Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu weuweeeeeeeeeehKwahio Mbeba pochi ajiandae na kula redundancy [emoji23]?
Kwa akili za wanawake sitashangaa maana ili amaintain status anahitaji vibunda vya EX aendelee kuvi access. Kama itamlazimu kumpiga chini mwamba anaweza kujikuta yupo nje ya mchezo!
Oh baby tusameheane shetani alinipitia af sote binadamu. Mie niliogopa nikajua hautatoka tena ona sasa mtoto wetu atakavyoteseka af ningekosa kuolewa. Hii kauli inatoka baada ya kukojozana kwa usiku mzima[emoji28]
Blaah blaah mara mbeba pochi anaambiwa “Sorry but mi naona this isn’t working no more i need some space please baba holly” [emoji23][emoji23][emoji23] kimeu manaa brazaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena mno lolMama ake Kweka itakuwa anapiga ukunga daily
Huzuni asee[emoji26][emoji848]
Sasa c kungekua na utaratibu maalumu? Afu c wana mtoto? Je Resty akisema n Pa mtoto naye anawekeza kwa ajiri ya mtoto? UwiiiiiihKisheria huyo resty anatakiwa aondoe vitu vyake bila kulipwa kitu chochote kile maana kimsingi ni mvamizi..kama...wewe ni layman huwezi elewa..
Utaratibu maalumu kama upi? Yani kitu kama haukimiliki kihalali unakua hauna haki nacho..hata akisema kwamba uwekezaji ni kwa ajili ya mtoto ni kazi bure, maana kama huyo mwanaume wake wa kwanza bado anadaiwa na kama vielelezo vipo kwamba hajamaliza kulilipia hilo eneo umiliki hauwezi kuhamishwa toka kwa mtu mmoja kwenda mwingine, pia hauwezi kurithisha mtu kitu kama wewe mwenyewe haujafa, pia mtoto aliyechini ya umri wa miaka 18 hawezi miliki mali yoyote ile yani huyo kwa upande wowote ule hawezi fanikiwa kushinda hilo jambo..pia hakuna tatizo kubwa kwenye jamii kama kumruhusu mtu atumie ardhi yako kwa ajili yake maana siku unakuja kutaka ardhi yako yule mtu hawezi kukubali kutoka...😁😁😁Sasa c kungekua na utaratibu maalumu? Afu c wana mtoto? Je Resty akisema n Pa mtoto naye anawekeza kwa ajiri ya mtoto? Uwiiiiiih
Vibenteni na marioooo kazi wanayo mweeeeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawa wataishia kurudiana tyuuh kumaliza tatizo lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utaratibu maalumu kama upi? Yani kitu kama haukimiliki kihalali unakua hauna haki nacho..hata akisema kwamba uwekezaji ni kwa ajili ya mtoto ni kazi bure, maana kama huyo mwanaume wake wa kwanza bado anadaiwa na kama vielelezo vipo kwamba hajamaliza kulilipia hilo eneo umiliki hauwezi kuhamishwa toka kwa mtu mmoja kwenda mwingine, pia hauwezi kurithisha mtu kitu kama wewe mwenyewe haujafa, pia mtoto aliyechini ya umri wa miaka 18 hawezi miliki mali yoyote ile yani huyo kwa upande wowote ule hawezi fanikiwa kushinda hilo jambo..pia hakuna tatizo kubwa kwenye jamii kama kumruhusu mtu atumie ardhi yako kwa ajili yake maana siku unakuja kutaka ardhi yako yule mtu hawezi kukubali kutoka...[emoji16][emoji16][emoji16]
Awekeze halafu bata atakula nani?Huyo Dada kwanini alibweteka kwenye eneo anajua kabisa kihalali sio lake?
Miaka yote hiyo si angekuwa na eneo ama viwanja akajenga mahali kwingine akahamamia?
Utaendelezaje kiwanja sio chako halafu udai fidia hawa ndio marole model wa vijana wetu Taifa linaangamia .[emoji2][emoji2][emoji2]
Si matajiri lakini.kwanini asihame japo akajenge kwingine halafu aendelee kumdai fidia?
BTW mwenzie akati yupo jela si alikua anafaidika na kiwanja bure..now so ampishe kashakitumia vya kutosha kujipatia hela?
Wazazi wakiwa hai watoto hawahusiki labda mwanaume angekuwa amekufa.Sasa c kungekua na utaratibu maalumu? Afu c wana mtoto? Je Resty akisema n Pa mtoto naye anawekeza kwa ajiri ya mtoto? Uwiiiiiih
Vibenteni na marioooo kazi wanayo mweeeeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka kama mazuriMama ake Kweka itakuwa anapiga ukunga daily
Huzuni asee[emoji26][emoji848]
Sasa siku ex amshawishi wale tunda..ndo atajua hajui...wazaz hawaachan wanasema ..kama walivyokubaliana kuachiana kiwanja ili afanye biashara..ndio hvyo hvyo siku watakubaliana wakumbushie enzi ..na wanapatana..atajuta kuwa dume suruali.... [emoji1787]Naweza kusema nakubaliana kwa 90%
Nawaza Rest akirudi nyumbani mume anamwambia pole mke wangu, na kesho kapambane tena hadi kieleweke! Eneo letu lile[emoji849][emoji848]
Wkt wanaanza biashara resty alisemaga eti yeye na mume wake wamewekeza[emoji38]..lidada fake lileSema ungekuwa mtaji wa mwanaume kawekeza hapo angepaza sauti sasa jamaa anaonekana Marioo analelewa kula, kunywa,kulala n.k ashupaze shingo apoteze ulaji anaopata.
Vile vibunda vya wasafi alitakiwa kila mwezi asave akawekeze kiwanja chake..linaishia kula bata na show off..alijua mfungwa hatotoka leo wala kesho haya sasa mwenye mali. Huyoooooo[emoji1787]Hahahahah sasa kidume akapambanie mali za mwanaume mwenzie? Utakuwa ufala halafu huyo jamaa akili ndio hana kabisa.
Mie hata kama demu ana pesa katika mazingira hayo ningemshauri baada ya muda tu tuachane na hizo mishe za kutegemea rasilimali za ex wake.
La hasha ningekuwa nampiga hela nawekeza katika mazingira ambayo yatahakikisha usalama wangu kama kidume. Ni kununua eneo ambalo ningeliweka hata jina la mtoto wetu tu ila ni petu tupaendeleze. Naimani mwanamke asingekataa sababu alikuwa na access ya rasilimali na vibunda vya mfungwa.
After sometime unamchana tu wife kuwa haya mazingira sio inabidi tuhamie pale kwenye kiwanja kipya. Imagine wasafi wanaingiza 10M kila mwezi kupitia kodi ya jengo. Bado biashara zile bado access ya vibunda vya EX. Bado za kudanga mwanamke anakosaje 100M ya kununua kiwanja kwenye prime area ambako biashara inaweza kuendelea bila tatizo?
Najaribu kuwaza yaani nipewe eneo nifanyie biashara kwa miaka na miaka tena mbezi beach burw silipi kodi.
Mwenyewe analitaka nidai fidia.
Kweli resty akili yake ina matatizo.
Duuuuh au Resty alijua mumewe hatoki jela? Mweeeeeh.Wazazi wakiwa hai watoto hawahusiki labda mwanaume angekuwa amekufa.
Labda mtoto angerithishwa kiuhalali hiyo kesi nyingine hana la kujitetea.
Alitarget sana kuzaa na hugo.Resty ana moyo wa ajabu sana Baby Shower tu alienda kufanyia kwenye nyumba ya John.
Resty anadai Milioni 2 kwa mwezi za Child Support ndogo, hivi yule Marioo wake angeweza kutoa hizo M2...kwanza hiyo 2M anatumia Hayley peke ake?
Zimemponza bata jaman resty, vacation n Ibiza uwiiiiihNajaribu kuwaza yaani nipewe eneo nifanyie biashara kwa miaka na miaka tena mbezi beach bure silipi kodi.
Mwenyewe analitaka nidai fidia.
Kweli resty akili yake ina matatizo.
Litakufa jituu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂Vile vibunda vya wasafi alitakiwa kila mwezi asave akawekeze kiwanja chake..linaishia kula bata na show off..alijua mfungwa hatotoka leo wala kesho haya sasa mwenye mali. Huyoooooo[emoji1787]