TANZIA Rest In Peace Tanzania One (T.O), Elias Kihombo

TANZIA Rest In Peace Tanzania One (T.O), Elias Kihombo

NAMBA ZINAONGEA,
kakague matokeo yake ya form 6, inasemekana kiwango chake chake cha ufaulu bado hakijafikiwa.
kingine jamaa kaandika vitabu vya physics . na kama unavyojua physics kitabu topic moja ni sawa history mwaka mzima, hiyo ndo impact kubwa aliyoifanya ukilinganisha na umrin wake naamini ni under 40.
Sasa kama socrate, eistein, plank, newton na wengine wengi

m

tazamo wangu ni kuwa IQ, ya MR kihombo is unique, kwa fact mbili
masomo aliyochukua, vitabu alivyo andika na aina ya masomo aliyoandikia vitabu,
tatu vision zake, strategy zake na impact yake kwa jamii.
na hilo linajieleza hapa angalia idadi y awatu wanaokwambia wamesaidiwa na huyu mwamba.
Wengine wanaandika papers kila kukicha.

Kuandika kitabu ni suala dogo sana.
 
NAMBA ZINAONGEA,
kakague matokeo yake ya form 6, inasemekana kiwango chake chake cha ufaulu bado hakijafikiwa.
kingine jamaa kaandika vitabu vya physics . na kama unavyojua physics kitabu topic moja ni sawa history mwaka mzima, hiyo ndo impact kubwa aliyoifanya ukilinganisha na umrin wake naamini ni under 40.
Sasa kama socrate, eistein, plank, newton na wengine wengi

m

tazamo wangu ni kuwa IQ, ya MR kihombo is unique, kwa fact mbili
masomo aliyochukua, vitabu alivyo andika na aina ya masomo aliyoandikia vitabu,
tatu vision zake, strategy zake na impact yake kwa jamii.
na hilo linajieleza hapa angalia idadi y awatu wanaokwambia wamesaidiwa na huyu mwamba.

Kaandika vitabu au kaunganisha materials mbalimbali kutoka ktk vitabu vya wazungu??? No wonder alisema waliompita ni Mungu na Mzungu!

Kuna ma TOs wan nguvu wengi sana na walifaulu vizuri sana na wapo wanatumika sehemu nzuri sana! Unamjua Lusekeli?? Emil Patrick? Ma wengine wengi tu ni ma directors na ma technicians na madaktari wa nguvu kabisa wametulia!

Most of people humu mnaongea kwa juu juu kuhusu uwezo wa mtu kiakili. Watu wenye uwezo kiakili ni wengi sana sema ni wakati gani kaanza kujitambua? Kuna waliofeli la saba wakaja kufaulu single digit o level kuna waliofeli o level wakaja kuchana form six vibaya sana so inategemea ni wakati gani mtu kajitambua au kapata msukumo.

Akili ya mtu ipo ktk imagination fullstop ndio maana huyu jamaa alikua akimpenda Einstein! Wakati wengine wana kariri wapo ambao baada ya kusoma kuna clear picha wanaona kuhusu mambo wanayosoma! Jiulize watoto hawa wanaoitwa prodigy! Mtoto wa mwaka mmoja anasoma mpaka quantilion digit zaidi ya 15 huko anasoma wazazi wanashangaa maana wapo na mtoto kila siku ndani na hakuna mzazi anayeweza kumfundisha mtoto wa mwaka mmoja those stuffs

Akili ni imaginations kuna mambo mtu anaona wengine ni ngumu kuona hapo ndio kunatokea utafauti wa akili! Hizo logic zina mwisho ndio maana Einstein alisema Logic will take u from point A to B but Imagination will take u anywhere na hiyo ndio akili.

Ukitaka kujua kiwa imagination ndio kila kitu leo hii wewe mtu wa chuo ukirudishwa o Level nadhani utapata A Zote kwa sbaabu una picha kubwa ya kutosha. Na ukitaka kumpima mtu akili usimpime kwa kusoma soma weka wayoto ambao hawajawahi kabisa kuwa ktk mazingira fulani kisha wape task utaona wapo ambao wataelewa faster na wengine kidogo na wengine hawatakia hata na mwanga wa what its all about! That is imagination!
 
Ili kuhifadhi utu wa marehemu itoshe tu kusema amefariki hizi habar za ugonjwa wake tuache.
Pole kwa wanafamilia. UDSM co mchezo ukileta mambo mengi wanakula kichwa yako

Adjustments.jpg

True that!
 
Absolutely correct, dunia inahitaji watu smart wanaokuja na inventions ambazo zinauwezo wa kuboresha maisha ya watu kiujumla. Tatizo jingine ambalo limefichwa sana na Watu tuwaitao Academicians hawa Phd and profs .. Research findings zao tangu waanze kupublish papers sijaona hata zikitumika kuboresha Maisha ya Watanzania kiujumla.
Hata Elias Kiombo huenda alikutana na watu ambao wanahangaika na projects ambazo hazina manufaa kwa jamii yetu walipomuona Jamaa na uwezo wake huenda walikuwa amazed na wenye husda wakamuona hawafai maana jamaa wangemtumia vyema huenda tungefanya au angekuwa na manufaa kwa Jamii yetu ukiachana na ishu zake za kuoiga mapindi mchikichini.
Ila hongera sana Mkuu, Ulipigia Tabora girls au Msalato.! I don’t trust my hunches though
Tafiti za wasomi nchi hii ziko makabatini zinapigwa vumbi na wasomi wetu wengi nchi hii Hawa publish kazi zao kwenye international journal za kimataifa so na contribution zake ni almost zero compared to other academians ambao unakuta wamefanya project mataifa mbalimbali ku solve changamoto za kijamii Hawa wa kwetu academians ni kulamba makalio ya wanasiasa ili wapewe vyeo, na wakila vyeo wanakuwa mbumbumbu kuliko ambaye hajaenda shule.

Huyu Eliasi angepata muongozo mzuri na kutafta vyuo vya nje huko ungekuta ame graduate na kuajiriwa kufanya kazi huko nje maana kule kipaji chake wange ki groom zaidi kuliko huku aliishia kufundisha tu tuition, na huko udsm walimu kuzinguana lazima u disco
 
How is it difficult to follow your passion in Tanzania?

Amesoma PCM, the one and only combination from which you can advance and study anything in college as long as you passed the missing subject in O Level, this according to UDSM admission prospectus.

Ame apply Engeneering mara mbili, kapata, Sasa Tanzania imemnyima nini?

Hapendi vipi Engeneering wakati ame apply mwenyewe mara mbili ????

Eti ana passion ya kufundisha lakini hakutaka kusoma ili awe mwalimu. He academic choices were a mess.

Mwamba wa Physics, tena mwenye passion ya Modern Physics, anafeli vipi Electronic / IT / Communication Engineering? Halafu tunataka kuilaumu Tanzania. Mbona nerds wengine hawafeli chuo?

The guy was unfocused and reckless.
Ku disco ni kufeli?
 
NAMBA ZINAONGEA,
kakague matokeo yake ya form 6, inasemekana kiwango chake chake cha ufaulu bado hakijafikiwa.
kingine jamaa kaandika vitabu vya physics . na kama unavyojua physics kitabu topic moja ni sawa history mwaka mzima, hiyo ndo impact kubwa aliyoifanya ukilinganisha na umrin wake naamini ni under 40.
Sasa kama socrate, eistein, plank, newton na wengine wengi

m

tazamo wangu ni kuwa IQ, ya MR kihombo is unique, kwa fact mbili
masomo aliyochukua, vitabu alivyo andika na aina ya masomo aliyoandikia vitabu,
tatu vision zake, strategy zake na impact yake kwa jamii.
na hilo linajieleza hapa angalia idadi y awatu wanaokwambia wamesaidiwa na huyu mwamba.
Acha kuidharau history bro unajua definition ya history aliyoitoa Edward hallet carr ni kitabu kizima?

Unajua kuhusu kina Michael Beaud?

Hakuna somo jepesi hata history ina maswali ya application Mzee.
 
Hakuna TO mpaka leo aliyeweza kupata 99 ,98 ,98 PCM

Ukicompare ni mtihani wa mwaka 2006
Marehemu anastahili sifa na Mungu amlaze pema peponi. Lakini kupata 99, 98 na 98 kwa mitihani ya 2006 haimfanyi kuwa bora zaidi ya yule aliyepata marks labda pungufu kidogo ya hizo kwa miaka tofauti, kwa sababu mitihani ilikuwa tofauti. Atabaki kuwa mwanafunzi bora kwa wanafunzi wa 2006, lakini sio kwa wanafunzi wote waliokuwa bora kwa miaka mingine. Unless wangefanya mtihani mmoja.

Okay [emoji2936]
 
KWASABABU UNAHISI KITABU ALICHOKIANDIKA NI MOTIVATION BOOKS AU CHA STORI ZA MAHUSIANO AU SIYO HADI IWE RAHISI ...... tusiendelee mbele tuishie hapa
Shida iliyopo hapa Kuna watu hawataki tu kuappreciate kama jamaa anajua.
Nyie mnahangaika kubishana nao na kutoa sababu lakini Bado hawakubali[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom