Safi kabisa, kwanza kuandika jina la mtoto ni sawa na kuandika jina la mke maana mtoto ni mali ya mke. Ukitaka kujua tengana na mke wako uone watoto watamfata nani.Binafsi yangu mimi huwa siyo muumini wa kuandika jina la Mtoto katika Mali zangu
Mtoto anastahili Malezi bora kutoka kwa wazazi lakini siyo kuandikana katika mali ili iweje kwanza.?
Mzee inawezekana hawa ni usiri kama kawaida na mfumo dume tu ukijidai kufuata mamb ya Beijing inakula kwako mazima ππWatoto wenyewe ni mali ya mama! Hawa watu hatuwezi kuwakwepa.
Mzee inategemea na watoto mmewaleaje tu, tulikua watoto na tumekua tumeyaona mkuu. Ni jinsi mtakavyokua mna wa handle watotoSafi kabisa, kwanza kuandika jina la mtoto ni sawa na kuandika jina la mke maana mtoto ni mali ya mke. Ukitaka kujua tengana na mke wako uone watoto watamfata nani.
Asilimia kubwa wanaume hatuna ukaribu na watoto wetu, hii ni kwasababu ya nature ya familia zetu za kiafrika ambazo baba ndiye mtafutaji na mama anabaki home na watoto. Hata kama mama akiwa mtafutaji bado atatenga muda wa kutosha kukaa na wanae so ushirika wa mama na wanae ni mkubwa sana kulinganisha na wa Baba na wanae. Malezi ni ya mama, Baba ni muwezeshaji tu.Mzee inategemea na watoto mmewaleaje tu, tulikua watoto na tumekua tumeyaona mkuu. Ni jinsi mtakavyokua mna wa handle watoto
Because hiyo ndio kawaida, a man goes first in most cases!Hivi kwanini kwenye Ndoa WANAWAKE akili zao sikU zote wanawazaga Mwanaume tu ndie atakae tangulia Kufa[emoji848]
50/50I support
Mzee ni mwendo wa usir na mfumo dume ndo utawaweza ukijidai una activate biashara ya Beijing home kwako, utakula upende wako mkuu [emoji1787][emoji1787]
Bora auze mali mtoto lakini siyo mwanamkeWatoto wenyewe ni mali ya mama! Hawa watu hatuwezi kuwakwepa.
Nzuri hii50/50
Kila mmoja ashinde mechi zake.
Kila mmoja anunue na amiliki
kwa hela yake.
Ma single mama hawa wasumbufu sana bungeni.Huyu naye vepe
Ova