Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Anafundisha UDSM, Department of Economics.Chegere kasoma Gotherbeg University
Yuko BoT now nadhan
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anafundisha UDSM, Department of Economics.Chegere kasoma Gotherbeg University
Yuko BoT now nadhan
Basi nmemchanganya na somebody Moses mwizarubiAnafundisha UDSM, Department of Economics.
Wengine wanaandika papers kila kukicha.NAMBA ZINAONGEA,
kakague matokeo yake ya form 6, inasemekana kiwango chake chake cha ufaulu bado hakijafikiwa.
kingine jamaa kaandika vitabu vya physics . na kama unavyojua physics kitabu topic moja ni sawa history mwaka mzima, hiyo ndo impact kubwa aliyoifanya ukilinganisha na umrin wake naamini ni under 40.
Sasa kama socrate, eistein, plank, newton na wengine wengi
m
tazamo wangu ni kuwa IQ, ya MR kihombo is unique, kwa fact mbili
masomo aliyochukua, vitabu alivyo andika na aina ya masomo aliyoandikia vitabu,
tatu vision zake, strategy zake na impact yake kwa jamii.
na hilo linajieleza hapa angalia idadi y awatu wanaokwambia wamesaidiwa na huyu mwamba.
NAMBA ZINAONGEA,

Ili kuhifadhi utu wa marehemu itoshe tu kusema amefariki hizi habar za ugonjwa wake tuache.Duh Apumzike kwa amani. Nini kimesababisha kifo chake? Baba Swalehe
Ili kuhifadhi utu wa marehemu itoshe tu kusema amefariki hizi habar za ugonjwa wake tuache.
Pole kwa wanafamilia. UDSM co mchezo ukileta mambo mengi wanakula kichwa yako
Tafiti za wasomi nchi hii ziko makabatini zinapigwa vumbi na wasomi wetu wengi nchi hii Hawa publish kazi zao kwenye international journal za kimataifa so na contribution zake ni almost zero compared to other academians ambao unakuta wamefanya project mataifa mbalimbali ku solve changamoto za kijamii Hawa wa kwetu academians ni kulamba makalio ya wanasiasa ili wapewe vyeo, na wakila vyeo wanakuwa mbumbumbu kuliko ambaye hajaenda shule.Absolutely correct, dunia inahitaji watu smart wanaokuja na inventions ambazo zinauwezo wa kuboresha maisha ya watu kiujumla. Tatizo jingine ambalo limefichwa sana na Watu tuwaitao Academicians hawa Phd and profs .. Research findings zao tangu waanze kupublish papers sijaona hata zikitumika kuboresha Maisha ya Watanzania kiujumla.
Hata Elias Kiombo huenda alikutana na watu ambao wanahangaika na projects ambazo hazina manufaa kwa jamii yetu walipomuona Jamaa na uwezo wake huenda walikuwa amazed na wenye husda wakamuona hawafai maana jamaa wangemtumia vyema huenda tungefanya au angekuwa na manufaa kwa Jamii yetu ukiachana na ishu zake za kuoiga mapindi mchikichini.
Ila hongera sana Mkuu, Ulipigia Tabora girls au Msalato.! I don’t trust my hunches though
Ku disco ni kufeli?How is it difficult to follow your passion in Tanzania?
Amesoma PCM, the one and only combination from which you can advance and study anything in college as long as you passed the missing subject in O Level, this according to UDSM admission prospectus.
Ame apply Engeneering mara mbili, kapata, Sasa Tanzania imemnyima nini?
Hapendi vipi Engeneering wakati ame apply mwenyewe mara mbili ????
Eti ana passion ya kufundisha lakini hakutaka kusoma ili awe mwalimu. He academic choices were a mess.
Mwamba wa Physics, tena mwenye passion ya Modern Physics, anafeli vipi Electronic / IT / Communication Engineering? Halafu tunataka kuilaumu Tanzania. Mbona nerds wengine hawafeli chuo?
The guy was unfocused and reckless.
Acha kuidharau history bro unajua definition ya history aliyoitoa Edward hallet carr ni kitabu kizima?NAMBA ZINAONGEA,
kakague matokeo yake ya form 6, inasemekana kiwango chake chake cha ufaulu bado hakijafikiwa.
kingine jamaa kaandika vitabu vya physics . na kama unavyojua physics kitabu topic moja ni sawa history mwaka mzima, hiyo ndo impact kubwa aliyoifanya ukilinganisha na umrin wake naamini ni under 40.
Sasa kama socrate, eistein, plank, newton na wengine wengi
m
tazamo wangu ni kuwa IQ, ya MR kihombo is unique, kwa fact mbili
masomo aliyochukua, vitabu alivyo andika na aina ya masomo aliyoandikia vitabu,
tatu vision zake, strategy zake na impact yake kwa jamii.
na hilo linajieleza hapa angalia idadi y awatu wanaokwambia wamesaidiwa na huyu mwamba.
Martin Chegere alipata 99.99
Ndio kasoma EGM Pugu dogo,..hiyo ni alama aliyopata kwenye A.mathematics.Huyo chegere wako alisomaga EGM dogo
AiseePhysics alikuwa ana 99
My Guy Ginimbiiii🤣Dah kaondoka wakati mmoja na Ginimbi? Wapokelewe tu huko kishujaa.
Alipangiwa atakufa hivyo pindi tu alipozaliwa.
R. I. P
Martin ni mshikaji wangu tokea ukonga primary school. Amesomea shule ya kayumba ila alikuwa anawaburuza watoto wa international school kama watoto wadogo.Ulimpa K lakini maana sio kwa kumpenda huko
Marehemu anastahili sifa na Mungu amlaze pema peponi. Lakini kupata 99, 98 na 98 kwa mitihani ya 2006 haimfanyi kuwa bora zaidi ya yule aliyepata marks labda pungufu kidogo ya hizo kwa miaka tofauti, kwa sababu mitihani ilikuwa tofauti. Atabaki kuwa mwanafunzi bora kwa wanafunzi wa 2006, lakini sio kwa wanafunzi wote waliokuwa bora kwa miaka mingine. Unless wangefanya mtihani mmoja.Hakuna TO mpaka leo aliyeweza kupata 99 ,98 ,98 PCM
Ukicompare ni mtihani wa mwaka 2006
Hakuna TO mpaka leo aliyeweza kupata 99 ,98 ,98 PCM
Ukicompare ni mtihani wa mwaka 2006
Okay [emoji2936]Marehemu anastahili sifa na Mungu amlaze pema peponi. Lakini kupata 99, 98 na 98 kwa mitihani ya 2006 haimfanyi kuwa bora zaidi ya yule aliyepata marks labda pungufu kidogo ya hizo kwa miaka tofauti, kwa sababu mitihani ilikuwa tofauti. Atabaki kuwa mwanafunzi bora kwa wanafunzi wa 2006, lakini sio kwa wanafunzi wote waliokuwa bora kwa miaka mingine. Unless wangefanya mtihani mmoja.
KWASABABU UNAHISI KITABU ALICHOKIANDIKA NI MOTIVATION BOOKS AU CHA STORI ZA MAHUSIANO AU SIYO HADI IWE RAHISI ...... tusiendelee mbele tuishie hapaWengine wanaandika papers kila kukicha.
Kuandika kitabu ni suala dogo sana.
Shida iliyopo hapa Kuna watu hawataki tu kuappreciate kama jamaa anajua.KWASABABU UNAHISI KITABU ALICHOKIANDIKA NI MOTIVATION BOOKS AU CHA STORI ZA MAHUSIANO AU SIYO HADI IWE RAHISI ...... tusiendelee mbele tuishie hapa