Restuta Bura Kweka almaarufu "Resty Fish BBQ" ni nani haswa?

Mnakuwa na wanaume loosers.


Mwanaume unakubali kusimamia bar ya mwanaume mwenzako.

Haki mimi ningekuwa mama wa yule Kweka ningepiga ukunga mmoja wa kichaga mpaka akili ingemkaa sawa.
Acha wivu amu acha jamaa afaida[emoji1787][emoji1787][emoji3577]
 
Yule sidhani hata kama kut@mba linajua.

Linakuwa linampapasa tu.
We amu wewe!!!![emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Muone huruma huyo jamaa[emoji1787][emoji1787][emoji3577]
 
Dah kweli si tunaungua jua kinoma, ila mwamba anazurura na vipensi tu akiwa na mama [emoji23][emoji23][emoji23] mwendo wa full option. Mikamera kila saa [emoji23] aisee ile michezo siiwezi
Mkuu unaweza jamaa ana stock mahali

Anakula dividend Hana haja kufanya fanya mikazi yenu .

Nyie mnamnanga mwenzenu ame retire young .

Wakati ndio bado "ndio boss"[emoji1787][emoji1787]
 
Hahahahhahahhahaha
 
Hahahahah daaah wabongo noma sana nyie

Acheni hizo [emoji1]
 
Mkuu unaweza jamaa ana stock mahali

Anakula dividend Hana haja kufanya fanya mikazi yenu .

Nyie mnamnanga mwenzenu ame retire young .

Wakati ndio bado "ndio boss"[emoji1787][emoji1787]
Aombee misuli iendelee kuwa imara tu😂 otherwise mbeleni itakuwa msiba kwake.
Mi ningeomba mtaji wa kuanza biashara inayo stem toka kwenye wazo langu.
 
Dah kweli, nikionaga mwamba anavyojitahidi kucheza mara anajilazimisha kukumbatia kabati na kulisogeza yote ile njaa tu. No real man wants his ass on cameras all the time.
Kabati[emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu unaweza jamaa ana stock mahali

Anakula dividend Hana haja kufanya fanya mikazi yenu .

Nyie mnamnanga mwenzenu ame retire young .

Wakati ndio bado "ndio boss"[emoji1787][emoji1787]
Khaaaa mtonyo gaaaani wa kuweka dividend?
Huu huu wa kumuoa resti 3 yrs ago na hii CV yake ya kislope toka enzi?
Mana hana Ushua kusema amerithi!

Hebu atupishe,aendelee tu kusugua ngozi tu yake yamuendee.
Na ule ufala fala anaoonekana nao, yule hakuna hata kitu kimoja kiko on his name.

Anasubiri tu kuambiwa twende huku twende kule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…