Restuta Bura aingia mpambano mkali kugombea mali za baba mtoto wake huku mume wake wa ndoa akiwa kimya

Restuta Bura aingia mpambano mkali kugombea mali za baba mtoto wake huku mume wake wa ndoa akiwa kimya

mama D

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
19,981
Reaction score
35,581
Huyu mwanamama RestutaBura ni mpambanaji kwelikweli, pamoja na mambo mengine yanayomkuta bado anasimama kama mmoja wa wanawake hodari na watafutaji kila wapoona fursa. Rest anafanya biashara ya bar, vipodozi na urembo

Rest amekua akifanya biashara kwenye moja ya eneo linalomilikiwa na baba mtoto wake na familia yao. Eneo hilo alikabidhiwa afanye biashara ili iwe ulinzi kipindi ambacho baba mtoto wake alikua jela. Wakati akiendelea na biashara zake ndio alikutana na mume wake huyu anayeishi nae sasa wakaoana kwa ndoa, wakazaa na kuendelea kufurahia maisha yao.

Utata umekuja baada ya baba mtoto wake kutoka jela na kumtaka bidada aondoshe biashara anayofanya kwenye eneo hilo na yeye kukataa kuondoka bila kulipwa gharama za ujenzi wa bara ya restpack na ulinzi alioufanya hapo kipindi chote jamaa akiwa korokoroni

Mali za Restpack zimeharibiwa, wafanyakazi wameumizwa, yeye mwenyewe amedhalilishwa huku mumewe akiwa kimya....
Hivi kweli huyo mume mwanasheria kashindwa hata kumshauri mkewe aachane na maugomvi ya mitandaoni na badala yake afuate sheria kupata haki yake kama ipo?
Kashindwa kufuatilia hilo jambo na kufanya maamuzi kama fazahausi kabla ya haya mambo kufika huku?
Hivi wakati mke anaenda kupambana na babamtoto wake na makampuni ya ulinzi mume anaagwaje? anakuwa anabaki wapi?
Hivi huyu mume akikuta mkewe karudiana na babydad wake atalalamika!? Mbona kama ndio anamtuma?




Ninapokutana na mambo kama haya huwa namkumbuka sana WARUMI RIP
 
Rachel temu anasema restycosmetics bado anampenda na kumtaka huyo mume wa zamani kinguvu,anadai kibenten wake hamrizishi.
Anatumia kiwanja kama fimbo.sa sijui ni kweli?
 
Back
Top Bottom