Ushawahi kuthibitishiwa au kuthibitisha ya kuwa ni kweli mtu wa kwanza aliishi Tanzania ? Huu mfano tu rahisi.Si kweli bwana eti uongo wake, sasa science ndio rahisi mno Mimi naona basi tu walimu wengi ni wabovu wa hayo masomo.
Kubwa na ndilo la sawa ni kuwa wengi wanakimbilia masomo hayo sababu ni marahisi na yana majibu ya njia moja tu. Yaani hayana changamoto.