Restuta Bura aingia mpambano mkali kugombea mali za baba mtoto wake huku mume wake wa ndoa akiwa kimya

Restuta Bura aingia mpambano mkali kugombea mali za baba mtoto wake huku mume wake wa ndoa akiwa kimya

Mmmh amu jamani mi hata akose nguvu za kiume lkn awe na hela ntamheshimu hivo hivo tu, ntavumilia

Asie na hela unahisi unapakwa shombo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1732] ( natania jamani)[emoji125][emoji125][emoji125]
hatar
 
Kwa mwanaume mwenye kujielewa sio wazazi tuu hawaachani, hata exboyfriend au rafiki wa shule au wa utotoni haachwi na mke[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Mimi mume wa rest simwezi amepoa mnooooooo raha ya mume awe na wivu alafu awe mkalimkali kimtindo, ila asinipige tuu
haha aisee kipigo hutaki wataka koromewa
 
Nafikiri kuna terms walikubaliana mwanzoni na huyo baba mtoto wake ambazo aliona hazitakuja kumbana au kumsumbua baadae
Plus alihis jamaa hatotoka jela...uhujumi uchumi kesi sio ya kitoto...but see now..jamaa kalipa fine he is out[emoji1]..ni suprise kwa bibie
 
Hapa kwa kweli Resty kaingia cha kiume angeutumia ule muda vema wakati jamaa akiwa jela kuinvest sehemu nyingine saizi yasingemkuta yakumkuta. Ni ngumu sana kwa sasa yeye kuendelea kufanya biashara kwa ex wakati umeshaolewa na mume mwingine hii haipo sawa aisee kwanza jamaa amemvumilia sana.
 
Resty atakuwa alijua mume wake angeishia jela milele ndio maana akawa huru kujiachia na kweka.Resty hata kama alikuwa anatoka na mtu mume akiwa jela alitakiwa afanye kwa siri mno na ukizingatia ana watoto.Naona jamaa katoka jela na hasira kama zote.
 
Rest yuko na yule kaka sasa ila sijui kesho

Mbaya zaidi Rest anamtumia yule kaka kuonyesha watu kwamba ameolewa na ana mume na watu wanaoonyeshwa wanamwona Rest mlezi wa wana na mume hatoshi kwenye viatu vyake

Mimi naamini mwanaume yoyote anayejua nafasi yake ana uwezo wa kum manage mwanake yoyote aliyemchagua kwa kuona kwamba anamtosha.

Mwanaume kamili hawezi kuwa na mwanamke ambaye hawezi kumsupport kwa upendo au hisia wala kwa kumtunza. Kutunza na kuwapa security wake wao ndio pride ya wanaume na ndivyo ilivyoumbwa
Yule ni mwanasheria wa mikataba ya kimataifa,anaingiza pesa nyingi sana ndio mana mda wote yuko busy na mkewe...xmas nlikutana nao arusha daah live huyo dada hapana,utafikiria mtoto wa nyati
 
Huu ugomvi si wa kuingilia mume wa Rest atafedheheka. Kama asingekuwa Mario toka mwanzo asingeruhusu mke kuanzisha biashara kwenye eneo ambalo si mali yake.

Kwa sasa anachoweza kufanya ni kumshauri kisheria afanye nini ili afidiwe mali zinazodaiwa kuharibiwa then rest na baby daddy wake waingie kwenye makubaliano ya kulimaliza swala kidiplomasia. Ni swala la kuomba ruhusa ya kulitumia eneo wakati anatafuta eneo lingine.

Hao bado wanapendana na ndio maana kuna vita. Sio kila vita ni vita halisi zingine ni mahaba
Hiyo miaka amekaa hapo angekua analipa kodi asingeweza,cz hilo eneo tu kwa mbezi ya chini kodi ndogo kwa mwezi 3m na kuendelea...kuna rafiki yangu alikua anunue hapo nov 2021 sema bei ikawa kubwa
 
Resty atakuwa alijua mume wake angeishia jela milele ndio maana akawa huru kujiachia na kweka.Resty hata kama alikuwa anatoka na mtu mume akiwa jela alitakiwa afanye kwa siri mno na ukizingatia ana watoto.Naona jamaa katoka jela na hasira kama zote.
Hajawahi kumuoa alizaa nae na ameenda jela akiwa na mke msupu...jamaa noti anazo plus mali
 
Resty atakuwa alijua mume wake angeishia jela milele ndio maana akawa huru kujiachia na kweka.Resty hata kama alikuwa anatoka na mtu mume akiwa jela alitakiwa afanye kwa siri mno na ukizingatia ana watoto.Naona jamaa katoka jela na hasira kama zote.
Amekuja kumaliza kazi
 
Starehe zote hizo kwa bar na duka tu?
Si amove on,hela ya starehe anayo ila ya kuhama eneo jipya hana anasubiri adhalilishwe
Wanawake sisi[emoji16][emoji16]
A move on kwani hela ni zake sasa? Huko alipokuwa anazichota ndio mirija ishakata sasa😅 zile milion 10/10 za wasafi kwa mwaka tu zinawapeleka dubai na chenchi inabakia.

Sasa aanze kuishi kwa biashara zake za makeups na hivyo bar ishavunjwa show itakuwa kali! Msichokielewa wanawake wengi wafanyabiashara wanaojiita wapambanaji wanaishi kwa support za wanaume tu😅 ila impression inakuja kuwa eti ni biashara ndio inalipa!
 
Back
Top Bottom