PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
hao madogo vitonga vitakuja kuwatokea puani.Kuna madogo wanahaha kutongoza wake za watu na mashangazi kwa kigezo kuwa walionao hawawakuni vizuri huko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hao madogo vitonga vitakuja kuwatokea puani.Kuna madogo wanahaha kutongoza wake za watu na mashangazi kwa kigezo kuwa walionao hawawakuni vizuri huko
Aisee kumbe kuna mwana before ndio alikuwa ana kula lile tako, mwanaa akapelekwa lupango 😀😀😀
Mwana lupango asijiganye mbabe awe mpole tu maana alisha kosea,
Kuna Wanawake wengine hawambiliki,labda Mume alishamkataza,lakini yeye kwa ujuwaje wake bado anafanya anavyotaka yeye! Sasa hapo Mume atasemaje,wakati wote tunajua Kunguru hafugiki!!?Kuna kaukweli ndani yake lakini mzee baba hapa wa kuitwa mume kabweteka sanaaaa
Mwanaume gani hawezi kuongoza familia
Tena Mwanamke mwenyewe barmaid utamwambia nini akusikilize! Bora angekua Mwanamke mwaajiriwa hapo kidogo angekusikiliza!!Kuna wanawake wengine vichwa vibovu Sasa kama jamaa kamshaur huyo bi dada aachane na hayo mambo alafu ukute demi analazimisha utamfanyaje? Ni kumuacha tu apambane na matokeo
Naomba akaunti ya rachel ya sasa.Rachel temu anasema restycosmetics bado anampenda na kumtaka huyo mume wa zamani kinguvu,anadai kibenten wake hamrizishi.
Anatumia kiwanja kama fimbo.sa sijui ni kweli?
Hahahahah sasa kidume akapambanie mali za mwanaume mwenzie? Utakuwa ufala halafu huyo jamaa akili ndio hana kabisa.Sasa anapomuacha mke apambane mwenyewe inamaanisha nini!? Au anasuburi ashinde ndio waende kula hilo jasho
Kwahio Mbeba pochi ajiandae na kula redundancy 😂?Kwa mume aliye nae Sitashangaa
Mume ni ndezi! Mie hunipigi pigi mapicha vile. Lazma nikaze tu sema jamaa kalegea kama Mlenda😅 lenyewe kila kitu linakubali tu kama “mjumbe ndio”Na mume nae anapenda kulishwa bata, kupigwa picha na mavideo na kupostiwa mitandaoni
Yaani vitu anavyopost rest zaidi ni biashara zake za RESTPACK BAR, RESTCOSMETIC NA RESTHUSBAND😆😆
Kwa kweli tuanzie hapa....Resty ndio nan kwani
Ndio mkiambiwa single maza hawafai kuolewa muelewage😂!Bidada sasa anamuhitaji Mzazi mwenza baada ya kutoka Jela.
Hakuna vita kwa wazazi wawili wenye mtoto ambaye yuko hai. Lolote linaweza tokea baina yao 😂 na hii ni sababu kuonana ni Pie! Hasa kwenye mazingira ambayo baba mtoto ana mawe haina kipingamizi.Huu ugomvi si wa kuingilia mume wa Rest atafedheheka. Kama asingekuwa Mario toka mwanzo asingeruhusu mke kuanzisha biashara kwenye eneo ambalo si mali yake.
Kwa sasa anachoweza kufanya ni kumshauri kisheria afanye nini ili afidiwe mali zinazodaiwa kuharibiwa then rest na baby daddy wake waingie kwenye makubaliano ya kulimaliza swala kidiplomasia. Ni swala la kuomba ruhusa ya kulitumia eneo wakati anatafuta eneo lingine.
Hao bado wanapendana na ndio maana kuna vita. Sio kila vita ni vita halisi zingine ni mahaba
Eneo lao kivipi?😂 Hahahahah nimewaza hio moment af nimecheka kinomaNaweza kusema nakubaliana kwa 90%
Nawaza Rest akirudi nyumbani mume anamwambia pole mke wangu, na kesho kapambane tena hadi kieleweke! Eneo letu lile🙄🤔
😂😂😂😂😂😂😂 muacheni bebi wa mwenzenu jamani!Hivi na wewe yule mkaka kuna mume pale au mbeba pochii?
Kwa mke mwenye confidence level ya Resty huna la kufanya unatulia tu sasa unaangalia movie iendavyo! Sababu nina uhakika huyo dada ni mbishi vilivyo kwa kumtazama character yake tu na hivyo ana run matters zote za uchumi wa familia. Huwezi mwambia kitu😅Ungekua wewe ndio mume halafu mke analazimisha mambo ya aibu hivyo ungefanyaje😐
Usimpake rangi bana huyo ni mdangaji anajulikana toka enzi za Jangwani Sec. ~ aliskika sista duu flani!Unaposema asiitwe mpambanaji sababu ya "Kulisha damu chafu" na wewe unakosea. Ukweli ni kwamba Rest ni mpambanaji ndio maana anamudu hayo. Issue ya kumsubiria wa jela siijui wala siwezi kumpangia sababu mahusiano ni ya wawili
Pia siwezi kumwita mdangaji sababu sina proof, ninachojua ni kwamba Rest ni mfanyabiashara mwenye kumiliki BAR na Maduka ya vipodozi na urembo kitu ambacho hata brela wanajua
Issue inakuja kwamba inakuaje mume anamruhusu kugombania mali za mahusiano yaliyopita
Unakumbuka story ya jamaa ambaye mwanamke alimuacha akarudiana na ex wake . Jamaa alikuwa analia hapa JFKwahio Mbeba pochi ajiandae na kula redundancy 😂?
Kwa akili za wanawake sitashangaa maana ili amaintain status anahitaji vibunda vya EX aendelee kuvi access. Kama itamlazimu kumpiga chini mwamba anaweza kujikuta yupo nje ya mchezo!
Oh baby tusameheane shetani alinipitia af sote binadamu. Mie niliogopa nikajua hautatoka tena ona sasa mtoto wetu atakavyoteseka af ningekosa kuolewa. Hii kauli inatoka baada ya kukojozana kwa usiku mzima😅
Blaah blaah mara mbeba pochi anaambiwa “Sorry but mi naona this isn’t working no more i need some space please baba holly” 😂😂😂 kimeu manaa brazaaaa