Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 4,903
- 7,213
Kwa hiyo wewe hiyo idadi unaoma ni nafuu kwako sio?Sasa ile ambayo Makamu Mwenyekiti wenu Heche anasema 2,000 ndiyo waliuliwa anaipata wapi?
Larry Madowo na CNN wansema 23,000
Halafu naye Dada yenu Maria Sarungi anasema 10,000? Which is which?