UDSM walimchomoa mwamba kwa wivu, but ile jomba ni ya kusoma oxyford au havard siyo bongo.Nenda kwenye kitabu cha waliohitimu 2013 if you can see his name, by the way alikuwa anapuuzia sana shule, tulikuwa nae field TPDC akiwa alihudhuria only one week, prof. Temu amekuja kutembelea he was explaining the thing that he don know, superviser alikuwa ndugu yake alimkataa pale pale kuwa alikuwa hahudhurii, sina uhakika kama ni hiki kilichomtoa chuo, baada ya hapo kuna shule alienda kufundisha kuna uzi humu unaelezea tafuta
Ulijuaje kama kapata mark hizo??Ndio ni vigumu kufikiwa
Jamaa alipata 98%
Ya physics
97% chem
99% math
98% Gs
Sa kuna TO anaweza kufikia hapo
Ndio mwenyewe. Mwenye kofia. Always alikua anapenda vaa kofia.
Dogo inakuwaje?em futa ulichokiandika hapa
kifo hakichagui huenda hata hao unawaita janjajanja wanafariki sana2 ni vile sio superstar kama huyu so kua na akiba ya maneno ndugu
Paper yake uliiona?Physics alikuwa ana 99
Nyerere how?Mtanzania mwenye akili zaidi au mtanzania mwenye uwezo mkubwa wa kukariri?
Tanzania ina watu wawili tu wenye akili zaidi.
Anyway RIP, Rest in Eternity. May The Holy Mary, Mother of mercy be with you
- Nyerere
- Tuntemeke Sanga
Wewe ulikuwa unaelewa sio?Ok he was talking about relativity the way I heard it. Inawezekana alisoma mimi sikusoma kipengele hiko bado inabaki kua alikua mkaririji mzuri. I know our education system ni kuzalisha watu wenye uwezo wa kukariri maswali, formulas na definition
Hebu tuanzie hapa, kwanini unamkataa jamaa kwa mtazamo wako je, haiwezekaniComp Enthusiast kiongozi
P was my food
Anaonekana karudia sana shule.Huyu jamaa mwenye Cap.enzi hiz tosa boys
Mozart wa kijijini kwenu sio?Kama huyo alikua genius sijui Mozart alikua nani...[emoji849][emoji849]
Msiba uko sehemu gani? Haya toa namba sasa tuanze kutuma rambirambi huko.Kihombo amefariki Leo alkua anaumwa I have confirmed it.
Test ina Mark's 100?Mkuu achana nar huyo.wala asikusumbue kutoa ushahid..hao watu wengi ni ma ngwini...mim ni engeneer nmesoma pale coet..na naweza diriki kusema ..kuna watu wako talented aisee..hawa kariri kabisa.wanaelewa mambo..yaan test au quiz unaweza shangaa mtu kapata 98...anaefatia ana 30...na ni hvo hvo kila test...kuna jamaa semista ya kwanza mwaka wa kwanza alipiga gpa ya 4.9...tele hyo...watu nuksi
He was passions, vision but he try to pust and hit the target, kama ukipata kusikiliza vision zake kuhusu space relativity , black holes, nahHbu tuanzie hapa , kwanini unamkataa jamaa kwa mtazamo wako je , haiwezekani
Mshikaji alikuwa na imagination za mbali mno, was real genius, he was passions, vision but he try to pust and hit the target, kama ukipata kusikiliza vision zake kuhusu space relativity , black holes, na mechanisics especial kweny rotation dynamics Dah..
U genius wake unakuja hapa amekuwa alama ya physics kwa phyisician wa tz, amesababisha ndoto njingi za watu zikawa real. Jamaa aliku anamkubali sana Eistein na yeye alikuwa anatamani kuwa like him. Naaamini angepewa miaka 40 zaidi angefanya kitu