Restuta Bura aingia mpambano mkali kugombea mali za baba mtoto wake huku mume wake wa ndoa akiwa kimya

Restuta Bura aingia mpambano mkali kugombea mali za baba mtoto wake huku mume wake wa ndoa akiwa kimya

Rest yuko na yule kaka sasa ila sijui kesho

Mbaya zaidi Rest anamtumia yule kaka kuonyesha watu kwamba ameolewa na ana mume na watu wanaoonyeshwa wanamwona Rest mlezi wa wana na mume hatoshi kwenye viatu vyake

Mimi naamini mwanaume yoyote anayejua nafasi yake ana uwezo wa kum manage mwanake yoyote aliyemchagua kwa kuona kwamba anamtosha.

Mwanaume kamili hawezi kuwa na mwanamke ambaye hawezi kumsupport kwa upendo au hisia wala kwa kumtunza. Kutunza na kuwapa security wake wao ndio pride ya wanaume na ndivyo ilivyoumbwa
Kweli ni kama vile huwa anaonesha kwamba nae ameolewa, akili za baadhi wanawake sometimes wanazijua wenyewe.
 
Hivi ni mtu wa starehe ghali?
Analalaga kwenye mahotel ya kifahari, Ibiza, zenji, South Africa, mbugan huko serengeti, ngorongoro, hiyo ni kuanzia January to December yaan ni bampa to bampa, kata mti panda mti..hajawahi kulala ndani kwake, sijui kuna nini humo ndani
Halooo Bata lake si la kitoto, na mda wote kalewa kaglass mkononi hakabanduki[emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482]
 
Yaan Resty anakula bata mno mweeeh.
 
Mie nashangaa unapomuita mtu ni mpambanaji huku mlango wa nyuma akigombania ardhi za watu kulisha damu chafu zisizokuwa za mwenye mali yake,kwanini hakumsubiri huyo aliyekuwa jela akatoka wakaendelea na maisha yao ila yeye akakimbilia kuolewa na kuongeza watoto then leo anagombania mali za alikokuacha?

Obviously ni umalaya tu na huyo ni mdangaji kama wadangaji wengine usimpambe sana.ungekuwa wewe ungekubali?
Kwani huyo mume alifungwa kwa kosa gani?
 
Sasa siku ex amshawishi wale tunda..ndo atajua hajui...wazaz hawaachan wanasema ..kama walivyokubaliana kuachiana kiwanja ili afanye biashara..ndio hvyo hvyo siku watakubaliana wakumbushie enzi ..na wanapatana..atajuta kuwa dume suruali.... [emoji1787]

Kwa mwanaume mwenye kujielewa sio wazazi tuu hawaachani, hata exboyfriend au rafiki wa shule au wa utotoni haachwi na mke😅😅😅😅

Mimi mume wa rest simwezi amepoa mnooooooo raha ya mume awe na wivu alafu awe mkalimkali kimtindo, ila asinipige tuu
 
Back
Top Bottom