G-Funk
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 2,398
- 5,554
Kinachofata hapo ni lazma Resty na Kweka watibuane tu! Its on its way mtakuja kuniambia tu...Reserve hii comment kwa reference.Ajiandae kisaikolojia maana kesi zitakuwa nyingi na pesa itaishia huko
Akiwa na akili ya kujiongeza aachilie asonge maisha yaendelee
Show off haya ndio matokeo yake
Baba mtoto atamyambisha mume atajitoa (haya maisha tutembee polepole)
Akae aelewane na Baba Mtoto wakubaliane sio hizi vurugu social media zitawaanika vibaya
Chanzo, Resty atahitaji support ya mume sasa na kwa kuwa amembeba Kweka kwa muda mrefu na jamaa hana hela itapofikia Resty anahitaji mchango wa kifedha kuendesha kesi jamaa hana ndipo atapogundua kuwa yupo na mtu ambaye ni useless kabisa.
Zinaanza zile za “Yani wewe hata mawazo tu huna unachosha kwa kweli”...”Mwanaume unaboa kama nini”....”Yani mwanaume upo upo tu hueleweki”
Mapenzi ni matamu hela ikiwepo tu, hela ikishakata lazma mtie akili!😂