TANZIA Rest In Peace Tanzania One (T.O), Elias Kihombo

TANZIA Rest In Peace Tanzania One (T.O), Elias Kihombo

[emoji16][emoji16][emoji16]Jana alinitia hasira hako kajamaa

Basi tu watu wengine hatuwezagi kubishana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna watu wanajidai wakosoaji sana..
Ukute Hata hiyo physics wanayoshadadia hapa kuwa"alikariri" hawajasoma,
Halafu wanajiropokea tu humu wamekomaa kichizi kusema jamaa wa kawaida..wangekuwa ma T.O wao tuone kama wanadhani uT.O tena PCM ni lelemama.

Usiwe unawaacha,unapambana nao.
Mtu anayejidai kujenga ligi za kijinga mi nampenda sana,tutabishana na sichoki ng'o.
 
Ndio ni vigumu kufikiwa
Jamaa alipata 98%
Ya physics
97% chem
99% math
98% Gs

Sa kuna TO anaweza kufikia hapo

Hizo alama umezitoa wapi!? Uliona booklet zake au kuna yeyote aliyezitangaza kama zilivyo? Ama ulikuwa miongoni mwa wahusika waliokuwa wanafanya analysis baada ya matokeo kutoka?
Hebu tupe chanzo cha hizo marks zake, huko ulikozipata ni wapi?
 
Huyu jamaa naingia Udsm 1rst year 2008 ye akiwa 2nd year alikuwa akivuma vibaya mno. Actually I was taking him as my role modal. Am sending his family my utmost condolences and may his soul rest in peace.
Mbona wenye uwezo wa kutukuka wanakufa mapema na vipanga wanasurvive mpaka kuchaguliwa kwenye taasisi kubwa kubwa zenye maamuzi nchini?[emoji24]
Aisee 2008[emoji85][emoji13][emoji13][emoji2094][emoji2094][emoji2094]
 
Rest in peace brother.

Huyu jamaa kanifundisha Physics mwaka 2011 na 12 na alikua vizuri. Ni tuition pekee niliyoattend katika maisha yangu ya High School

Binadamu ni mavumbi na mavumbini tutarejea.
Amen boss
 
May his soul rest in eternal peace.

Huyu mwamba hakumaliza petroleum engineering pale udsm, alidisco akiwa third yr. nlikuwa nyuma yake mkuu. Mwamba alikuwa anajua sana, sema petroleum ilimpeleka puta sana.
alidisco mara ya pili?
 
Kupata 99.99 ni muujiza wa hali ya juu.
Maana hata aliyeutunga mtihani ukimpa aufanye hawezi kupata 99.99,hao ndio walikuwa wanaitwa wapinzani wa jadi.
Sema ndio hvyo maisha hayatabiriki usikute saa hizi anaishi maisha kama Dokta Shika
Huyu mwamba Martin Chegere balaa lake zito, T.O primary, O-Level mpaka A-Level.
 
arrogance angekua mtu wa kujishusha angefika mbali mi nilisoma na watu wa type ya jamaa walikua wanajifanya wao wana akili sana lakini dunia haitaki watu arrogant ukijishusha watu wanakusaidia jamaa anaonekana alikua ana akili ya darasani ila utoto mwingi
Jamaa unamfahamu nini
 
Mimi mwaka 2000 nlipata A katika masomo yote matatu ya PCM. kifupi ni kuwa O- Level nilikuwa na B moja tu ya Kiswahili. A- level nikasimamisha misonge masomo yote.

Nilipokuwa Chuo UDSM. nliishi maisha ya manyanyaso sana toka kwa lectures pale Udsm. Nlinyanyasika sana. Mitihani yangu ikawa inasahishwa kwa umakini mkubwa kunitafutia makosa.

Semister ya kwanza nlikuwa na GPA ya 4.9 na pili 4.9

Mwaka wa pili semister ya kwanza 4.9 ya pili 4.8 walimu wakaanza kuwa na nongwa hasa kwa kuwa nlikuwa naonekana sometimes kuwarekebisha wanapokuwa wanafundisha. Nlikuwa mara nyingi napendekeza njia rahisi za ku solve maswali.

Nlidisco ktk mazingira ya kushangaza sana. Kesi yangu ilienda mbele za watu ambao baadaye wengine walikuja omba msamaha. Namkumbuka Prof mmoja ambaye alikuja gombea urais miaka ya nyuma huyu ndo alikuwa akinipambania na kunitia moyo. Huyu aliniwezesha kurudi tena chuo after 4 years. Nlianza na GPA ya 4.7 nikawa napanda.mpaka nimemaliza Chuo nlikuwa na GPA ya 4.8 nenda kawaulize Coet watakupa habari zangu.

Ndo kisa cha wadau kuniita Chizi Maarifa. Mimi nlikuwa napiga vipindi wanachuo wa masters wanakuja kwangu Hall 4 niwape shule.

Nitawasimulia mambo makubwa kwenye uzi wangu. Ila kuna details ntaficha sababu za kiusalama.
 
Jamaa nilishakushtukia kwamba uko vizuri,sema unapenda kuzuga humu ndani
 
Back
Top Bottom