Restuta Bura Kweka almaarufu "Resty Fish BBQ" ni nani haswa?

Hana habari na kabati lake
 
Watoto watatu sio wawili mkubwa alimzaaga kabla ya sosho midia ila ndo anamuweka nyumanyuma kama HG na saa nyingine anasema sio wake ila ndo first born

Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
Nilisikia yule ni wake Ila kwanini alikuwa ana mu treat ka house gelo, tangu achambwe sikuhizi hamu post tena, Ila yule mtoto mkubwa alimzaa na umri gani maana resty ni wa tisini na yule mtoto ni mkubwa
 
Hivi huyo shkuba huwa ni nani?
Ujue siku hzi hawachambani Hadi napitwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie mwnyw sion ucharuko wa Rachel saiv, au ndo km walivosema huwa anawehuka asipokunywa mashudu, now anaona anafatilia masharti,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mnakuwa na wanaume loosers.

Mwanaume unakubali kusimamia bar ya mwanaume mwenzako.

Haki mimi ningekuwa mama wa yule Kweka ningepiga ukunga mmoja wa kichaga mpaka akili ingemkaa sawa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shangazi puliiiiiiiiiz taratibu , mambo yako huo ukunga wa kichaga vepeeeee?
Daaaaah nimecheka had mbavu zinauma mweeeeeh.
 
Ukiwa form 2 2014?..Mimi ndiyo namalizia chuo mwaka huo..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duuuuh aseeeeeh, me napambana kuingia 4m 3, wee unavaa joho. Lol, kitambo San aseeeeh.
 
Ni nini lakini? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ngoja nitafute picha kama ni handsome on top of all this description
 
Alikuwa mzuri sana wa uso.

Alitokaga kwenye tangazo la voda jero jero.

Ni mzuri lakini si unajua tena kajiachia sasa hivi.

Diet zinamkataa mazoezi yanamkataa.
Mlevi mnoo

Tena leo naenda kwake, ila sitamkuta shoga angu maana namuona sijui serengeti huko anamwambia 'advocate' " piga keleleee akee weeeeewee, Simbate[emoji16][emoji16] ( hapo simba alikuwa anakatisha pembeni ya gari lao[emoji23][emoji23][emoji16])

Ha ha demu kapinda balaa[emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie mwnyw sion ucharuko wa Rachel saiv, au ndo km walivosema huwa anawehuka asipokunywa mashudu, now anaona anafatilia masharti,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Taratibu anasoma humu

ID kama mchanga
 
Nilisikia yule ni wake Ila kwanini alikuwa ana mu treat ka house gelo, tangu achambwe sikuhizi hamu post tena, Ila yule mtoto mkubwa alimzaa na umri gani maana resty ni wa tisini na yule mtoto ni mkubwa
Wa tisini? Hapana yule dada hata ukimuona live mkubwa bana..kama sio 85 basi 87
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…