PostGE2025 Reuters: Intended killings in Tanzania, UN experts estimate at least 700 extrajudicial killings

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Punga hilo litajulia wapi?

Lenyewe linawaza kumtetea huyu kichaa wake chura kiziwi
Hiyo ya upunga ndiyo tabia yako, na hapa umekuja kutafuta mabasha wakakusugue kinyeo
 
Na ajenda zao lazima zitafanikiwa,ni swala la muda tu
 
Jean Piere Bemba Aliua raia kati ya 200-300, ila ICC waliruka nae, msichokijua ndani ya mwaka na nusu, arrest warrant ya Samia itatoka, ata hasipokamatwa mnajua implications zake
Yaani ICC waje wamshtaki Rais na wasidizi wake (JWTZ & TANPOL), waliozima machafuko ya uharibifu wa mali, wizi, uchomaji moto mali kwa ufanisi wa hali ya juu ndani ya masaa 12???
Hakuna ICC ya hivyo. On the contrary tuvisifu vyombo vyetu kwa kutuheshimisha maana wale MAHAYAWANI walikuwa wanatupeleka pabaya kwa kisingizio cha maandamano ya kudai haki
 
Sawa state protection hata Maduro alikuwa anajitetea hivi hivi.

Thread 'VIDEO: Trump yupo sahihi, Maduro alituma magari ya polisi kuwakanyaga waandamanaji waliomkosoa' VIDEO: Trump yupo sahihi, Maduro alituma magari ya polisi kuwakanyaga waandamanaji waliomkosoa
 
Huyo Mange ana post wapi hizo video kila siku? Au huna habari kuwa Meta owners wa Instagram wameitoa page ya Mange kwenye Instagram??

Watu mnaishi kwenye ulimwengu wa past tense halafu mnataka kubishana na GTs
 
Hata Maduro alikuwa na kibri hivihivi
Suala la Maduro siyo demokrasia wala cocaine bali Trump anataka mafuta ya Venezuela!!

Mbona nyinyi watu ni mazezeta sana???

Venezuela ana 20% ya mafuta yote duniani sawa na 307 Billion barrels wakati USA ina 74 Billion barrels tu. Hicho ndicho USA kafuata Venezuela, hakuna cha demokrasia wala kuuza narcotics
 
Hizo ni collateral damages, huwezi kuzi avoid
 
Sasa ile ambayo Makamu Mwenyekiti wenu Heche anasema 2,000 ndiyo waliuliwa anaipata wapi?

Larry Madowo na CNN wansema 23,000

Halafu naye Dada yenu Maria Sarungi anasema 10,000? Which is which?
zote ni hesabu, hata kama wangekuwa wawili
 
Huyo Mange ana post wapi hizo video kila siku? Au huna habari kuwa Meta owners wa Instagram wameitoa page ya Mange kwenye Instagram??

Watu mnaishi kwenye ulimwengu wa past tense halafu mnataka kubishana na GTs
Mitandao ipo mingi kwani hii unayopost ni instagram.
 
Tanzania imepigwa ban kupata visa ya Marekani kwani sisi tunachimba mafuta wapi.
 
Sasa ile ambayo Makamu Mwenyekiti wenu Heche anasema 2,000 ndiyo waliuliwa anaipata wapi?

Larry Madowo na CNN wansema 23,000

Halafu naye Dada yenu Maria Sarungi anasema 10,000? Which is which?
Hawa jamaa wanachekesha, yaani wanatokea 23,000, wanatembea mpaka 10,000, wanashuka mpaka 2000 na leo wanakuja na 700. Utawaamini vipi watu kama hao.
Na utawasikia eti, watanzania wote hawamtaki Dr Samia. Jamani tuweni na aibu kidogo! Uwongo na propaganda hazitawafikisha mbali, ndio mnajichimbia kaburi kubwa tu. Isitoshe, ndio mnampa mama point za bure tu, na ndio maana amekaa kimya kwa muda, ili wananchi wawadharau kwa uongo wenu.
 
Ni wapi Reuters walisema polisi waliua 23,000.
 
Huyo Mange ana post wapi hizo video kila siku? Au huna habari kuwa Meta owners wa Instagram wameitoa page ya Mange kwenye Instagram??

Watu mnaishi kwenye ulimwengu wa past tense halafu mnataka kubishana na GTs
Ndio maana nikasema wewe unaonekana tu kuwa ni mshenzi, kwahiyo unakasirishwa na mange kupost uhalifu uliofanywa na wandawazimu ? Sasa kama haujui ndio ujue bado anapost na sikusema ni Instagram au Facebook, yupo huko kwenye social network account zingine anapost mbona bado.
Fuatilia utaona.
 
Sasa ile ambayo Makamu Mwenyekiti wenu Heche anasema 2,000 ndiyo waliuliwa anaipata wapi?

Larry Madowo na CNN wansema 23,000

Halafu naye Dada yenu Maria Sarungi anasema 10,000? Which is which?

Hujui kingereza na huna upeo, hao watu husema vitu ambavyo wana ushahidi navyo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…