Restuta Bura aingia mpambano mkali kugombea mali za baba mtoto wake huku mume wake wa ndoa akiwa kimya

Hebu ngoja kwanza,usiniburuze tu kama mzigo ngombe wewe, kwani wakati mume anaswekwa rupango walishaachana na huyo shoga enu resti? Au baada ya mzeebaba kupigwa rokapu ndiyo shosti enu nae akaamua kukavuta ka ben 10 kaje kakaonje jasho la mjuba anayesota mangele? Kama ni hivyo basi huyo shoga enu anatakiwakuuliwa kabisa!! Sijui tu hao ni waswahili wa wapi,ila ingekuwa kule Machame kwetu huyo balaa angeshanyooka nawwe!! Woo nka!
 
Hatujamtetea Rest

Mimi binafsi ninachoshangaa ni yeye kuendelea kupigania eneo la familia ya watu;

Na wa kuitwa mume wake kushindwa kusimamia hilo. Unaachaje mkeo akagombanie mali na mume mwenzio walokwisha kuachana?

Huyu Kweka anawaaibisheni wamachame woteee
 
Ndoa ni zaid ya papers
Pale hakuna mume sanasana amegeuka mfuasi wa resty
Hivi kile kiburi cha resty yule kaka anaweza ongea lolote na hivi pesa hana?

Rest yuko na yule kaka sasa ila sijui kesho

Mbaya zaidi Rest anamtumia yule kaka kuonyesha watu kwamba ameolewa na ana mume na watu wanaoonyeshwa wanamwona Rest mlezi wa wana na mume hatoshi kwenye viatu vyake

Mimi naamini mwanaume yoyote anayejua nafasi yake ana uwezo wa kum manage mwanake yoyote aliyemchagua kwa kuona kwamba anamtosha.

Mwanaume kamili hawezi kuwa na mwanamke ambaye hawezi kumsupport kwa upendo au hisia wala kwa kumtunza. Kutunza na kuwapa security wake wao ndio pride ya wanaume na ndivyo ilivyoumbwa
 
Nikiandika sana nitaambiwa ni wivu ila kwakweli pale kazi ipo. Yule kaka hapana asee
 
Tatizo anakula sana bata na show off nyingi
Ajiandae kisaikolojia maana kesi zitakuwa nyingi na pesa itaishia huko
Akiwa na akili ya kujiongeza aachilie asonge maisha yaendelee
Show off haya ndio matokeo yake
Baba mtoto atamyambisha mume atajitoa (haya maisha tutembee polepole)
Akae aelewane na Baba Mtoto wakubaliane sio hizi vurugu social media zitawaanika vibaya
 
Mie nashangaa unapomuita mtu ni mpambanaji huku mlango wa nyuma akigombania ardhi za watu kulisha damu chafu zisizokuwa za mwenye mali yake,kwanini hakumsubiri huyo aliyekuwa jela akatoka wakaendelea na maisha yao ila yeye akakimbilia kuolewa na kuongeza watoto then leo anagombania mali za alikokuacha?

Obviously ni umalaya tu na huyo ni mdangaji kama wadangaji wengine usimpambe sana.ungekuwa wewe ungekubali?
 
Unaposema asiitwe mpambanaji sababu ya "Kulisha damu chafu" na wewe unakosea. Ukweli ni kwamba Rest ni mpambanaji ndio maana anamudu hayo. Issue ya kumsubiria wa jela siijui wala siwezi kumpangia sababu mahusiano ni ya wawili

Pia siwezi kumwita mdangaji sababu sina proof, ninachojua ni kwamba Rest ni mfanyabiashara mwenye kumiliki BAR na Maduka ya vipodozi na urembo kitu ambacho hata brela wanajua

Issue inakuja kwamba inakuaje mume anamruhusu kugombania mali za mahusiano yaliyopita
 
Ndoa ni zaid ya papers
Pale hakuna mume sanasana amegeuka mfuasi wa resty
Hivi kile kiburi cha resty yule kaka anaweza ongea lolote na hivi pesa hana?
Aongee atupiwe vilago? Wakati ana uhakika wa kula, kunywa na kulala
 
Kuna wanawake wengine vichwa vibovu Sasa kama jamaa kamshaur huyo bi dada aachane na hayo mambo alafu ukute demi analazimisha utamfanyaje? Ni kumuacha tu apambane na matokeo

Ungekua wewe ndio mume halafu mke analazimisha mambo ya aibu hivyo ungefanyaje😐
 
Back
Top Bottom