Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 18,875
- 29,427
Unadhani huko CCP au Monduli walikwenda kusomea uchungaji wa Kanisa la Sabato au hotel management?Na kwanini watu walikufa? Polisi hawafundishwi mbinu za kukabiliana na maandamano bila kusababisha vifo? Au waandamanaji walikuwa na silaha za moto? Kwanini wafe kwa idadi kubwa hivyo?
Unapewa mashine na risasi ambazo zimelipiwa na kodi zetu, halafu uache MAHAYAWANI wanachoma Mwendokasi na vituo vya Polisi tulivyojenga kwa kodi yetu?? Are you crazy??