Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 18,875
- 29,427
Hiyo ya upunga ndiyo tabia yako, na hapa umekuja kutafuta mabasha wakakusugue kinyeoPunga hilo litajulia wapi?
Lenyewe linawaza kumtetea huyu kichaa wake chura kiziwi
Hiyo ya upunga ndiyo tabia yako, na hapa umekuja kutafuta mabasha wakakusugue kinyeoPunga hilo litajulia wapi?
Lenyewe linawaza kumtetea huyu kichaa wake chura kiziwi
Ninajuwa sana labda nikulete kwenye statistics ambako kuna mambo ya confidence intervals. Taarifa yeuote yenye margin of error ya 5 to 10% inakubalika.
Lakini margin of error inapokuwa >10% hiyo ni taarifa ya ku- IGNORE.
Nakubali watu walikufa, lakini wanaharakati na wanasiasa wana exaggerate figures ili kufanikisha agenda zao
Yaani ICC waje wamshtaki Rais na wasidizi wake (JWTZ & TANPOL), waliozima machafuko ya uharibifu wa mali, wizi, uchomaji moto mali kwa ufanisi wa hali ya juu ndani ya masaa 12???Jean Piere Bemba Aliua raia kati ya 200-300, ila ICC waliruka nae, msichokijua ndani ya mwaka na nusu, arrest warrant ya Samia itatoka, ata hasipokamatwa mnajua implications zake
Sawa state protection hata Maduro alikuwa anajitetea hivi hivi.Ile haikuwa extra judicial killings bali ilikuwa state protection against rioters. Katika kutuliza riots ambazo zinetolea nchini kwenye mikoa 6 spontaneously hakuna busara yeyote ambayo ingekuwa effective na kurudisha nchi kwenye utulivu kwa muda mfupi kama ule
Huyo Mange ana post wapi hizo video kila siku? Au huna habari kuwa Meta owners wa Instagram wameitoa page ya Mange kwenye Instagram??Ni above 30,000 hao wanaongelea kwa kuhesabu video,kuna watu wameuwawa huko mitaani na video zao hazijasambazwa. Mange anapost video mpya kila siku na hapo unaona miili imezagaa.
Unatakiwa kuwa mgonjwa wa akili kutetea ushenzi uliotendeka.
Acha kuwa mshenzi wa tabia hakuna mshahara wala tija ukichagua kuwa mshenzi mshenzi.
Suala la Maduro siyo demokrasia wala cocaine bali Trump anataka mafuta ya Venezuela!!Hata Maduro alikuwa na kibri hivihivi
Hizo ni collateral damages, huwezi kuzi avoidHmm sasa hapo kipi cha ajabu kilichotokea mpaka kutuliza watu kwa huo muda mfupi? Watu wamekaa zao wanakunywa kahawa tena ni mji mwema sio ata main road ni uko juu milimani mtaani tu.. watu 13 walishindwa kuwakamata kuwafikisha kituoni? Kwanba wangefika na kuwafukuza lile eneo wangekataa, wanafika tu na kuwamiminia risasi bila maelezo yoyote?
zote ni hesabu, hata kama wangekuwa wawiliSasa ile ambayo Makamu Mwenyekiti wenu Heche anasema 2,000 ndiyo waliuliwa anaipata wapi?
Larry Madowo na CNN wansema 23,000
Halafu naye Dada yenu Maria Sarungi anasema 10,000? Which is which?
Mitandao ipo mingi kwani hii unayopost ni instagram.Huyo Mange ana post wapi hizo video kila siku? Au huna habari kuwa Meta owners wa Instagram wameitoa page ya Mange kwenye Instagram??
Watu mnaishi kwenye ulimwengu wa past tense halafu mnataka kubishana na GTs
Tanzania imepigwa ban kupata visa ya Marekani kwani sisi tunachimba mafuta wapi.Suala la Maduro siyo demokrasia wala cocaine bali Trump anataka mafuta ya Venezuela!!
Mbona nyinyi watu ni mazezeta sana???
Venezuela ana 20% ya mafuta yote duniani sawa na 307 Billion barrels walati USA ina 74 Billion barrels tu. Hicho ndicho USA kafuata Venezuela, hakuna cha demokrasia wala kuuza narcotics
😁 😁Punga hilo litajulia wapi?
Lenyewe linawaza kumtetea huyu kichaa wake chura kiziwi
Hawa jamaa wanachekesha, yaani wanatokea 23,000, wanatembea mpaka 10,000, wanashuka mpaka 2000 na leo wanakuja na 700. Utawaamini vipi watu kama hao.Sasa ile ambayo Makamu Mwenyekiti wenu Heche anasema 2,000 ndiyo waliuliwa anaipata wapi?
Larry Madowo na CNN wansema 23,000
Halafu naye Dada yenu Maria Sarungi anasema 10,000? Which is which?
Ni wapi Reuters walisema polisi waliua 23,000.Hawa jamaa wanachekesha, yaani wanatokea 23,000, wanatembea mpaka 10,000, wanashuka mpaka 2000 na leo wanakuja na 700. Utawaamini vipi watu kama hao.
Na utawasikia eti, watanzania wote hawamtaki Dr Samia. Jamani tuweni na aibu kidogo! Uwongo na propaganda hazitawafikisha mbali, ndio mnajichimbia kaburi kubwa tu. Isitoshe, ndio mnampa mama point za bure tu, na ndio maana amekaa kimya kwa muda, ili wananchi wawadharau kwa uongo wenu.
Ndio maana nikasema wewe unaonekana tu kuwa ni mshenzi, kwahiyo unakasirishwa na mange kupost uhalifu uliofanywa na wandawazimu ? Sasa kama haujui ndio ujue bado anapost na sikusema ni Instagram au Facebook, yupo huko kwenye social network account zingine anapost mbona bado.Huyo Mange ana post wapi hizo video kila siku? Au huna habari kuwa Meta owners wa Instagram wameitoa page ya Mange kwenye Instagram??
Watu mnaishi kwenye ulimwengu wa past tense halafu mnataka kubishana na GTs
Unahatari wewe. Bado tu unazitetea hizo namba! Vichaa ni wengi TZ. Kwasababu unatakiwa huna akili kabisa ili uzitete hizo namba, tena uwe kipofu na kiziwi.zote ni hesabu, hata kama wangekuwa wawili
Sasa ile ambayo Makamu Mwenyekiti wenu Heche anasema 2,000 ndiyo waliuliwa anaipata wapi?
Larry Madowo na CNN wansema 23,000
Halafu naye Dada yenu Maria Sarungi anasema 10,000? Which is which?
Wewe usiye kichaa tuambie wangapi waliuawa kama kama hujui kwanini anayetaja idadi imuone ni kichaa.Unahatari wewe. Bado tu unazitetea hizo namba! Vichaa ni wengi TZ. Kwasababu unatakiwa huna akili kabisa ili uzitete hizo namba, tena uwe kipofu na kiziwi.
Acha warukeruke kuna siku wataingia kwenye 18 za wenyewe.Mwigulu aliuliza ulikuwepo??
Majibu yanazidi kumwagika tu kutoka mashahidi mbalimbali kutoka pande zote za Dunia