Restuta Bura aingia mpambano mkali kugombea mali za baba mtoto wake huku mume wake wa ndoa akiwa kimya

Restuta Bura aingia mpambano mkali kugombea mali za baba mtoto wake huku mume wake wa ndoa akiwa kimya

Huyu mwanamama RestutaBura ni mpambanaji kwelikweli, pamoja na mambo mengine yanayomkuta bado anasimama kama mmoja wa wanawake hodari na watafutaji kila wapoona fursa. Rest anafanya biashara ya bar, vipodozi na urembo

Rest amekua akifanya biashara kwenye moja ya eneo linalomilikiwa na baba mtoto wake na familia yao. Eneo hilo alikabidhiwa afanye biashara ili iwe ulinzi kipindi ambacho baba mtoto wake alikua jela. Wakati akiendelea na biashara zake ndio alikutana na mume wake huyu anayeishi nae sasa wakaoana kwa ndoa, wakazaa na kuendelea kufurahia maisha yao.

Utata umekuja baada ya baba mtoto wake kutoka jela na kumtaka bidada aondoshe biashara anayofanya kwenye eneo hilo na yeye kukataa kuondoka bila kulipwa gharama za ujenzi wa bara ya restpack na ulinzi alioufanya hapo kipindi chote jamaa akiwa korokoroni

Mali za Restpack zimeharibiwa, wafanyakazi wameumizwa, yeye mwenyewe amedhalilishwa huku mumewe akiwa kimya....
Hivi kweli huyo mume mwanasheria kashindwa hata kumshauri mkewe aachane na maugomvi ya mitandaoni na badala yake afuate sheria kupata haki yake kama ipo?
Kashindwa kufuatilia hilo jambo na kufanya maamuzi kama fazahausi kabla ya haya mambo kufika huku?
Hivi wakati mke anaenda kupambana na babamtoto wake na makampuni ya ulinzi mume anaagwaje? anakuwa anabaki wapi?
Hivi huyu mume akikuta mkewe karudiana na babydad wake atalalamika!? Mbona kama ndio anamtuma?

Ninapokutana na mambo kama haya huwa namkumbuka sana WARUMI RIP

Mambo ya ndoa huwa ni magumu sana ,ukishaingia ndio madudu huwa yanaanza.Sasa katika hali kama hiyo huyo Mume wa sasa inawezekana huko nyumbani anamwambia mkewe aachane na hayo mambo mke anagoma,na ukijaribu sana kutumia nguvu unaona jinsi nyumba inavyovurugika kwa kukosa amani,na saa nyingine unogopa isifike mbali watu kujua kuwa nyumba yako haitawaliki,maisha ya aina hii ndio unaweza kukuta unaanza kudevelope pressure,visukari n.k, kwani maisha yamekuwa beyond expectation...
 
Yupo sawa, ni mtu mmoja mstaarabu sana hana makuu. Tatizo ni ulimwengu wanaoishi lakini katika maisha ya uhalisia hayupo hivyo kama wanavyomtuhumu na watu wanavyomdhalilisha.
Sawa Kama unajua kiukaribu...Mimi naonaga mashikoro tu huko mtaandaoni
 
Mambo ya ndoa huwa ni magumu sana ,ukishaingia ndio madudu huwa yanaanza.Sasa katika hali kama hiyo huyo Mume wa sasa inawezekana huko nyumbani anamwambia mkewe aachane na hayo mambo mke anagoma,na ukijaribu sana kutumia nguvu unaona jinsi nyumba inavyovurugika kwa kukosa amani,na saa nyingine unogopa isifike mbali watu kujua kuwa nyumba yako haitawaliki,maisha ya aina hii ndio unaweza kukuta unaanza kudevelope pressure,visukari n.k, kwani maisha yamekuwa beyond expectation...
Dah,Ila kweli...Maana Resty Kama unga wa ngano
 
Mitandaoni mtu anaweza kudhalilishwa, kutukanwa lolote lile. Kuna watu wanakashifu sana watu, lakini tusisahau kuwa hatujawapa sisi uhai.
Simaanishi watu wanavyomchukulia,namaamisha Maisha ninayoyaona mke wake akiyaweka mtaandaoni baina Yao.
 
Mambo ya ndoa huwa ni magumu sana ,ukishaingia ndio madudu huwa yanaanza.Sasa katika hali kama hiyo huyo Mume wa sasa inawezekana huko nyumbani anamwambia mkewe aachane na hayo mambo mke anagoma,na ukijaribu sana kutumia nguvu unaona jinsi nyumba inavyovurugika kwa kukosa amani,na saa nyingine unogopa isifike mbali watu kujua kuwa nyumba yako haitawaliki,maisha ya aina hii ndio unaweza kukuta unaanza kudevelope pressure,visukari n.k, kwani maisha yamekuwa beyond expectation...

Hivi unawezaje kuishi bila furaha wala amani ili tuu uwaridhishe walimwengu!?
Akili zingine heri zikaage hukohuko kwakweli
 
Analalaga kwenye mahotel ya kifahari, Ibiza, zenji, South Africa, mbugan huko serengeti, ngorongoro, hiyo ni kuanzia January to December yaan ni bampa to bampa, kata mti panda mti..hajawahi kulala ndani kwake, sijui kuna nini humo ndani
Halooo Bata lake si la kitoto, na mda wote kalewa kaglass mkononi hakabanduki[emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482]
Starehe zote hizo kwa bar na duka tu?
Si amove on,hela ya starehe anayo ila ya kuhama eneo jipya hana anasubiri adhalilishwe
Wanawake sisi[emoji16][emoji16]
 
Hivi unawezaje kuishi bila furaha wala amani ili tuu uwaridhishe walimwengu!?
Akili zingine heri zikaage hukohuko kwakweli
Sijawahi kuelewa watu wanao fake maisha kisa kuwaridhisha walimwengu, wengine hulka hiyo hatujajaliwa mweeeeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Starehe zote hizo kwa bar na duka tu?
Si amove on,hela ya starehe anayo ila ya kuhama eneo jipya hana anasubiri adhalilishwe
Wanawake sisi[emoji16][emoji16]

Rest mwenyewe anasema na bado!
post_273941585_1132092604207627_2169284437999105197_n.jpg
post_274056884_890190528314946_3103741342811816142_n.jpg
cover_273874785_1313691735764853_4768569941508000031_n.jpg
post_273983753_130696866127901_3571051140066466023_n.jpg

Yaani mwanaume ajiingize naye kugombea jasho la mwanaume mwezake itakuwa jau sana,cha muhimu huyo mwanaume amtafutie mke wake eneo lingine waendelee na mambo yao.
Ila wakati mwingine hizo ndo changamoto za kuoa single mothers
 
Huyo Dada kwanini alibweteka kwenye eneo anajua kabisa kihalali sio lake?
Miaka yote hiyo si angekuwa na eneo ama viwanja akajenga mahali kwingine akahamamia?
Nafikiri kuna terms walikubaliana mwanzoni na huyo baba mtoto wake ambazo aliona hazitakuja kumbana au kumsumbua baadae
 
Back
Top Bottom