TANZIA Rest In Peace Tanzania One (T.O), Elias Kihombo

I know Imhotep

Using'gan'ganie jamaa alkua ana kariri and you don't know him
 
Mtanzania mwenye akili zaidi au mtanzania mwenye uwezo mkubwa wa kukariri?
Tanzania ina watu wawili tu wenye akili zaidi.
  1. Nyerere
  2. Tuntemeke Sanga
Anyway RIP, Rest in Eternity. May The Holy Mary, Mother of mercy be with you
KAMA HUMJUI HEBU NYAMAZA, usikute ulikula HKL haya mambo mazito kwako hata kukwambia huwezi elewa
 
Labda hawamjaui hata Mozart mwenyewe
We know Mozart , 1782 alioa mtu ambaye baba ake almkataa and he was damn poor matatizo ya kutunza pesa yalkua yanamkabli

All Geniuses in this world lacks some common social skills

Mada ndefu hii but usjfanye you know Mozart wewe pekee mwanangu we know him tunamuappreciate kwa Opera zake

Ila tunamkubali pia muafrica mwenzetu

Rip Elias aisee
 
Aisee so you call him genius for A level physics?? Kukariri tu hakuna chochote watakachofanya after hapo ndio maaana hakuna mchango wowowte kwenye either technology or whatever kutoka kwa hao the so called Tanzania one
Hata Kama hakuna mchango wowote Katika tech haimaanishi hakuwA gifted
Unataka kusema Tz HAKUNA wanaozaliwa na akili za ziada?
Kwa hyo watoto woteeee was Tz wanakariri?
Acha wivu wewe
Vyuo nsio vinatakiwa Sasa viandae curriculum itakayomuandaa mwanafunzi ku apply kile alichojifunza shule Katika maisha Yetu ya kawaida
Vyuo vyetu sasA ndio hopeless zaidi vinaandaa watu wakatafute kazi z kuajiriw
 
Yes our education is useless upo.sahihi kabisa sikupingi.
 
Elimu yetu haiwapi watu kama hao nafasi waka shine,na pia choices za masomo ni chache..otherwise angepewa nafasi ya kusoma kitu ambacho anakipenda na anakimudu angemaliza vizuri tuu..labda angevumbua na mavitu mengine ya Physics... very sad.
Kabisaaa
 
Jeez why should I play like I'm the only one who knows Mozart?? Dude it's written on Chipboard anybody can Access the information
Umesema uskute Mozart hawamjui this world Ina recognizable na non recognizable geniuses

Kihombo was one of them

Hata wewe ni genius but you are not recognized by the world
 
Aisee so you call him genius for A level physics?? Kukariri tu hakuna chochote watakachofanya after hapo ndio maaana hakuna mchango wowowte kwenye either technology or whatever kutoka kwa hao the so called Tanzania one
Yeah wanaishiaga kufundisha tu wengine kukariri..

BWT R.I.P TO

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Ndio mwenyewe. Mwenye kofia. Always alikua anapenda vaa kofia.
nakumbuka siku moja tupo tunasubiria pindi la mwamba enz hizo , tunaungana watoto wa tabora boys kuja kwa mwamba,
kuna mshikaji akawa anatuuliza huyo ELIAS mwenyewe ndo yupi, jamaa akamjibu angalia mtu aliye rafu kuliko wote ndo huyo huyo...jamaa alikuwa hachani nywele na kofia yake flani nyekundu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…