PostGE2025 Reuters: Intended killings in Tanzania, UN experts estimate at least 700 extrajudicial killings

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Wewe usiye kichaa tuambie wangapi waliuawa kama kama hujui kwanini anayetaja idadi imuone ni kichaa.
Ni bora ukae kimya kama hujui, kuliko kuropoka na kusema uongo. Jifunze na iamini semi hiyo- Kama hujui huna uhalali wa kuzungumzia jambo hilo, vinginevyo utakuwa muongo.
 
Kama wewe hujui kitu say ni mbumbumbu au kuna akili kabisa, utajua vipi anayetaja idadi kasema uongo.

Takwimu hupingwa kwa takwimu na research hupingwa kwa research sio kubwabwaja maneno matupu.
 
Yaani ICC waje wamshtaki Rais na wasidizi wake (JWTZ & TANPOL), waliozima machafuko ya uharibifu wa mali, wizi, uchomaji moto mali kwa ufanisi wa hali ya juu ndani ya masaa 12???
Hakuna ICC ya hivyo. On the contrary tuvisifu vyombo vyetu kwa kutuheshimisha maana wale MAHAYAWANI walikuwa wanatupeleka pabaya kwa kisingizio cha maandamano ya kudai haki
Leo ni tarehe 09/01/2026

ICC wakitoa arrest warrant panapo majaliwa ntakutag na kukukumbusha your bogus comment
 
Mimi hapa Tunduma nilizika ndugu zangu 10 waliouawa na polisi.
Kwa hiyo mpaka sasa unauhakika na 10. Basi tusubiri na wengine walete namba zao.
Lakini kwa sasa tunatupilia mbali hizo namba za awali za 23,000. 10,000, 2000 na 700. Sisi tuanaanza upya kwa takwimu za uhakika.
 
Utambulisho pekee wa Samia kwa Dunia nzima kwa sasa, na kwa miaka mingi ijayo:

Mwanamke wa kwanza Tanzania na Afrika Mashariki kuwa Rais.

2. Mwanamke wa kwanza Duniani kuwa katili na muuaji wa wanadamu.

4. Mwanamke pekee Rais Duniani aliyefurahia uovu kama vile kuteka na kuua watu, kudhulumu haki za binadamu kwa uwazi kabisa; na kuufanya ukatili na uovu kama sera yake kuu ya utawala, kuhakikisha anabakia madarakani. Ndiye mwanamke oekee wa ajabu, ambaye akishauriwa jambu jema, anakugeuza wewe kuwa adui, kama ilivyotokea kwa TEC, Polepole, na sasa kwa Simbachawene.
 
Hawa jamaa wanachekesha, yaani wanatokea 23,000, wanatembea mpaka 10,000, wanashuka mpaka 2000 na leo wanakuja na 700. Utawaamini vipi watu kama hao.
Na utawasikia eti, watanzania wote hawamtaki Dr Samia. Jamani tuweni na aibu kidogo! Uwongo na propaganda hazitawafikisha mbali, ndio mnajichimbia kaburi kubwa tu. Isitoshe, ndio mnampa mama point za bure tu, na ndio maana amekaa kimya kwa muda, ili wananchi wawadharau kwa uongo wenu.
Waziri mkuu amegoma kutaja idadi,ameuliza mnataka kufanya sherehe?
 
Utambulisho pekee wa Samia kwa Dunia nzima kwa sasa, na kwa miaka mingi ijayo:

Mwanamke wa kwanza Tanzania na Afrika Mashariki kuwa Rais.

2. Mwanamke wa kwanza Duniani kuwa katili na muuaji wa wanadamu.

4. Mwanamke pekee Rais Duniani aliyefurahia uovu kama vile kuteka na kuua watu, kudhulumu haki za binadamu kwa uwazi kabisa; na kuufanya ukatili na uovu kama sera yake kuu ya utawala, kuhakikisha anabakia madarakani. Ndiye mwanamke oekee wa ajabu, ambaye akishauriwa jambu jema, anakugeuza wewe kuwa adui, kama ilivyotokea kwa TEC, Polepole, na sasa kwa Simbachawene.
Wa pili, wa kwanza ni Sheikh Hasina wa Bangladesh.
 
Summary
  • At least 13 killed in shooting at one cafe in city of Mwanza - witnesses and video
  • Police targeted civilians far from protests, witnesses say
  • UN experts estimate at least 700 extrajudicial killings
  • Government says it is reviewing allegations against security forces

NAIROBI, Jan 9 - Around 8:30 p.m. on October 31, a group of policemen appeared in the Mjimwema neighbourhood of the Tanzanian city of Mwanza, where residents were running errands and drinking coffee. Without warning, they opened fire in different directions, triggering panic.

The officers ordered men who had taken shelter in a nearby cafe to lie on the ground and then shot at them, three witnesses told Reuters.

By the time shooting subsided, more than a dozen lay dead, they said.

Driven by the exclusion of leading opposition candidates from the elections and a surge of arrests and alleged abductions of government critics, the violence was the worst political unrest in Tanzania's post-independence history and has undermined its reputation for stability.

The U.N. human rights office estimates hundreds were killed and the U.S. government says it is reviewing its relationship with the country, partly as a result.

Was the number more than 700 or more than 10,000? Who's who in this saga?
 
Maduro hachomoi
 
Inatisha sana sana sana sana 😢😢😢😢😢
 
Ni above 30,000 hao wanaongelea kwa kuhesabu video,kuna watu wameuwawa huko mitaani na video zao hazijasambazwa. Mange anapost video mpya kila siku na hapo unaona miili imezagaa.

Unatakiwa kuwa mgonjwa wa akili kutetea ushenzi uliotendeka.

Acha kuwa mshenzi wa tabia hakuna mshahara wala tija ukichagua kuwa mshenzi mshenzi.
Hii sasa balaa
 
Back
Top Bottom