sawa ni kuwa wengi wanakimbilia masomo hayo sababu ni marahisi na yana majibu ya njia moja tu. Yaani hayana changamoto.
Mimi nidhibitisheje kitu ambacho existence yake nilikuwa sijafikiriwa hata kuzaliwa, pia science na archaeologist mbona Wana trace Hadi umri ya vitu kwa kutumia carbon 14 na hata DNA inatumika kutambua baadhi ya mambo.
 
Mwalimu anaweza asijue technique nzuri za kufundisha ili aeleweke ingawa ana uelewa mpana shida ni how anavo deliver material yake aeleweke. Na physics swali laja direct if you know you know tu, tofauti na maswali ya history swali moja linaweza kuulizwa kwa namna mia moja tofauti tofauti Ila likimaanisha kitu kile kile, tofauti na science au hesabu aisee
Sayansi kadhalika swali moja linaweza kulizwa kwa namna kadha wa kadha, inaonekana hujasoma Sayansi bibie.
 
Mimi nidhibitisheje kitu ambacho existence yake nilikuwa sijafikiriwa hata kuzaliwa, pia science na archaeologist mbona Wana trace Hadi umri ya vitu kwa kutumia carbon 14 na hata DNA inatumika kutambua baadhi ya mambo.
Hili sasa ndiyo tatizo ninalo likusudia mimi, na linaanzia katika misingi.

Ukipata muda fuatikia suala la DNA na hiyo Carbon 14 ujue hakika yake.

Tuendelee na jambo la msiba bibie, hivi huyu mdau anazikwa lini ? Embu niulizie kwa wahusika wa karibu.
 
Sayansi kadhalika swali moja linaweza kulizwa kwa namna kadha wa kadha, inaonekana hujasoma Sayansi bibie.
Hahaaa eti sijasoma science, eeh nimesoma na niliacha mwenyewe nilipofika advance
 
Hili sasa ndiyo tatizo ninalo likusudia mimi, na linaanzia katika misingi.

Ukipata muda fuatikia suala la DNA na hiyo Carbon 14 ujue hakika yake.

Tuendelee na jambo la msiba bibie, hivi huyu mdau anazikwa lini ? Embu niulizie kwa wahusika wa karibu.
Hivi hata hayo mambo ya physics mnajuaje ni ukweli hilo jambo?
Huyo mdau sijui hata anazikwa lini but I can guess this week atazikwa
 
Hahaaa eti sijasoma science, eeh nimesoma na niliacha mwenyewe nilipofika advance
Itakuwa ilikushinda na uliisoma ukiwa shule ya Upili. Maana unachokidai kwenye Sayansi ni maarufu sana.
 
Mimi sikusoma Historia na masomo mengine mfano wa hayo sababu Uongo wake ulikuwa wa wazi sana, tofauti na masomo ya Sayansi ambayo uongo wake umejificha, yaani masomo ya Arts hayana changamoto za kutumia akili ile ya darasani. Kadhalika misingi yake ni mibovu mno.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Zurri Bwana
 
Itakuwa ilikushinda na uliisoma ukiwa shule ya Upili. Maana unachokidai kwenye Sayansi ni maarufu sana.
Haijanishinda niliacha mwenyewe na my favorite some was chemistry mpaka keshokutwa
 
Hivi hata hayo mambo ya physics mnajuaje ni ukweli hilo jambo?
Huyo mdau sijui hata anazikwa lini but I can guess this week atazikwa
Mimi naijua sayansi ipi ya kweli na sayansi ipi ya Uongo, yaani nina njia zangu huwa nazitumia. Ukipata muda wa faragha tu ukawa unahoji na ukalinganisha na uhalisia unajua tu ya kuwa hiki chai na hiki ni kweli.

Mathalani asilimia zaidi ya 90% ya Quantum Mechanics ni Uongo, ukienda kwenye Sayansi ya anga hasa Astronomy zaidi ya asilimia 100 ni Uongo.
 
Haijanishinda niliacha mwenyewe na my favorite some was chemistry mpaka keshokutwa
Maana yake uliamua kuwa mshabiki wa Kemia.

Unakubali ya kuwa unaweza kuukataa ukweli aidha kwa kujua au kutokujua. Hili tuliache kadhalika.
 
Back
Top Bottom