Stanley Mitchell II
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 970
- 1,323
Haha ila Kweka alikua anapenda kitonga long time sana...ndio maana amekubali "kuolewa"Unamaanisha Kweka?If yes,yy si ndo meneja sasa wa hizo mishemishe huku akiendelea kuufukuzia uwakili.hahahah eti mbeba pochii mwachen Kweka ainjoy matunda ya ndoa bana[emoji23]
Daah huu ni ushamba ama namna gani!!?Ni huyo hapo sista.View attachment 1653903
Daah usikute mnafahamiana ila huku umamuongelea kama limzigo flani vile!!?Aah sio pazuri pale [emoji849]
Sema liko charming sana, hata ofa linatoaga
Kwani bro unaweza kuwa na mke ambaye hujamuoa?Kaniamulia.resty ni rafiki wa mke wangu niliyemuoa, hivyo namjua sababu wife anapenda kumzungumzia.walisoma wote zanaki hivyo huwa unamzungumzia kuwa form 2 tayari resty alikuwa anatembea na vigogo
Ewaaa story za skonga mzee machache naye alipita nae. Maisha ya camera toka yuko shule tuliosoma nae hatushangai Kweli maisha bongo nyoso eti resty kawa motivational speaker.Kaniamulia.resty ni rafiki wa mke wangu niliyemuoa, hivyo namjua sababu wife anapenda kumzungumzia.walisoma wote zanaki hivyo huwa unamzungumzia kuwa form 2 tayari resty alikuwa anatembea na vigogo
Unaonekana mtoto wa mjini weweHivi kafungua nyingine zaidi ya pale oasis?
Au ni pale pale kaboresha, kitambo sijaenda pale
Rest mzuri sura sana na rangi ila umbo mweh mweh, halafu kifupi hataree
Hapo nimechemka, nashukuru kwa kunirekebisha.Kwani bro unaweza kuwa na mke ambaye hujamuoa?
Resty wa voda jero jero.Kaniamulia.resty ni rafiki wa mke wangu niliyemuoa, hivyo namjua sababu wife anapenda kumzungumzia.walisoma wote zanaki hivyo huwa unamzungumzia kuwa form 2 tayari resty alikuwa anatembea na vigogo
Mnakuwa na wanaume loosers.Wakaon wawapatanishe ili waonekane family men.
Puuuuumbaka
Hahaha..wanawake bhanaHivi kafungua nyingine zaidi ya pale oasis?
Au ni pale pale kaboresha, kitambo sijaenda pale
Rest mzuri sura sana na rangi ila umbo mweh mweh, halafu kifupi hataree
Good.Hapo nimechemka, nashukuru kwa kunirekebisha.
Learning is a process......
Bar si ya restyMnakuwa na wanaume loosers.
Mwanaume unakubali kusimamia bar ya mwanaume mwenzako.
Haki mimi ningekuwa mama wa yule Kweka ningepiga ukunga mmoja wa kichaga mpaka akili ingemkaa sawa.
Mtaji katoa wapi?Bar si ya resty
Ila huyu kweka anazalilisha wachaga kawa ka lijinga kupigwa pigwa mapicha hovyo na kufatana na testy nyuma ka mkia wa mbwa. Dah Mimi naona ha act ka mwanaume resty mwenyewe hu behave ka hamnazo na alihitaji mwanaume timamu wa kumshape aiseeMnakuwa na wanaume loosers.
Mwanaume unakubali kusimamia bar ya mwanaume mwenzako.
Haki mimi ningekuwa mama wa yule Kweka ningepiga ukunga mmoja wa kichaga mpaka akili ingemkaa sawa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu ww ni kabila gani, nakuona una kakisirani na kageneralization flani ka kiduwanzi kwa vijana wa kichaga.
Washakubandua mtungo nn
Huyu resty Kuna siku recho aalimchamba kuwa pumba wa shkubaAlikuwepo Shamim Mwacha, dada wa kibubu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu resty Kuna siku recho aalimchamba kuwa pumba wa shkuba
Kuna siku juzi Kati nilimuona dadake aisee kadhoofu maskini sijui anaumwa nini, Mungu amsaidie, Mimi napenda ukimya wakeToka enzi za Zanaki.
Halaaafu dadake kapatwa na nini?
"Chechela Segedansi Nondo Gereza Inside Ndichi Ngome Lupango"....Inspector Haroun.Hilo orofa walilopanga kina wasafi radio mbao zinasema ni la baba mtoto wake wa kwanza ambae inasemakana yupo ngome anatumikia muda ila mwanae ndio mrithi kwahiyo Resty kama mama yake anasimamia kuchukua kodi. Wasemavyo walimwengu. Pamoja na kuwa wengi wanafake maisha mitandaoni ila anajitahidi sana kutumia fursa kama mwanamama hongera zake.