Mpaka akujibu utasubiria sana...mi limenifungulia juzi hapa baada ya kurequest mda kishenziAhsante nimeshamtumia ombi
Hivi we mtu kashindwa badilisha mapazia miaka nenda rudi, ndo huyo akumbuke kusave sijui kuinvest[emoji848][emoji848]
Kweli ni kama vile huwa anaonesha kwamba nae ameolewa, akili za baadhi wanawake sometimes wanazijua wenyewe.Rest yuko na yule kaka sasa ila sijui kesho
Mbaya zaidi Rest anamtumia yule kaka kuonyesha watu kwamba ameolewa na ana mume na watu wanaoonyeshwa wanamwona Rest mlezi wa wana na mume hatoshi kwenye viatu vyake
Mimi naamini mwanaume yoyote anayejua nafasi yake ana uwezo wa kum manage mwanake yoyote aliyemchagua kwa kuona kwamba anamtosha.
Mwanaume kamili hawezi kuwa na mwanamke ambaye hawezi kumsupport kwa upendo au hisia wala kwa kumtunza. Kutunza na kuwapa security wake wao ndio pride ya wanaume na ndivyo ilivyoumbwa
Analalaga kwenye mahotel ya kifahari, Ibiza, zenji, South Africa, mbugan huko serengeti, ngorongoro, hiyo ni kuanzia January to December yaan ni bampa to bampa, kata mti panda mti..hajawahi kulala ndani kwake, sijui kuna nini humo ndaniHivi ni mtu wa starehe ghali?
Yale mapazia yanajuta kupachikwa pale dirishaniWaja mna macho [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mpaka mapazia?
Harrier nyeupe ana gari lingine??Hahaaa aki tena...
Aachie Mali ya watu kashaitumia vya kutosha imemuwezesha mpaka kuoa na magari anayo..
Utalipwaje fidia wakati kilikufaidia?
Kwanza uliambiwa tu ulinde eneo sio uliendeleze kuligeuza lako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan na mie nashangaa hapa uwiiiih.Sijawahi ona lawyer kazubaa vile
Yaan Resty anakula bata mno mweeeh.Analalaga kwenye mahotel ya kifahari, Ibiza, zenji, South Africa, mbugan huko serengeti, ngorongoro, hiyo ni kuanzia January to December yaan ni bampa to bampa, kata mti panda mti..hajawahi kulala ndani kwake, sijui kuna nini humo ndani
Halooo Bata lake si la kitoto, na mda wote kalewa kaglass mkononi hakabanduki[emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482]
HAKIKAYaani mwanaume ajiingize naye kugombea jasho la mwanaume mwezake itakuwa jau sana,cha muhimu huyo mwanaume amtafutie mke wake eneo lingine waendelee na mambo yao.
Sip tu pazia shostHivi we mtu kashindwa badilisha mapazia miaka nenda rudi, ndo huyo akumbuke kusave sijui kuinvest[emoji848][emoji848]
Kwani huyo mume alifungwa kwa kosa gani?Mie nashangaa unapomuita mtu ni mpambanaji huku mlango wa nyuma akigombania ardhi za watu kulisha damu chafu zisizokuwa za mwenye mali yake,kwanini hakumsubiri huyo aliyekuwa jela akatoka wakaendelea na maisha yao ila yeye akakimbilia kuolewa na kuongeza watoto then leo anagombania mali za alikokuacha?
Obviously ni umalaya tu na huyo ni mdangaji kama wadangaji wengine usimpambe sana.ungekuwa wewe ungekubali?
Sasa siku ex amshawishi wale tunda..ndo atajua hajui...wazaz hawaachan wanasema ..kama walivyokubaliana kuachiana kiwanja ili afanye biashara..ndio hvyo hvyo siku watakubaliana wakumbushie enzi ..na wanapatana..atajuta kuwa dume suruali.... [emoji1787]
Weeeee [emoji848][emoji848][emoji848]Sip tu pazia shost
.nyumba iko.km stooooo
..haijulikan sebele ipi dinning ipi[emoji1]
Joannah:Yule Kaka sijawahi kumuelewa akili yake.
Mbona Kama kazubaa halafu anachezeshwa mayenu na Resty na yeye anafuata tu..Yuko sawa kweli?Joannah:
Ni mtu poa sana . Kutokuwa karibu na mtu au kutokumjua kunaweza kukujengea picha tofauti.