Pale Muhimbili tu maiti zilikuwepo zaidi ya 2,400 sasa nchi nzima watakuwa wangapi kama sio zaidi ya 11,000.Idadi ipi kati ya hizo? Tusaidie , 23,000. 10,000. 2000 au 700. Tutajie moja iliyosahihi tufunge mjadala wa hoja.
Wwe keyboard warrior unakufa kwenye shuka tu!! Hauna unachowezaBut hutokuwepo jf! Au utakuwa umezikwa na simu yako? Eti nokutag, Kama nani?
Acha kutupanga ! Punguza porojo!Yaani ICC waje wamshtaki Rais na wasidizi wake (JWTZ & TANPOL), waliozima machafuko ya uharibifu wa mali, wizi, uchomaji moto mali kwa ufanisi wa hali ya juu ndani ya masaa 12???
Hakuna ICC ya hivyo. On the contrary tuvisifu vyombo vyetu kwa kutuheshimisha maana wale MAHAYAWANI walikuwa wanatupeleka pabaya kwa kisingizio cha maandamano ya kudai haki
Kwani wewe mwyewe uliuuwa watu wangapi tuanzie hapo kwanza.Sasa ile ambayo Makamu Mwenyekiti wenu Heche anasema 2,000 ndiyo waliuliwa anaipata wapi?
Larry Madowo na CNN wansema 23,000
Halafu naye Dada yenu Maria Sarungi anasema 10,000? Which is which?
Kweli sijafiwa kwa kuwa ndugu zangu wanajitambua na hawawezi kuingia barabarani.Acha kutupanga ! Punguza porojo!
Kamchukulie tuzo kwanza ndio uje humu kubwabwa……
ICC hawashughuliki na mali wanashughulika na uhai wa mwanadamu sio mbwa.
Wananchi waliouwa kwa makusudi hamutambui hilo tangu litokee. Hujafiwa wewe. Muombe sana mmzimu wako lisikufike!
Pumzikeni kwa Amani watoto wetu na Ndugu zetu mliodhulumiwa haki yenu ya uhai.
Vijana walifanya mambo ya kijinga sana siku ile ya October 29, walikuwa wanasema twende tukamtembelee Jux wanakwenda kuchoma biashara zake, twende tukamtembelee Shilole wanakwenda kuchoma biashara zake.Kaulize kwa ZPC Jumanne Muliro, ambaye walimchomea nyumba yake kule Kimara.
Kama wanaweza kuchoma nyumba ya ZPC na wakawa wanaitafuta ya Wambura kule Mbweni, unadhani hao walikuwa waandamanaji kweli??
Dua.Wwe keyboard warrior unakufa kwenye shuka tu!! Hauna unachoweza
Muhimbili ninayoifahamu mimi, huwa haikosi maiti katika yale majokofu masaa 24kwa wiki/mwezi/mwaka.Pale Muhimbili tu maiti zilikuwepo zaidi ya 2,400 sasa nchi nzima watakuwa wangapi kama sio zaidi ya 11,000.
Nyie endeleeni kutetea mauaji mkiamini kwamba siku zote mtakuwa salama, ila mwisho wenu ni mbaya sana
Jumlisha zoteSasa ile ambayo Makamu Mwenyekiti wenu Heche anasema 2,000 ndiyo waliuliwa anaipata wapi?
Larry Madowo na CNN wansema 23,000
Halafu naye Dada yenu Maria Sarungi anasema 10,000? Which is which?
Basi jumla wamekufa watu 1,000,000,Jumlisha zote