PostGE2025 Reuters: Intended killings in Tanzania, UN experts estimate at least 700 extrajudicial killings

PostGE2025 Reuters: Intended killings in Tanzania, UN experts estimate at least 700 extrajudicial killings

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Idadi ipi kati ya hizo? Tusaidie , 23,000. 10,000. 2000 au 700. Tutajie moja iliyosahihi tufunge mjadala wa hoja.
Pale Muhimbili tu maiti zilikuwepo zaidi ya 2,400 sasa nchi nzima watakuwa wangapi kama sio zaidi ya 11,000.

Nyie endeleeni kutetea mauaji mkiamini kwamba siku zote mtakuwa salama, ila mwisho wenu ni mbaya sana
 
Kwanini bado amekalia kiting huyu mama , Trump siaje ayafurushe haya majinga
 
Yaani ICC waje wamshtaki Rais na wasidizi wake (JWTZ & TANPOL), waliozima machafuko ya uharibifu wa mali, wizi, uchomaji moto mali kwa ufanisi wa hali ya juu ndani ya masaa 12???
Hakuna ICC ya hivyo. On the contrary tuvisifu vyombo vyetu kwa kutuheshimisha maana wale MAHAYAWANI walikuwa wanatupeleka pabaya kwa kisingizio cha maandamano ya kudai haki
Acha kutupanga ! Punguza porojo!
Kamchukulie tuzo kwanza ndio uje humu kubwabwa……

ICC hawashughuliki na mali wanashughulika na uhai wa mwanadamu sio mbwa.

Wananchi waliouwa kwa makusudi hamutambui hilo tangu litokee. Hujafiwa wewe. Muombe sana mmzimu wako lisikufike!

Pumzikeni kwa Amani watoto wetu na Ndugu zetu mliodhulumiwa haki yenu ya uhai.
 
Sasa ile ambayo Makamu Mwenyekiti wenu Heche anasema 2,000 ndiyo waliuliwa anaipata wapi?

Larry Madowo na CNN wansema 23,000

Halafu naye Dada yenu Maria Sarungi anasema 10,000? Which is which?
Kwani wewe mwyewe uliuuwa watu wangapi tuanzie hapo kwanza.
 
Acha kutupanga ! Punguza porojo!
Kamchukulie tuzo kwanza ndio uje humu kubwabwa……

ICC hawashughuliki na mali wanashughulika na uhai wa mwanadamu sio mbwa.

Wananchi waliouwa kwa makusudi hamutambui hilo tangu litokee. Hujafiwa wewe. Muombe sana mmzimu wako lisikufike!

Pumzikeni kwa Amani watoto wetu na Ndugu zetu mliodhulumiwa haki yenu ya uhai.
Kweli sijafiwa kwa kuwa ndugu zangu wanajitambua na hawawezi kuingia barabarani.

Kuhusu ICC labda ya kwenu huko Nanjilinji Kilwa lakini ICC ya The Hague, forget
 
Kaulize kwa ZPC Jumanne Muliro, ambaye walimchomea nyumba yake kule Kimara.

Kama wanaweza kuchoma nyumba ya ZPC na wakawa wanaitafuta ya Wambura kule Mbweni, unadhani hao walikuwa waandamanaji kweli??
Vijana walifanya mambo ya kijinga sana siku ile ya October 29, walikuwa wanasema twende tukamtembelee Jux wanakwenda kuchoma biashara zake, twende tukamtembelee Shilole wanakwenda kuchoma biashara zake.

Walitaka kuigeuza nchi iwe kama ghetto yaani isitawalike! mfano wa Somalia iliyopigana vita kwa miaka 35

Nchi hii hii aliyoiongoza Mwalimu Nyerere kwa miaka 23 wao wakataka kuichoma yote iteketee kwa moto.

Walileta uhuni unaofanyika kwenye mataifa mengine wakakutana na wahuni zaidi yao.
 
Pale Muhimbili tu maiti zilikuwepo zaidi ya 2,400 sasa nchi nzima watakuwa wangapi kama sio zaidi ya 11,000.

Nyie endeleeni kutetea mauaji mkiamini kwamba siku zote mtakuwa salama, ila mwisho wenu ni mbaya sana
Muhimbili ninayoifahamu mimi, huwa haikosi maiti katika yale majokofu masaa 24kwa wiki/mwezi/mwaka.
Kwa hiyo kama ulikuta miti Muhimbili, si jambo la kushangaza.
 
Back
Top Bottom